UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Ni kwasababu kuna wajinga wasiojua ndio waliotafsiri Biblia kwenda kiarabu bila kujua kuwa Allah ni mungu aliyeko makkah hapumui wa hasogei!

Zamani aliitwa Hubal!
wakristo wa malaysia,indonesia na baadhi ya jew wanatumia Allah..ofcource hilo maana yake ni mungu.
 
Kufahamu kuna maana kuwa na ufahamu kuhusu jambo husika
Huwezi kulifahamu jambo kama hujafanya utafiti kulihusu
Wewe na wenzako mmefanya utafiti gani?

Ndio nikasema nyie ni akili kuambiwa!
Mnafuata tu bila kuuliza wala kudadisi!

Unasema kuwa huwezi kujua jambo mpaka ufanye utafiti!!
Hivi wewe kweli huwa unafikiri kabla ya kuandika!
Nakupa mfano hapa! Hebu tuliza kichwa uuone huu mfano!

1.Wewe umeamua kumpikia mumeo samaki! Na mumeo ameingia nyumbani kwako anaskia harufu ya samaki kila mahali! Kuna haja ya yeye kufanya utafiti hapo!

Mfano hai!
Kufelishwa wtt wa waislamu kila mtu anajua,!

Waislamu kunyimwa madaraka ktk wizara nyeti kila mtu anajua!

Upendeleo ktk scholarships kuwapa wagalatia zaidi hili pia kila mtu analijua!

Makanisa kupewa maeneo nyeti na makubwa kuliko miskiti tena toka enzi ya yule balaa kuu la taifa! (Nyenyere) kila mtu anajua!

HALAFU WEWE UNATAKA UFANYIKE UTAFITI GANI WAKATI KILA UCHAFU WA MFUMO KRISTO UKO WAAZI MBELE ZA WATU??
 
Wakristo hoja hamna,mumshukuru sana mkatoliki nyerere aliyowandalieni mfumo kristo huu ambayo sasa wasilamu wameugundua na wanaufanyia kazi ,umebaki muda mfupi kutokomeza ,halafu muone machungu yake sio mulizoa kula kuku kwa mrija.
 
Ni kwasababu kuna wajinga wasiojua ndio waliotafsiri Biblia kwenda kiarabu bila kujua kuwa Allah ni mungu aliyeko makkah hapumui wa hasogei!

Zamani aliitwa Hubal!

Hao unaowaita wajinga kwa taarifa yako ni viongozi wakubwa saana wa makanisa!
Na ya laiti wakija hapo usukumani utakimbilia kubusu miguu yao!
Na kuwaomba wakusamehe dhambi zako!
 
Mkuu wangu huyu jamaaa ni kituko, umejaribu kumsahihisha lakini bado anakomaa na utafiti wake feki.

Mkuu hawa ndio tunawaita kupe!

Unampulizia sumu ya kumuondoa lkn anakufa bado kashkilia tu!

Anajiita rastafariani halafu ukitazama thread zake karibu zoote ni kuupamba MFUMO KRISTO kwa lugha taamu!
Mara huo utumbo wake aupe jina la UTAFITI mara TAKWIMU mara RIPOTI ZA UCHUNGUZI N.K
Tena hayuko peke yake!!
Chadema pia wamejaa hawa!!

Ni wale vibaraka wanaotumiwa kuhalalisha vilivyo sumu ktk jamii yetu!
Na watu kama hawa huwa hawana mwisho mwema!
Tuko pamoja mkuu! Mpaka mfumo kristo ufe kifo cha asili!
 
Nyie waislam, Na muache kuuliza maswali ambayo yameshajibiwa.
 
Huu hapa:

[h=3][/h] [h=3]Muhammad: A Looter[/h]
Swali lingine?
[/LEFT]

Naona unatumia ile silaha ya yule mwenzako na ya wagalatia wote!
Ukishashindwa hoja unaanza kutukana na kumkashifu mtume s.a.w!
Hoja tutoe sisi wewe umtukane mtume!
Sasa hilo kanisa utaliokoa kwa kutukana waislamu tu? Wakati unapewa andiko badala ya kulitetea unatukana!!

