ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Sasa hivi lala, ila kesho naamka na wewe mpaka darasa likuingie mkuu
Wewe lala tu mkuu, lakini ukija uje na numbers. Lets make sense by numbers not empty words like the Lebanon "kistone" story...
Sasa hivi lala, ila kesho naamka na wewe mpaka darasa likuingie mkuu
Wakristo hamna hoja juu ya ukweli huu wa mfumo kristo,raisi jk aliwahi kusema kuwa wakristo wanapewa fedha za kuendesha taasisi zao kama hospital ,shule,nk unafikiri wasilam hawajuwi wewe subiri tu kitanuka.
CCM wanaingiaje katika utafiti huu?Daaah
CCM hamnazo, mmepka data ili kupambana na udini?!! Nyooooo
Waoslam tumechoka kuwekwa nyumaa.... Mm nna MBA finance, niko kijwen! Wakristu walshasoma zaman wakala vtengo na watoto wao wanapetaaa!!!
Sku hz muislamu ukisoma sana ni kaz bureeeeeee!!!! Nyoooooooo.....
Wamekaririshwa kuwa Wakristu hupewa pesa na serikali,Wanapewa na na nani mkuu?
Imagine km "...mfumo kristu haukubuniwa...".Baada ya ile dhan ya kugombea uhuru, waislam wangepati wapi pa ku black mail taifa?waoi wangechoma makanisa kirahisi tuu na kesho yake serikali ikaenda wasikiliza ktk secular gaovernment..?imagine bila mfumo Christu waislam wangewaambiaje watoto wao waliowaaminisha kuwa dini yao ndio ya kweli,elimu yao ndio superior na swala yao hujibiwa na allah...halafu ufaulu wa wakristu, na mahudhurio yao kuwa mkubwa?
Imagine bila hiyo:wangewaambiwa nini watoto kuhusu uhaba wa shule, udhaifu wa taasisi zao kiuongozi, kushindwa kwa mengi bila backup ya office za serikali.......leo si ktk afya, elimu pekee waislam bila serikali inayobebwa na Ukristu life yao itakuza impossible........hata mabilionea wa kiislam hali zao hubadilika sana mfumo islam ukibanwa...yule jamaa wa home shopping centre km kungekuwa na serikali isiyo ya kiislam, na hakuna rushwa asingefikia hapo.ni dunia nzima..hata india waislam wanalili wapewe fursa..sawa.Na waliopata huwa wanafanya unwise support kwa wenzao.Wauza unga ,majangili wa porini, na wengine anaofanya bishar azisizo na kodi wengi ni waislam...pamoja na kutochangia kodi ktk dili haramu na kujuana na ikulu, na wazee wa chama..bado kodi itokayo kwa wakristu wanaofanya kazi rasmi..bado ktk mgao waislam ndio wanafaidi ..kuanzai kuokolewa ktk utapeli wa hija, kulipia bakwata, kulipia elimu,afya, na hata ajir amakazini zinazotolewa kidini.
Uliwahi sikia Quran inajitetea vipi kuhusu mafanikio ya Wakristu......kuwa ni lifists ,waponda starehe.....kwa ujumla mchango wa waislam ni mdogo kuliko matumizi yao ktk kodi ya nchi...wapo wengi wasio na bishara zilizorasimishwa ,na kulipa kodi, wamezaa watoto wengi sana kw akisingizio kuwa wana uwezo wa kuhudumia kw avile wana mali ila wakati wa kusoma husomea hela ya makafiri ambao wana watoto wachache, na wanalipa kodi...na hawatumii udini
Hakuna ukweli hapo. Utafiti mzima ni upuuzi mtupu. Walipa kodi wakubwa wa nchi hii ni waislam. Makampuni ya Bakhressa pekee yana mchangowa mabilioni katika kodi bila kuwajuisha makampuni ya mafuta ambayo % kubwa yanamilikiwa na waislamu. Kama huu ndio utafiti unaonyesha namna tulivyoshindwa kila pahali
Haihitaji kuwa mtaalamu wa hesabu ndipo ubaini nichokusudia,Imagine km "...mfumo kristu haukubuniwa...".Baada ya ile dhan ya kugombea uhuru, waislam wangepati wapi pa ku black mail taifa?waoi wangechoma makanisa kirahisi tuu na kesho yake serikali ikaenda wasikiliza ktk secular gaovernment..?imagine bila mfumo Christu waislam wangewaambiaje watoto wao waliowaaminisha kuwa dini yao ndio ya kweli,elimu yao ndio superior na swala yao hujibiwa na allah...halafu ufaulu wa wakristu, na mahudhurio yao kuwa mkubwa?
