UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.


mabubu viziwi na vipofu kamwe hawewezi kuelewa.waendeleee tu.siku watadhalilika
 

mkuu saba7, yeriko ameongozwa na hisia zaidi ya uhalisia. Huo anaouita utafiti haulingani hata na unaofanywa na wadogo zetu wa form four. Unamdhalilisha na kumuabisha.
 
Lazima unielewe kinyume kwakuwa ulitaraji nitafanya kile ukijuacho wewe,

Nimefuata misingi ya mfumo Islamu/kristu inavyofanya kazi

weka japo chanzo mkuu cha takwimu zako. Au umekaa tu ukatunga?
 
nilimwambia mleta maja tangu mwanzo kuwa ametoa majibu mepesi kwa maswali magumu.

Maswali yapi magumu?
Sijawahi kuona ripoti ya utafiti ikitolewa kisanii namna hii.

Kwanza usanii ni kitu gani?
Pili huo "usanii" upo kwenye eneo gani hapo?

Alichofanya hata mtoto mdogo anaweza,
Ni utafiti gani wa kitoto ambao nyie mmefanya?

ameandika tu bila kufuata taratibu za utafiti.

Tafadhali sana tuwekee hapa hizo taratibu za kiuandishi!

Alichoandika hakina tofauti na stori za shigongo.

Story maana yake nini?
 
weka japo chanzo mkuu cha takwimu zako. Au umekaa tu ukatunga?

Hivi wewe umeisoma mada?
Maana namna ulivyouliza hili swali inaonekana umekurupuka kutoka usingizini!
 
]Maswali yapi magumu?[/SIZE]


Kwanza usanii ni kitu gani?
Pili huo "usanii" upo kwenye eneo gani hapo
?


Ni utafiti gani wa kitoto ambao nyie mmefanya?



Tafadhali sana tuwekee hapa hizo taratibu za kiuandishi!



Story maana yake nini?

we kiumbe ni wa ajabu sana!! unapenda saana kuuliza maswali ! tena maswali ya kitotokitoto siku zote,
ha hako ka mtindo ka kuchambua chambua thread halafu ukaingiza masala ndani! unadhani unaongea na watoto humu??

jibu au changia hoja kama ilivyo na wacha maswali ya kitoto! au hio parokia yako ilikwambia kutumia mtindo wa maswali ili kukimbia hoja??
unatia aibu wasukuma wa mwanza!
 

Hebu tuambie mfumo ni kitu gani kwanza!
 

Umetumia lugha kali sana mkuu, sitarajii mtu kama wewe kuzima moto kwa moto(kama moto unawaka)

Busara iongoze maamuzi na matamshi yetu.
 
we kiumbe ni wa ajabu sana!! unapenda saana kuuliza maswali ! tena maswali ya kitotokitoto siku zote,

Kuna maswali ya kitoto yanayokosa majibu?


Hapa wewe umejibu hoja?
Kwanini msitumie muda angalau kidogo tu kuzifikirisha hizo akili zenu?
 

mkuu mbokaleo msamehe bure, hajui alitendalo.
Unapoteza muda kujibishana nae, mi nimempotezea manake analeta viroja na sio hoja.
 
Umetumia lugha kali sana mkuu, sitarajii mtu kama wewe kuzima moto kwa moto(kama moto unawaka)

Busara iongoze maamuzi na matamshi yetu.

Mwendawazimu hafai kuchekewa kwakuwa hajui namna iliyo njema ya kufikiri

Hebu fikiria umemkuta mwendawazimu ana kiberiti na petrol karibu na nyumba yako uliyoijenga kwa taabu ya kushinda njaa kwa miaka 7

Utamchekea?

Hawa watu wanaiweka hatarini amani yetu
Na wanakitetea hicho kitendo chao
Sasa unadhani hawa ni watu wanaofikiria vyema?

Kama wana tatizo la kufikiri unadhani busara kwao ni kitu chema?
 
Wakuu Zemarcopolo, Ritz na mbokaleo

Kwanza someni hapa kidogo kisha tuanze kujenga hoja na kujibu moja baada ya nyingine,

Hawa jamaa wanaudhi kuna vitu ambavyo kwa standard ya graduate watu walitakiwa process kichwani na kujipa majibu rahisi ya msingi ,vinavyobaki ni ama kuuliza vitu vichache ili ku clarify au kuchangia tuu.

