UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Typical galatian! Unaongea bila hata kulifahamu andiko!
Huyo neno anaweza kutumwa??

Hebu tuangalie kwenye andiko je! mungu yesu ALIKUJA KWA HIARI YAKE? AU mungu yesu ALITUMWA na MUNGU MKUU!

:YOHANA 5:24----"Kweli nawaambieni, anayesikia neno langu, na kumwamini yule-aliyenituma, anao uzima wa milele. Hatahukumiwa kamwe, bali amekwisha pita kutoka kifo na kuingia katika uzima.

YOHANA 5:30- - -"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumukama-ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali apendavyo yule-aliyenituma.-

YOHANA 5:36- - -Lakini mimi nina ushahidi juu yangu ambao ni mkuu zaidi kuliko ule wa Yohane. Kwa maana kazi ninazofanya, kazi alizonipa Baba nizifanye, ndizo zinazonishuhudia kwamba Baba ndiyealiyenituma

.-YOHANA 5:37- - -Naye Baba-aliyenituma-hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake.

-------

YOHANA 7:16- - -Hapo Yesu akawajibu, "Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeyealiyenituma.

YOHANA 7:28- - -Basi, Yesu alipokuwa anafundisha Hekaluni alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka mnakujua! Hata hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye-aliyenituma-mimi ni wa kweli, nanyi hamumjui.

YOHANA 7:29- - -Lakini mimi namjua kwa sababu nimetoka kwake, naye ndiye-aliyenituma."

YOHANA 7:33- - -Yesu akasema, "Bado niko nanyi kwa muda mfupi, kisha nitamwendea yulealiyenituma.

-------

YOHANA 8:16- - -Hata nikihukumu, hukumu yangu ni ya haki kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba-aliyenituma-yuko pamoja nami.

YOHANA 8:18- - -Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba-aliyenituma, ananishuhudia pia."

YOHANA 8:26- - -Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu. Lakini yule-aliyenituma-ni kweli; nami nauambia ulimwengu mambo yale tu niliyoyasikia kutoka kwake."

YOHANA 8:29- - -Yule-aliyenituma-yuko pamoja nami; yeye hakuniacha peke yangu kwani nafanya daima yale yanayompendeza."

-------

YOHANA 6:38- - -kwani nimeshuka kutoka mbinguni si kwa ajili ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza matakwa ya yule-aliyenituma.

YOHANA 6:39- - -Na matakwa ya yule-aliyenituma-ndiyo haya: nisimpoteze hata mmoja kati ya wale alionipa, ila niwafufue wote Siku ya mwisho.

-------

YOHANA 12:44- --Kisha Yesu akasema kwa sauti kubwa, "Mtu aliyeniamini, haniamini mimi tu, ila anamwamini pia yule-aliyenituma.

YOHANA 12:49- --Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila Baba-aliyenituma-ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.

-------

MATAYO 10:40- -"Anayewakaribisha ninyi, ananikaribisha mimi; na anayenikaribisha mimi, anamkaribisha yule-aliyenituma.

-------

MARKO 9:37- - - -"Anayempokea mtoto-kama-huyu kwa jina langu, ananipokea mimi; na anayenipokea mimi, hanipokei mimi tu, bali anampokea yule-aliyenituma."

-------

LUKA 9:48--akawaambia, "Mtu yeyote anayempokea mtoto huyu mdogo kwa jina langu, ananipokea mimi; na yeyote anayenipokea mimi, anampokea yulealiyenituma. Maana yule aliye mdogo kuliko wote kati yenu ndiye aliye mkubwa kuliko wote."

-------

LUKA 10:16- - - --Halafu akasema, "Anayewasikiliza ninyi, ananisikiliza mimi; na anayekataa kuwapokea ninyi, anakataa kunipokea mimi. Yeyote anayekataa kunipokea, anakataa kumpokea yule-aliyenituma."

-----TOFAUTI BAINA YA WAISLAMU NA WAKRISTO NI KUWA,

NYIE MNAMWABUDU ALIYETUMWA.!