Imagine bila hiyo:wangewaambiwa nini watoto kuhusu uhaba wa shule, udhaifu wa taasisi zao kiuongozi, kushindwa kwa mengi bila backup ya office za serikali.......leo si ktk afya, elimu pekee waislam bila serikali inayobebwa na Ukristu life yao itakuza impossible........hata mabilionea wa kiislam hali zao hubadilika sana mfumo islam ukibanwa...yule jamaa wa home shopping centre km kungekuwa na serikali isiyo ya kiislam, na hakuna rushwa asingefikia hapo.ni dunia nzima..hata india waislam wanalili wapewe fursa..sawa.Na waliopata huwa wanafanya unwise support kwa wenzao.Wauza unga ,majangili wa porini, na wengine anaofanya bishar azisizo na kodi wengi ni waislam...pamoja na kutochangia kodi ktk dili haramu na kujuana na ikulu, na wazee wa chama..bado kodi itokayo kwa wakristu wanaofanya kazi rasmi..bado ktk mgao waislam ndio wanafaidi ..kuanzai kuokolewa ktk utapeli wa hija, kulipia bakwata, kulipia elimu,afya, na hata ajir amakazini zinazotolewa kidini.
Uliwahi sikia Quran inajitetea vipi kuhusu mafanikio ya Wakristu......kuwa ni lifists ,waponda starehe.....kwa ujumla mchango wa waislam ni mdogo kuliko matumizi yao ktk kodi ya nchi...wapo wengi wasio na bishara zilizorasimishwa ,na kulipa kodi, wamezaa watoto wengi sana kw akisingizio kuwa wana uwezo wa kuhudumia kw avile wana mali ila wakati wa kusoma husomea hela ya makafiri ambao wana watoto wachache, na wanalipa kodi...na hawatumii udini
Hakuna ukweli hapo. Utafiti mzima ni upuuzi mtupu. Walipa kodi wakubwa wa nchi hii ni waislam. Makampuni ya Bakhressa pekee yana mchangowa mabilioni katika kodi bila kuwajuisha makampuni ya mafuta ambayo % kubwa yanamilikiwa na waislamu. Kama huu ndio utafiti unaonyesha namna tulivyoshindwa kila pahali
Ukiangalia hata kwa jicho la mbali tu utabaini kuwa uchumi wa nchi hii kwa kiwango fulani umweshikwa na watu gani,
Nimehuzunika sana kuona huu nao unaitwa Utafiti,Labda kwa kuwa Lugha yetu ni finyu kwenye Misamiati, Mtafiti huyu kashindwa kwanza kabisa Mwanzo wa Utafiti wake kwa kuanza kukejeli eti ' wanaoimba Wimbo huu wa Mfumo Kristo walishindwa kutoa majibu Mujarrab' Vitabu kadhaa vimeandikwa kikiwemo cha Pdri Sivalon akieleza Nafasi ya kanisa Tanganyika, Professor Hamza Njozi kaandika 'The Killing of Mwembe chai and Political future of Tanzania', Tape, Hotuba za Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam wameeleza kwa kirefu sana.
Hata kama huamini ulipaswa kupitia na kuweka hoja zao ili Upate 'Lacuna' Gap ambalo litakufanya Uanze Reserach, Sasa umekwepa Hoja zao halafu umekimbilia kuweka majibu yasiyo na Maswali, Hospital za Mkoa za Serikali Hazina X-ray halafu unasifia Serikal kupeleka Pesa kanisani kununua X ray tena hizo fedha hazina ukaguzi wa serikal kujiridhisha na Matumizi yake.
Mara zote Serikal imekuwa Mlalamikaji kwenye madai yanayoitwa Kashfa dhidi ya Dini Kikristo wakati kesi ya Madai haihusu Serikali na wapo Waislam walikwishapigwa Risasi,kufa kufungwa kwa kukana Mungu wa Kikristo lakin hakuna hata kesi moja ya Wakrsito wakipinga Uungu wa Allah au miungu ya Asili.
