Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Mwingine ni Dr wa OUT alisema wanawake wanaovaa suruali wana vifua vikubwa kuliko makalioBongo imejaa watafiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwingine ni Dr wa OUT alisema wanawake wanaovaa suruali wana vifua vikubwa kuliko makalioBongo imejaa watafiti
HaahahaThe shorter the monkey, the longer the tail
😂😂😂Mwingine ni Dr wa OUT alisema wanawake wanaovaa suruali wana vifua vikubwa kuliko makalio
📌📌📌Wee hakna Bonge mwenye ukuni wa kwenda, useme wembamba pia wana vi karoti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anko dereva nakusabahi kwa bashashaTafiti wanazofanya watu wakiwa washashiba mapure...
📌📌📌Huu utafiti si kweli, wakati tunasoma Olevel kuna jamaa alikuwa mfupi kinoma ila mzigo wake ulikuwa wa ajabu, yaani mkienda kuoga bafu la wazi nyie wengine mnajiona kama mmepewa vya kusaidia haja ndogo itoke tu.
Soma na hilo chapisho uongeze maarifa,Habari zenu wakuu, hope mko fresh Sana. Nimefanya huu utafiti kwa muda wa wiki Moja na Nimetumia sample size ya watu(wanaume) 50 na hatimaye nimegundua kwamba Urefu wa mtu in terms of feet unawiana na Urefu wa uume wake in terms of inches ukiwa umepanda mtungi(umesimama).
Nilifanya jaribio kwangu Mimi mwenyewe nikaona Urefu wangu wa mwili unawiana kabisa na Urefu wa uume wangu. Nikawa na ukakasi kidogo ndo nikaanzisha zoezi la utafiti. Naomba nisieleweke vibaya pliz,sio kwamba nilikuwa naenda kuwapima watu Moja kwa moja ila nilikuwa nawasanua Kama vipi wajipime wenyewe Kisha waniletee majibu. Majamaa walicooperate Sana na walikubaliana nami wakasema Urefu wa mwili( ft) na Urefu wa uume(inch) unawiana Moja kwa Moja.
Kwa mfano mtu akiwa na Urefu wa 6.5 feet Basi bila Shaka uume wake utakuwa inchi 6.5 ukiwa umesimama.
Ukiwa na Urefu wa futi 4.5 bila Shaka uume wako utakuwa 4.5 inches( kibamia).
Before you comment by either disputing or supporting my research please make sure you do a practical test on yourself.
Tuendelee kufanya utafiti mpaka pale tutakapopata dawa kuongeza Urefu wa uume😂
DeepPond njoo huku unene Jambo lako.
Nakuunga mkono. Nilifanya kazi kampuni moja wafanyakazi mkimaliza kazi mnaingia changing room unavua sare ya kazi unaoga unatinga viwalo vya nyumbani.Daah mwanangu unajindanganya sana umenikumbusha kisa kimoja hivi enzi za ujana form 3 hiyo tupo bwenini kama kawaida Sisi wanaume ma story yetu ya hapa na pale mara ikafika mada ya jamaa yetu mmoja sijui jamaa huwa hapendi kuoga na watu wengi anaogaga peke yake kisa ni kuwa mwana ana mguuu wa mtoto
Si ukatokesa ubishani hapo kuwa hamfikiii jamaa moja yeye alikuwa form 2 ngoma ikaanza tutafute uushaidi na kweli bweni zima nikajaa kulinganisha hawa viumbe issue ni hivi hawa jamaa mmoja ni mrefu mwingine ni mfupi aisee wale jamaa inch 10 wanafika
Hujui kama watu wafupi Urefu wetu umekimbilia chini?Habari zenu wakuu, hope mko fresh Sana. Nimefanya huu utafiti kwa muda wa wiki Moja na Nimetumia sample size ya watu(wanaume) 50 na hatimaye nimegundua kwamba Urefu wa mtu in terms of feet unawiana na Urefu wa uume wake in terms of inches ukiwa umepanda mtungi(umesimama).
Nilifanya jaribio kwangu Mimi mwenyewe nikaona Urefu wangu wa mwili unawiana kabisa na Urefu wa uume wangu. Nikawa na ukakasi kidogo ndo nikaanzisha zoezi la utafiti. Naomba nisieleweke vibaya pliz,sio kwamba nilikuwa naenda kuwapima watu Moja kwa moja ila nilikuwa nawasanua Kama vipi wajipime wenyewe Kisha waniletee majibu. Majamaa walicooperate Sana na walikubaliana nami wakasema Urefu wa mwili( ft) na Urefu wa uume(inch) unawiana Moja kwa Moja.
Kwa mfano mtu akiwa na Urefu wa 6.5 feet Basi bila Shaka uume wake utakuwa inchi 6.5 ukiwa umesimama.
Ukiwa na Urefu wa futi 4.5 bila Shaka uume wako utakuwa 4.5 inches( kibamia).
Before you comment by either disputing or supporting my research please make sure you do a practical test on yourself.
Tuendelee kufanya utafiti mpaka pale tutakapopata dawa kuongeza Urefu wa uume[emoji23]
DeepPond njoo huku unene Jambo lako.
Anko dereva nakusabahi kwa bashasha
Nimekuhamu pia uncle dereva.Aunt abiria nimekuhamu, vile umekuwa mtu adimu...ngoja nitafanya utaratibu wa mabadiliko ya katiba, kifungu kidogo kinachokufanya uwe adimu na nitakuambia
Kabisaaa. [emoji23][emoji23]Swali la msingi sana hili[emoji38]
Akijibu nitag
Kipenziii huu mkazo, noumaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji419][emoji419][emoji419]