NA SISI TUNAMUABUDU ALIYEMTUMA YESU!

mabubu viziwi na vipofu kamwe hawewezi kuelewa.waendeleee tu.siku watadhalilika
 
Mkuu Yeriko, kwanza niwasahahishe wale waliokupongeza kwa kuumiza kichwa kufanya utafiti huu.Mimi nakupongeza kwa kuumiza roho ndiko kilikopelekea kuandika thread hii.
'Utafiti' wako unaweza kujumishwa kwa maneno mafupi kuwa
Idadi ya waislam ni kubwa kuliko wakiristo katika Tanzania lakini 'utafiti' wako haujibu hata kidogo hoja za mfumo kristo kama unavyodaiwa na hao wanoleta madai hayo!

mkuu saba7, yeriko ameongozwa na hisia zaidi ya uhalisia. Huo anaouita utafiti haulingani hata na unaofanywa na wadogo zetu wa form four. Unamdhalilisha na kumuabisha.
 
Lazima unielewe kinyume kwakuwa ulitaraji nitafanya kile ukijuacho wewe,

Nimefuata misingi ya mfumo Islamu/kristu inavyofanya kazi

weka japo chanzo mkuu cha takwimu zako. Au umekaa tu ukatunga?
 
nilimwambia mleta maja tangu mwanzo kuwa ametoa majibu mepesi kwa maswali magumu.

Maswali yapi magumu?
Sijawahi kuona ripoti ya utafiti ikitolewa kisanii namna hii.

Kwanza usanii ni kitu gani?
Pili huo "usanii" upo kwenye eneo gani hapo?

Alichofanya hata mtoto mdogo anaweza,
Ni utafiti gani wa kitoto ambao nyie mmefanya?

ameandika tu bila kufuata taratibu za utafiti.

Tafadhali sana tuwekee hapa hizo taratibu za kiuandishi!

Alichoandika hakina tofauti na stori za shigongo.

Story maana yake nini?
 
weka japo chanzo mkuu cha takwimu zako. Au umekaa tu ukatunga?

Hivi wewe umeisoma mada?
Maana namna ulivyouliza hili swali inaonekana umekurupuka kutoka usingizini!
 
]Maswali yapi magumu?[/SIZE]

Kwanza usanii ni kitu gani?
Pili huo "usanii" upo kwenye eneo gani hapo
?

Ni utafiti gani wa kitoto ambao nyie mmefanya?

Tafadhali sana tuwekee hapa hizo taratibu za kiuandishi!

Story maana yake nini?

we kiumbe ni wa ajabu sana!! unapenda saana kuuliza maswali ! tena maswali ya kitotokitoto siku zote,
ha hako ka mtindo ka kuchambua chambua thread halafu ukaingiza masala ndani! unadhani unaongea na watoto humu??

jibu au changia hoja kama ilivyo na wacha maswali ya kitoto! au hio parokia yako ilikwambia kutumia mtindo wa maswali ili kukimbia hoja??
unatia aibu wasukuma wa mwanza!
 
Mkuu Yeriko, kwanza niwasahahishe wale waliokupongeza kwa kuumiza kichwa kufanya utafiti huu.Mimi nakupongeza kwa kuumiza roho ndiko kilikopelekea kuandika thread hii.
'Utafiti' wako unaweza kujumishwa kwa maneno mafupi kuwa
Idadi ya waislam ni kubwa kuliko wakiristo katika Tanzania lakini 'utafiti' wako haujibu hata kidogo hoja za mfumo kristo kama unavyodaiwa na hao wanoleta madai hayo!

Hebu tuambie mfumo ni kitu gani kwanza!
 