Tangu kuanzishwa NECTA haina tofauti na Parokia halafu Waislam hawaruhusiw kuhoji ila ni Halali wakristo kuhoji wingi wa Waislam kwenye Tume ya Katiba, serikal zote Tangu Uhuru zimekuwa zikifanya madudu japo kwa kiwango Tofauti ila 'Mtafiti' Mwenyewe ni Shahidi Kanisa hupaza Sauti kutikisa na kukashifu na kukosoa Serikal pale tu Rais anapokuwa si Mkatoliki, kama anabisha atueleze Kauli za Kanisa kumkosoa Nyerere au Mkapa japo kuna Madudu mengi tu katika Tawala zao, unapozungumzwa Mfumo ni Mpaka Fikra kiasi kwamba leo Ofisi ikiwa na Idad walau 40% ya Waislam huitwa Udini kwa kuwa si mazoea, NSSF kila siku inaitwa kuna Udini lakin tukiomba data za Idad ya waislam na Wakristo huingia mitini kama ile 64% ya wakrsto wakat wa sensa.
Nachokushauri Soma Vizuri Resercha Methodology and Technique and Tactics za Reserch ili uweze kufahamu Maana ya Reserch maana vitu kama hivi kuonekana Jukwaa la Brilliant eti ni Utafiti wa Greatthinkers unatudhalilisha hata kama ulihoji watu kweli kwa kiwango hicho japo ni Ngumu kumeza!
Dar es Salaam, haina watu milioni 5.1.Mkuu wangu,
Nikujuze tu kuwa mpaka mwezi uliopita yani mwezi wa nane, Dar es Salaam ilikuwa inakadiriwa kuwa na wakaazi 5.1 milioni,
Sasa ukiona watumishi wa umma laki 8 ni maajabu basi mimi nitakuona wewe ndio wa maajabu zaidi,
Yericko leo umepata kijiti cha wapi?
Unasema umejihusisha na wafanya biashara na kwamba takwimu umezipata wizara ya Utumishi, halafu wewe huyohuyo unasema takwimu za wafanyabiashara hazipatikani wizara ya utumishi!
Kaa chini, kunywa glass ya maji kwanza ili ku dilute kijiti, halafu ndio uje kuendelea na mjadala.
Hii ndio population structure ya Dar es Salaaam by age.
0-14 years: 44.8%
15-24 years: 19.4%
25-54 years: 29.3%
55-64 years: 3.5%
65 years and over: 2.9%
Mkuu ze marcopolo, naomba chanzo cha takwimu hizi tafadhali!
Nini kifanyike kuwaondolea hii imferiority complex?
Teh teh teh teh! Uzi uanzishe wewe halafu unajijibu mwenyewe, Multiple ID's at work.Ungesoma vizuri uzi huu tangu mwanzo, usingeuliza swali hili. Yeriko ameeleza sehemu mbambali alikotoa hizo takwimu zake. Watumishi wa umma katoa utumishi, wafanyabiashara kasema katoa brela na tra; sasa kubishana kunatokea wapi?
Marcopolo, hebu weka chanzo cha takwimu zako za mgawanyo wa umri na idadi ya watu wa Dar ili niweze kudadavua huu utafiti kwa umakini zaidi!
kwanza hongera sana kwa utafiti wako ndugu yangu Yericko
huwezi kumuondolea INFERIORITY COMPLEX mtu -------- coz -------- hata aje YESU KRISTO mwalimu wa walimu hataelewa bali mjinga ANAELIMIKA, kumradhi lakini ndo ukweli japo mchungu waislam wengi ni mambulula sana -wamekaririshwa dini na wakaimeza ivo ivo,
-wamekaririshwa kuwa MUISLAM NDUGU YAKE MUISLAM na wakaimeza ivo ivo na ndio sababu wanatuchukia sana sisi WATEULE WA MUNGU(WAKRISTO) bila sababu ya masingi
-wamekaririshwa kuwa adui yao mkubwa ni wakristo bila kuambiwa kwanini wanatuchukia
-wamedanganywa kuwa nchi yetu inatawaliwa na "MFUMO KRISTO" wameamini na kusahau kuwa RAIS,MAKAMU WA RAIS,MARAIS WOTE WA ZANZIBAR,IGP,MKUU WA TISS,AFANDE KOVA NA MAWAZIRI WALIO WENGI NI WAISLAM- huu ni umbumbu na upumbavu wa kujitia uchizi wa kutokujua
=mtu wa namna hii huwezi kumkomboa hata kidogo
-mtu anayedhani akivaa bomu akaua watu kanisani ataenda peponi direct na atapatiwa wasichana mabira 72 huyu ni -------- ambaye anawaza tu ngono ivo hawezi kuelimika hata iweje