Hawa jamaa sijui kwanini hawana rough picture ya idadi ay watu wa dar na nchi nzima,hii ngepunguza sana wingi wa postings ili watu wajadili vitu makini km mipango ya jiji, kwanini waislam wanashindwa digest hali iliyopo.
 

labda nikuulize, wewe kuchukua data kutoka kwa huyo sijui yericho!! hivi huyo jamaa yako anafanya kazi ktk kamati ya kuratibu sense nchini!!
Unapotoa data kama hivi lzm uwe na reliable source itakayothibitisha madai yako!!
Ritz ametoa data zilizoko serikalini! wewe na huyo mparokia mwenzako ni kututolea vitu kutoka kichwani mwenu!!na ili kukazia hizo data zako, unatuletea mifano ya kurusha rockets na kupima chupi!!

Sasa unategemea unaweza kuleta valid argument kwa mifano ya ajabu ajabu kama hii!

hebu tazama mfano wa statistics ya population hapa!

The Tanzania National Website

sasa kwa sababu we ni msomi wa masuala ya rockets na hizo chupi! labda utwambie hio source yako ya kutuandikia population ya 5 to 10 million people in dar only!! umeipata wapi??
 
Last edited by a moderator:
waislamu hawajafundishwa upendo ndio chanza kikuu cha malalamishi

Wakristu na Wayahudi ndio waliofundishwa upendo na unafiki. Nje wakihubiri upendo ndani wakipanga mipango ya kuangamiza waislam. Shame upon you.
 

nadhani anaezidisha post hapa ni wewe ambae unatoa data za ajabu ajabu pasina kuwa na source, halafu ukikosolewa unaanza kuhubiri injili na kutoa mifano ya chakula na saizi za chupi!! huwezi kuleta rough idea ya 5 to 10 million!! rough idea huenda ikakubalika kama utasema may be 5 to 5.5 ml! kidogo hapo mtu anaweza kumezea!
 
Taifa linahitaji watu kama wewe hasa katika kipindi hiki kigumu
 

Juzi nilikuwa stand kuu pale bukoba, mwendawazimu akaja na jiwe akamrushia jamaa mmoja mgongoni watu wakacheka wakijua ndo tabia yake, jamaa aliyechapwa akaanza kufukuzana na mwendawazimu na bakola ili amfunze adabu. Basi alipomkamata akaanza kumchapa yule mwendawazimu hukuru akurukaruka na kujigalagaza chini, baada ya jamaa kuridhika akaondoka, huku nyuma mwendawazimu akaokota mawe ya kutisha akaanza kuvurisha ovyo kumuelekeza jamaa, bahati mbaya jiwe likamkoja jamaa likakipata kioo cha taxi moja ilikuwa pembeni. Wale madreva taxi wakamkamata jamaa wakamtaka alipe kile kioo.

Kwa njia hiyo ya kushughulika na wendawazimu, nani ana busara? Ama wote wendawazimu?
 

wewe kijana uwe na heshima kidogo unapoandika post zako!
mara nyingi umekuwa ukirudia kauli zako za utovu wa nidhamu kwa wale wanaokupinga au kuonyesha mapovu unayo yatoa hapa!! Mara unawaita vilaza mara hawana akili mara wajinga!!
we umekuwa nani kutoa toa kashfa zisizokuwa na maana humu!

au unataka kila mtu akubaliane na wewe kuwa mungu aliwaumba viumbe waje wamuue!! na hakuamua kusamehe dhambi mpaka akaamua kujitoa muhanga auwawe!

we una haki ya kuonyesha udhaifu wa hoja ya mtu, lkn sio kukimbia kuwaita watu majina mabovu mabovu!
au ndio kanisa linawafundisha hivyo.
huna adabu kabisa wewe!
 
mkuu mbokaleo msamehe bure, hajui alitendalo.
Unapoteza muda kujibishana nae, mi nimempotezea manake analeta viroja na sio hoja.

ushauri wako mzuri mkuu peri, bora niufuate!!
 

Unachosahau , pampja na ugumu ya akili yako ni kwamba :Huna picture ya watuw anaoingia na kuzaliwa dar, hujasema idadi ya waislam tuu ambao hawajahesabiwa Dar kw akukataa makusubi, pia hujaongea kuhusu wtau ambao nature ya kazi yao ni vigumu kuhesabiwa....dar ina watu tena zaidi ya m10 sasa hivi..Yericko kaleta official data...ambazo mim naiziita na at least.

Unatia huruma hujaeleimika na hujui matumizi ya makadirio... mimi huwa najitahidi sana kujibu hoja kwa yaliyopo hapo ili nisipeleke sana watu nje na kujara reference hapa.Ninachoandika hapa najitahidi sana tumia reasoning zaidi na si kujaza vitu ambavyo vitawashida wenye logic za kiislam.Sasa hata uliyoleta huyajui yanakusaliti hapa ya nini nikuongezee.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…