By Eiyer

Kumbe Yesu alikufae.......!!!!!!!!!!

Waislam hawaoni aibu kusema uongo mbele ya hadhara kubwa kama hii ya hapa JF

Eli sio ALLAH

Eli ni sifa kama ilivyo Mungu sio jina la Mungu

Allah kwa upande mwingine haina tafsiri hata wao wanajua hili na huwa wanasema hivyo

Tatizo lao ni vilaza wanapostaka kujifananisha na Ukristo wanasahau wanachokuwa wanasema

Uongo huu nimeshausema hapo juu

Eli kwa kiarabu ni ilah sio Allah!

At this wanakubali kuwa Emanu-Eli ni Mungu pamoja nasi lakini kwenye suala la Yesu wanakataa,labda nikuulize wewe ulieandoka hapa

Hili jina alipewa nani na kwanini?

Acha uongo wewe mbona mnasemaga Allah haina tafsiri?

Unajua kuwa allah ilitoka wapi?

Usichokijua wewe kilaza ni kuwa hujui tofauti kati ya jina na sifa

El ni sifa sio jina

Jehova ni jina la Mungu

Hakuna mungu mwingine anaitwa Jehova

Allah ni jina la mungu wa waarabu wa kabila la ki-quresh

mungu huyu yupo makah hadi leo

Wahindu wana mungu wao

Waarabu wana mungu wao

Waisraeli wana Mungu wao

Budha wana mungu wao n.k

Kila kinachoabudiwa kupewa sifa ya uungu haijalishi ni kitu gani au ni Mungukweli ama la

Mungu wa waarabu anaitwa Allah

Mungu wa Waisraeli anaitwa Jehova

Leo wakipatikana watu wanakuabudu wewe watakuita mungu

Jina la Mungu wa Waisraeli ni Jehova maana yako ni NIKO AMBAE NIKO

Allah kwa upande wa pili haina tafsiri

Kwa waisraeli sifa ya Mungu inajulikana kama El na jina la Mungu ni Jehova

Sasa namuuliza huyu alieandika huu uha.ro hapa Kama Allah tafsiri yake ni mungu je jina la mungu kwa kiarabu ni nini?

Kma wapo ni kutokujua tu ndiko kunawafanya kumuita Mungu hivyo!

Uislam unaenezwa kwa njia kuu 2

1:Uongo

2:Ugaidi

Watu wakikataa kukubaliana na uongo wanatumia ugaidi kuwalazimisha!