Mkuu,Tatizo la hawa watu hawafikirii kabisa

Hebu fikiria,wewe umetumia muda na gharama zako kufanya utafiti halafu anakuja mtu bila utafiti bila chochote na kukubishia

Hovyo sana hawa watu
Sijui wamezoea ubishi wa kwenye vijiwe vya kahawa ambavyo unaweza kuja na maneno kuwa Uwanja wa mpira wa miguu ni wa Yerico Nyerere na watu wakakubali na wengine kulichukua bila kufikiri na kwenda kuwaambia wenzao

Kuna wakati niliwahi kusema kuwa kuna imani zingine inabidi zikaguliwe maana waumini wake wamekuwa kama ma-zombie tu hawafikiri kabisa!

Umetumia lugha kali sana mkuu, sitarajii mtu kama wewe kuzima moto kwa moto(kama moto unawaka)

Busara iongoze maamuzi na matamshi yetu.
 
we kiumbe ni wa ajabu sana!! unapenda saana kuuliza maswali ! tena maswali ya kitotokitoto siku zote,

Kuna maswali ya kitoto yanayokosa majibu?

ha hako ka mtindo ka kuchambua chambua thread halafu ukaingiza masala ndani! unadhani unaongea na watoto humu??

jibu au changia hoja kama ilivyo na wacha maswali ya kitoto! au hio parokia yako ilikwambia kutumia mtindo wa maswali ili kukimbia hoja??
unatia aibu wasukuma wa mwanza!

Hapa wewe umejibu hoja?
Kwanini msitumie muda angalau kidogo tu kuzifikirisha hizo akili zenu?
 
we kiumbe ni wa ajabu sana!! unapenda saana kuuliza maswali ! tena maswali ya kitotokitoto siku zote,
ha hako ka mtindo ka kuchambua chambua thread halafu ukaingiza masala ndani! unadhani unaongea na watoto humu??

jibu au changia hoja kama ilivyo na wacha maswali ya kitoto! au hio parokia yako ilikwambia kutumia mtindo wa maswali ili kukimbia hoja??
unatia aibu wasukuma wa mwanza!

mkuu mbokaleo msamehe bure, hajui alitendalo.
Unapoteza muda kujibishana nae, mi nimempotezea manake analeta viroja na sio hoja.
 
Umetumia lugha kali sana mkuu, sitarajii mtu kama wewe kuzima moto kwa moto(kama moto unawaka)

Busara iongoze maamuzi na matamshi yetu.

Mwendawazimu hafai kuchekewa kwakuwa hajui namna iliyo njema ya kufikiri

Hebu fikiria umemkuta mwendawazimu ana kiberiti na petrol karibu na nyumba yako uliyoijenga kwa taabu ya kushinda njaa kwa miaka 7

Utamchekea?

Hawa watu wanaiweka hatarini amani yetu
Na wanakitetea hicho kitendo chao
Sasa unadhani hawa ni watu wanaofikiria vyema?

Kama wana tatizo la kufikiri unadhani busara kwao ni kitu chema?
 
Wakuu Zemarcopolo, Ritz na mbokaleo

Kwanza someni hapa kidogo kisha tuanze kujenga hoja na kujibu moja baada ya nyingine,

Hawa jamaa wanaudhi kuna vitu ambavyo kwa standard ya graduate watu walitakiwa process kichwani na kujipa majibu rahisi ya msingi ,vinavyobaki ni ama kuuliza vitu vichache ili ku clarify au kuchangia tuu.

Hawa jamaa sijui kwanini hawana rough picture ya idadi ay watu wa dar na nchi nzima,hii ngepunguza sana wingi wa postings ili watu wajadili vitu makini km mipango ya jiji, kwanini waislam wanashindwa digest hali iliyopo.
 
Kwanini unadhani siwezi?Ni kwamba siwezi au wewe hutaki
Margin ya makadirio inategemea unataka fanyia nini hizo data...km unarusha rocket unahitaji makadirio ya decimal places zaidi ya 20 kwa vile space erro kidogo tuu kwa umbali uliopo na mwendo unamiss target kw akilometers, km unatumia data kuwapa watu chupi hutakiwi kadiria kwani kuna atakayetembe uchi kwa kukosa,ila unaweza kadiria size...km unataka peleka chakula unaweza kadiri aupendavyo kwani unaweza punguza sahani...

km unatibu kansa unatakiwa ukate kiunge sehemu you are very sure hakuna cell yoyote ya kansa.....hapo ndipo utaona wapi kiungo inakatiwa na bado wengi wanajikuta kansa ilsihazidi na kufika kulikobaki.