Basi busara zenu zoote zimeishia hapo!
 

Huu ni upuuzi mtupu. Hivi makanisa yaliyokutuma walipima kwanza uwezo wako? Hata jinsi ya ku-doctor data angalau zifanane na uhalisia hujui?. Ama kweli ndio wanajifanya watafiti hawa. Ni upuuzi mtupu.
 
Wakristo hoja hamna,mumshukuru sana mkatoliki nyerere aliyowandalieni mfumo kristo huu ambayo sasa wasilamu wameugundua na wanaufanyia kazi ,umebaki muda mfupi kutokomeza ,halafu muone machungu yake sio mulizoa kula kuku kwa mrija.

Maneno yako msumeno!
Umepiga ikulu! Na ni kweli kabisa kifo cha MFUMO KRISTO HAKIKO MBALI!
 
Utayajuaje hayo mambo na wewe bwana hayupo ndani ya moyo wako ndivyo mnavyo fundishwa
madhabauni kijana una pepo shindwaaaaaaaaaaaa katika jina la Yesu kristo wa Nazareti ha ha haaa!

A prophet is a person with the gift of:
1. Being able to make valid prophesies.
2. The prophesies he makes at least mostly are correct - if not he is a false prophet.
3. He makes so frequent and/or essential prophesies that to make prophesies clearly is part of his mission.
did he neither had this gift, nor pretended he had it, nor claimed he had it.
He may have been a messenger for someone or something, but not a real prophet.
 
Allah Almighty Said:
They perform (their)vows,and they fear a Day Whose evil flies far and wide.AND THEY FEED,FOR THE LOVE OF ALLAH THE INDIGENT,THE ORPHAN,AND THE CAPTIVE --(SAYING ) ,"WE FEED YOU FOR THE SAKE OF ALLAH ALONE:NO REWARD DO WE DESIRE FROM YOU,NOR THANKS
THE NOBLE QURAN,76:7-9
The Muslims were Commanded,1500 years ago,to feed the prisoners of war FOR THE LOVE OF ALLAH.
ANY Muslims knows ,if a hadith is contrary to the Quran,the latter is to be taken as authority and that hadith is FALSE.
 
Kwa hiyo hao wafanyakazi wa Dar es Salaam 876,981 wote walikuambia wana mikataba pamoja na bima?
Takwimu hizo nimezitoa wizara ya utumishi,

Huwezi kuwa mfanyakazi wa Serikali bila kufuata taratibu tajwa,
 

Kwahiyo unataka kuniambia katika wale wanakumi na mbili wa Israel pia kuna watoto wa haramu?
wachana na Ibrahim twende kwa Yakobo.

............nakwambia !..........sasa wale waliomsulubu ndo kusema walikuwa wanamuua mungu !?:heh:
basi siku ya mwisho itakuwa kizaa zaa, watu wanataka wamsulubu mungu kama vile mwanzo, na mungu nae anataka kuwatia motoni !:hatari:

Naomba jibu haya maswali PLEAAAAAAAAAAAAAAAAASE:

-Majinn hayatumii mavi na Damu?
-Je waislam hawayafugi n akuwa nayo?
-Mnapata wapi damu ya kuwapatia au wenywe wana jihudumia damu wapi?

Yakobo hakuwa Mkristu....kuna tofauti ya mtanganyika na Mtanzania..

hata yesu hakua mkirsto.wakristo wa mwanzo walitokea ANTIOKIA.

Ha ha haa makubwa hakuwa mkristo kwasababu alikuwa na ngoma nne fine
niletee ushahidi Yesu alikuwa mkristo au alileta ukristo ukishindwa m PM
rastafari akusaidie lakini hajui kitu zaidi ya bangi na yuko online namuona.

Mbona mpo nje ya mada yericko uzi wako unahusiana na haya.
 
Nakushauri waambie jamaa zako wakutafutie tiba una matatazo makubwa katika ubongo.

Kuna kitu kinaitwa Neurologically kimekufa hiki ndiyo kinaleta mawasiliano baina ya moyo na ubongo.
Ndio nini hiki Ritz?Hapa kweli nanyoosha mikono sijakupata..?
 
Hii kali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…