mytake:NDUGU ZANGU WAKRISTO TUFUNGE TUKISALI NA KUWAOMBEA HAWA WENZETU WAEPUKANE NA UPUMBAVU NA MUNGU ATAWAPONYA TU.AMEN
NB:UPUMBAVU SI TUSI BALI NI HALI YA MTU KUSHINDWA KUELEWA NA KUCHAMBUA MAMBO SAWASAWA
JAH BLESS TANZANIA

Yeriko hizi data si za kweli hazijafanyiwa utafiti ila zimetoka kichwani kwako kwaajili ya kushawishi watu waamini unachosema, unasema dsm pekee ina waajiriwa wa serikari zaidi ya 876000, huo ni uongo kwani sekta yenye watumishi wengi wa serikali ni elimu ambao idadi yao ni zaidi ya nusu ya watumishi wote tz na idadi yao haifiki 600000, hii maana yake ni kuwa watumishi wa serikari tz nzima haizidi 1200000, pia majina ya wanafunzi wa kiislam na kikiristu umeyachambuaje wakati zimeandikwa namba. Pia utafiti sio kukusanya takwimu pekee bali pia inahusisha uchambuzi wa takwimu na mambo mengine mengi, hichi ulichoandika hatuwezi kuita utafiti ila takwimu zisizo na ukweli wowote
Astonishing,
Very Astonishing Claims to make,
Mods watueleze,hapa ni mahala rasmi kwa kuja kukejeli dini yetu waislam?uzi huu umeanzishwa ili uje kukejeli iman za watu?
Na siku zote huwa nawauliza Mods kwa vipi huwa wanafumbia macho mambo ya kipuuz kama haya na kuja kuyafunga baadae ili hali inakua hisia za watu tayari zishaumizwa?
Huyu hapa anakuja kusema kwamba uislam ndio unasabababisha kila aina ya maovu na machafu kutokana na ahadi za mafundisho ya dini hii,hizi si ni dharau?
Wale wanaamrisha kufungisha ndoa za jinsia moja na ushoga ni waislam?
Wanaopigana vita uganda na Lord Resistance army kwa ishara ya kutetea amri kumi za mungu ni waislam?
waliovamia Iraq kwa kusema nchi hiyo ina weapons of mass destruction na uhusiano na alqaeda ni waislam?
Waliokaswagwa wanyarandwa makanisani na kuwatupa sadaka wauwawe kwenye ile genocide ni waislam?
Waliokuja kufanya biashara ya utumwa na kuwachukua millions of african people kwenda america na sehemu zingine tena kwa kusomewa vifungu vya maneno matakatifu ni waislam?
Analeta propaganda zake kwamba waislam wana miadi ya kuwaangamiza waamin wa iman zingine ili wapate malipo wapi anayatoa mambo haya,aangalie sehemu zilizo na waislam na zenye machafuko kisha aangalie mkono wa america ukoje sehemu hizo,
na aangalie sehemu zilizo na utulivu kisha apime kipi kinasababisha sehemu hizo kuwa ivo,
Lawama hizi za matusi kejeli na udhalilishaji mimi nawabebesha mods,kwa kuwa ndie ambao wanaruhusu watu kuja kujadili mambo ya kijinga na kipuuzi huku wakipuuzia,hebu jiulize nin mantik ya uzi huu,
Mtu mmoja mpuuz mpuuz na kila mtu anamfaham aje hapa na kusema ye kafanya research,research ipi,si ni huyu huyu alikuja kusema kapata ufadhili na ubalozi wa marekani kuandika mambo ya ugaidi,alisema haya hapa jukwaani na mara baada ya kubanwa na kuulizwa uhalisia akaishia kuuma uma maneno,ana credibility gani ya kusimama mbele yetu na kuzungumza utumbo wake hapa,
Ajabu kuna watu wanakuja mpongeza na kumwona wa maana kwa lipi?
Mtu anakuja kuongopea hata nasaba isiyo ya kwake ili aishi kwa utapeli mjin hapa,nani hajui kuwa huyu ni m'babaishaji tuh?
Anakuja kuongopa yeye ni C.E.0 wa kampuni ili hali ni fundi mchundo tuh?nani amuamin,
Hana elimu,hana kazi ya maana,kutwa kuchwa anashinda mitandaoni,sijui muda wa kujishughulisha anaupata wapi kama sio utapeli,
Sasa kama watu wamekosa vya kuzungmza wasianze kutaka kusababisha farki na chuki kwenye jamii,ni watu wapuuz tuh wanaweza kuwaza kwa akili fupi kama hizi.