Sasa mimi nakuambia watu wa dar ni kati ya hizo milioni 5 za Yeriko na 10m ...sababu nilishakupa sioni haja ya kurudia. Ni wewe uniambie kwanini hutaki sikia hilo ?Kwanza uanchobishia ni ujinga wa Ritz ambaye alishweka quote ya milion 40+ figure ya nchi nzima..tena akaweza exactly kwani altaja figure inayoishia na wati 2.Wote mna shida za akili. Data za Yericko Zimezidi mil 5. sasa mimi kuweka figure ambayo kwa kiasi kukubwa zinakuwa ktk margin ni safe way yakusema jambo.

labda nikuulize, wewe kuchukua data kutoka kwa huyo sijui yericho!! hivi huyo jamaa yako anafanya kazi ktk kamati ya kuratibu sense nchini!!
Unapotoa data kama hivi lzm uwe na reliable source itakayothibitisha madai yako!!
Ritz ametoa data zilizoko serikalini! wewe na huyo mparokia mwenzako ni kututolea vitu kutoka kichwani mwenu!!na ili kukazia hizo data zako, unatuletea mifano ya kurusha rockets na kupima chupi!!

Sasa unategemea unaweza kuleta valid argument kwa mifano ya ajabu ajabu kama hii!

hebu tazama mfano wa statistics ya population hapa!

The Tanzania National Website

sasa kwa sababu we ni msomi wa masuala ya rockets na hizo chupi! labda utwambie hio source yako ya kutuandikia population ya 5 to 10 million people in dar only!! umeipata wapi??
 
Last edited by a moderator:
waislamu hawajafundishwa upendo ndio chanza kikuu cha malalamishi

Wakristu na Wayahudi ndio waliofundishwa upendo na unafiki. Nje wakihubiri upendo ndani wakipanga mipango ya kuangamiza waislam. Shame upon you.
 
Hawa jamaa wanaudhi kuna vitu ambavyo kwa standard ya graduate watu walitakiwa process kichwani na kujipa majibu rahisi ya msingi ,vinavyobaki ni ama kuuliza vitu vichache ili ku clarify au kuchangia tuu.

Hawa jamaa sijui kwanini hawana rough picture ya idadi ay watu wa dar na nchi nzima,hii ngepunguza sana wingi wa postings ili watu wajadili vitu makini km mipango ya jiji, kwanini waislam wanashindwa digest hali iliyopo.

nadhani anaezidisha post hapa ni wewe ambae unatoa data za ajabu ajabu pasina kuwa na source, halafu ukikosolewa unaanza kuhubiri injili na kutoa mifano ya chakula na saizi za chupi!! huwezi kuleta rough idea ya 5 to 10 million!! rough idea huenda ikakubalika kama utasema may be 5 to 5.5 ml! kidogo hapo mtu anaweza kumezea!
 
Taifa linahitaji watu kama wewe hasa katika kipindi hiki kigumu
 
Mwendawazimu hafai kuchekewa kwakuwa hajui namna iliyo njema ya kufikiri

Hebu fikiria umemkuta mwendawazimu ana kiberiti na petrol karibu na nyumba yako uliyoijenga kwa taabu ya kushinda njaa kwa miaka 7

Utamchekea?

Hawa watu wanaiweka hatarini amani yetu
Na wanakitetea hicho kitendo chao
Sasa unadhani hawa ni watu wanaofikiria vyema?

Kama wana tatizo la kufikiri unadhani busara kwao ni kitu chema?

