Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #101
Mkubwa hata Hiyo MOU wanayojaribu kuitetea kwa miaka mingi walikuwa wakikanusha Mpaka watu walipoweka hadharani Mkataba halisi ndio wakaja na jitihada za kuutetea, Sasa Mamilion ya fedha za walipa kodi yanaenda kanisani lakin hakuna Ukaguzi unaofanywa, kama wanaweza kwiba fedha za Sadaka za waumini wao watashindwaje kutafuna au kubadilisha matumizi fedha zetu kama vile kununulia Mkate wa Damu ya Yesu au Mvinyo na Rozari?
Nilitoa ufafanuzi kidogo tu kuhusu MoU, sijui kama ulinielewa hapo nyuma?
Uliza swali ama maoni kulingana na ufafanuzi wangu huo juu ya MoU!
Ningekuona umefanya Utafiti wa maana kama ungewahoji Masheikh wakuambie nini maana ya mfumo huo sio kujiandikia tu.
Umepoteza muda wako bure na hakuna cha maana ulicholeta . Mfumo huo upo na waambie waliokutuma kuja kuleta propaganda hapa kuwa mimi sijaukubali na nimeuona ni Upuuzi tu
Mkubwa hata Hiyo MOU wanayojaribu kuitetea kwa miaka mingi walikuwa wakikanusha Mpaka watu walipoweka hadharani Mkataba halisi ndio wakaja na jitihada za kuutetea, Sasa Mamilion ya fedha za walipa kodi yanaenda kanisani lakin hakuna Ukaguzi unaofanywa, kama wanaweza kwiba fedha za Sadaka za waumini wao watashindwaje kutafuna au kubadilisha matumizi fedha zetu kama vile kununulia Mkate wa Damu ya Yesu au Mvinyo na Rozari?
Ningekuona umefanya Utafiti wa maana kama ungewahoji Masheikh wakuambie nini maana ya mfumo huo sio kujiandikia tu.
Umepoteza muda wako bure na hakuna cha maana ulicholeta . Mfumo huo upo na waambie waliokutuma kuja kuleta propaganda hapa kuwa mimi sijaukubali na nimeuona ni Upuuzi tu
thibitisha lini CAG alishawahi kukagua Fedha zinazoenda kwa Kanisa kama zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa wakati Sect 43 ya Katiba inampa Nguvu,mamaka na wajibu wa Kukagua kila Shilingu ya serikal inayokwenda kwenye matumizi!
We jamaa una chuki sana na Wakristo na Ukristo. Lakini chuki zako zitakuua bure wakati hao unawaowachukia na kuwadharau wakiendelea kudunda na kula raha zao. Bob Marley alipata kusema "Who Jah (GOD) bless no one can curse".
By the way Waislamu sio Tanzania ni karibu Duniani kote wanalalamika, sijui na Somalia ni mfumo Kristo???
Huu utafiti wako sijui umeufanya wapi naona umejaa maneno matupu bila ushahidi wowote wa kitakwimu kutoka kwenye vyanzo mbali mbali...
Hapa unatueleza tu kienyeji hausemi hao wanasiasa uliwahoji maeneo yapi, hauna hata mfano mmoja ni wanasiasa wa aina gani uliowahoji japo kwa majina machache.
Nadhani hawa ni wachache ingekuwa vizuri ungetutajia majina yao.
Hapa naona unazidi kuzama kwenye tope zito na hizi tafiti zako haiwezekani Dar es Salaam, ofisi za serikali ziwe na Waislam 492,238 halafu Wakirsto 384,700.
Hebu soma chini hapa majibu ya serikali bungeni.
Huu utafiti una vituko vingi sana, kariakoo nzima kuna maduka 57 wamiliki wake ni wa dini nyingine, wakati Wakinga wamejaa kariakoo na wengi wao hawana dini kabisa.
Cc: THE BIG SHOW CHAMVIGA, ZeMarcopolo,

Kwa research yake hii hata kama ametumwa basi atadhaurika sana na waliomtuma. Hata mjinga anaesikia sikia dhana ya mfumo kristo kwa majibu hayo hawezi kushawishika.Dhana ya mfumo kristo ni pana sana mkuu yericko nyerere. Research yako tata na sample space yako pia ni utata mkubwa. Nilitaraji ungechukua mawazo ya wanaodai tanzania kuna mfumo kristo ila umefanya blah blah zako halafu unaziita research.
Ukiangalia vizuri suala la mfumo kandamizi dhidi ya waislamu ni ya kihistoria.
Ni lazima uwe na uhakika kuwa pesa ya mlipa kodi wa Tanzania inakwenda "kanisani",
Thibitisha kwanza kama pesa ya uuma inakwenda kanisani kwa misingi ipi iliyokusudiwa?
Naomba nisiende mbali zaidi,
Hebu nieleze Mfumo kristu kwa Tanzania upo wapi na unafanyaje kazi?
Kwa research yake hii hata kama ametumwa basi atadhaurika sana na waliomtuma. Hata mjinga anaesikia sikia dhana ya mfumo kristo kwa majibu hayo hawezi kushawishika.Dhana ya mfumo kristo ni pana sana mkuu yericko nyerere. Research yako tata na sample space yako pia ni utata mkubwa. Nilitaraji ungechukua mawazo ya wanaodai tanzania kuna mfumo kristo ila umefanya blah blah zako halafu unaziita research.
Ukiangalia vizuri suala la mfumo kandamizi dhidi ya waislamu ni ya kihistoria.
Yericko ni mzee wa story za kijiweni. Mara nyingi huwa hayuko serious ila watu wanashindwa kumuelewa. Tatizo lake anafanya utani kwenye mambo yasiyohitaji utani.
Kusema kuwa jiji la Dar es Salaam lina watumishi wa umma laki nane ni UTOTO. Kama ingekuwa hivyo basi nchi yetu isingekuwa na tatizo la ajira kabisa. Kwa lugha nyingine ni kwamba Yericko anasema Dar es Salaam kila mtu aliye kwenye umri wa kuajiriwa ameajiriwa na serikali. This is nonsense...
Huku ni kulidhalilisha jukwaa letu makini la Intellingence.
Hivi wanaukumbi mnakubaliana kweli watumishi wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar wengi ni Wakirsto.
Tafiti hizi kweli ni kituko.
Inaonekana hata MOU iliyosainiwa na Edward Lowassa na Professa Mahalu 1992 hujawahi kuisoma kwa kina, Huu si muda wa kukanusha Serikali kulipa Kanisa mamilion, Tayar hati ya Mkataba ipo Mikononi mwa wapinga Mfumo Kristo, Serikali ina mkataba na Kanisa na inawapa fedha kuendesha baadhi ya shughuli, Swali walipa kodi tunajuaje matumizi kama yanaenda kama yalivyokusudiwa? Nikikwambia hizo fedha zinabadilishiwa matumizi au hazitumiki zote kama ilivyokusudiwa utasemaje maana hakuna feedback ya ukaguzi?