Juzi nilikuwa stand kuu pale bukoba, mwendawazimu akaja na jiwe akamrushia jamaa mmoja mgongoni watu wakacheka wakijua ndo tabia yake, jamaa aliyechapwa akaanza kufukuzana na mwendawazimu na bakola ili amfunze adabu. Basi alipomkamata akaanza kumchapa yule mwendawazimu hukuru akurukaruka na kujigalagaza chini, baada ya jamaa kuridhika akaondoka, huku nyuma mwendawazimu akaokota mawe ya kutisha akaanza kuvurisha ovyo kumuelekeza jamaa, bahati mbaya jiwe likamkoja jamaa likakipata kioo cha taxi moja ilikuwa pembeni. Wale madreva taxi wakamkamata jamaa wakamtaka alipe kile kioo.

Kwa njia hiyo ya kushughulika na wendawazimu, nani ana busara? Ama wote wendawazimu?
 
Mkuu,Tatizo la hawa watu hawafikirii kabisa

Hebu fikiria,wewe umetumia muda na gharama zako kufanya utafiti halafu anakuja mtu bila utafiti bila chochote na kukubishia

Hovyo sana hawa watu
Sijui wamezoea ubishi wa kwenye vijiwe vya kahawa ambavyo unaweza kuja na maneno kuwa Uwanja wa mpira wa miguu ni wa Yerico Nyerere na watu wakakubali na wengine kulichukua bila kufikiri na kwenda kuwaambia wenzao

Kuna wakati niliwahi kusema kuwa kuna imani zingine inabidi zikaguliwe maana waumini wake wamekuwa kama ma-zombie tu hawafikiri kabisa!

wewe kijana uwe na heshima kidogo unapoandika post zako!
mara nyingi umekuwa ukirudia kauli zako za utovu wa nidhamu kwa wale wanaokupinga au kuonyesha mapovu unayo yatoa hapa!! Mara unawaita vilaza mara hawana akili mara wajinga!!
we umekuwa nani kutoa toa kashfa zisizokuwa na maana humu!

au unataka kila mtu akubaliane na wewe kuwa mungu aliwaumba viumbe waje wamuue!! na hakuamua kusamehe dhambi mpaka akaamua kujitoa muhanga auwawe!

we una haki ya kuonyesha udhaifu wa hoja ya mtu, lkn sio kukimbia kuwaita watu majina mabovu mabovu!
au ndio kanisa linawafundisha hivyo.
huna adabu kabisa wewe!
 
mkuu mbokaleo msamehe bure, hajui alitendalo.
Unapoteza muda kujibishana nae, mi nimempotezea manake analeta viroja na sio hoja.

ushauri wako mzuri mkuu peri, bora niufuate!!
 
nadhani anaezidisha post hapa ni wewe ambae unatoa data za ajabu ajabu pasina kuwa na source, halafu ukikosolewa unaanza kuhubiri injili na kutoa mifano ya chakula na saizi za chupi!! huwezi kuleta rough idea ya 5 to 10 million!! rough idea huenda ikakubalika kama utasema may be 5 to 5.5 ml! kidogo hapo mtu anaweza kumezea!

Unachosahau , pampja na ugumu ya akili yako ni kwamba :Huna picture ya watuw anaoingia na kuzaliwa dar, hujasema idadi ya waislam tuu ambao hawajahesabiwa Dar kw akukataa makusubi, pia hujaongea kuhusu wtau ambao nature ya kazi yao ni vigumu kuhesabiwa....dar ina watu tena zaidi ya m10 sasa hivi..Yericko kaleta official data...ambazo mim naiziita na at least.

Unatia huruma hujaeleimika na hujui matumizi ya makadirio... mimi huwa najitahidi sana kujibu hoja kwa yaliyopo hapo ili nisipeleke sana watu nje na kujara reference hapa.Ninachoandika hapa najitahidi sana tumia reasoning zaidi na si kujaza vitu ambavyo vitawashida wenye logic za kiislam.Sasa hata uliyoleta huyajui yanakusaliti hapa ya nini nikuongezee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom