Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Kwahiyo huyu mungu aliyetoa neno na huyu aliyepigiliwa msalabani na kudhalilishwa ni waungu wawili tofautiKwani Mungu aliyetoa NENO hakuwepo?
baba mtumishi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo huyu mungu aliyetoa neno na huyu aliyepigiliwa msalabani na kudhalilishwa ni waungu wawili tofautiKwani Mungu aliyetoa NENO hakuwepo?
Kwahiyo ukienda China imekula kwako siku hiyo huendi church au lazima ujue kichina?
hajakamilisha wapi bana..alikua anahofia nini?maana kila kitu kikienda according to plan after all si ni mtoto wa mungu alikua anagwaya nini?
Je ni kweli alikua masiha wa wayahudi au alikua impostor? Kwanini wayahudi hadi leo bado wanamsubiri masiha,kwanini hawamtambui yesu?
Naomba ujibu hili swali
Kwanini wewe ni mwanadamu?
mchungaji, naomba unisaidie vile visanamu vya bikra maria huwa watu wanavipigia magoti kuviomba msaada nani anavitengeneza?
haileti maana kabisa..kristo maana yaje mpakwa mafuta,sasa dini inaitwa wapakwa mafuta,WHAT FOR?
What is mafuta in relation to salvation?
Kwahiyo huyu mungu aliyetoa neno na huyu aliyepigiliwa msalabani na kudhalilishwa ni waungu wawili tofauti
baba mtumishi?
Tumechoka na maswali yako ya kitoto!
Wewe kila unapokataa kujibu swali na kupindisha pindisha! Ndipo jamii inapoona udhaifu wenu nyie wagalatia!!
Mi nakuuliza WAPI YESU KAFUNDISHA UKRISTO?
sio wapi yesu kafundisha injili!
Halafu wewe unaniuliza kama mimi ni binaadamu??
Tuseme unajiwehusha au??
mary magdalena alikua dada poa,na niyeye ndo aliempaka yesu mafuta miguuni,actually sijui hata ni nini hasa huyo mdada alitaka kuachiave.Hapo ndipo shida....ilipo kitu usichokijua ni bora ungeomba kufundushwa.Kelele zote hizi sasa unauliza ujinga.
Mpakwa mafuta ni Mtu aliyepitishwa......ni kuhani mkuu alitawadhwa.....ndipo tofauti ya kujisalimisha na kupakwa mafutwa....
Mwenyewe unadhani umeshaconvince watu kuwa upo km kichwa yako inavyo imagine...
Unachokiona ni christian Values ambazo ndizo unazozifaidi na kukuba kila kitu kuanzia technologia na vitu vingine.
Mchungaji eti kwenye biblia inasema Mungu alipokuwa anaumba dunia siku ya sita alipumzika kwa uchovu?Kwani Mungu aliyetoa NENO hakuwepo?
Kwahiyo Daudi alipomuua Goliath ulikuwa pia ni ugaidi na ukumbuke mtume Muhamad (S.A.W) makka palikuwa ni kwaoKabla Mwamedi hajazaliwa Wakristo,Waquraish na wapagani wengine walikuwa wakiishi kwa amani Makkah,lakini huyo jamaa yenu alipoiteka tu matatizo yaliaznia hapo,kukawa hakuna amani kati ya waislam na mtu wa imani yopyote ile na hata miongoni mwenu wenyewe
Unanipa link za hovyo tu hapa hazina lolote
Mambo ya one worl goverment hayana ushahidi wowote lakini mimi nina ushahidi wa mambo ya kigaidi yanayofanywa na nyie waumini wa dini ya haki
Shame on you!!!!!
Walikua wapi siku zote hizo?
Mtumishi! Kanisani hakuna visanamu vya bikra maria ambavyo vinaombwa.Mchungaji hana sanamu ya Bikia maria..umeanza leta issue za CUF kupandisha mchungaji feki ambaye alikuwa akichanganya Upadre na Uchugaji.
mary magdalena alikua dada poa,na niyeye ndo aliempaka yesu mafuta miguuni,actually sijui hata ni nini hasa huyo mdada alitaka kuachiave.
Sijui ili kuwa massage..hebu weka andiko hapa tujue uhusiano wa mafuta na mambo ya imani.
yesu alisema,hakutumwa ila kwa wana wa israel,na alisema si vyema kukitwaa chakula cha watoto na kumpa mbwa.
Hiyo enendeni kwa mataifa yote ni nyongeza ya baadae.
Baada ya wayahudi kumkataa yesu ndo mwishomwishoni akawageukia mataifa.
Kumbuka yesu alikataliwa na hata pald nazerati walimfukuza wenyeji akaenda galilaya.
Wagalatia kwa sarakasi,kuna mdau alishawai kusema biblia kama NOVEL ZA SHIGONGO,nami nakubaliana nae. Yaani utumbo utumbo tu halafu walevi kama kina Nicholas na matapeli kama maxshimba eti ndio wafuasi wa hiyo novel (biblia)
We umeombwa ulete andiko linalosema "wapi yesu kafundisha ukristo?
Au kasema mimi ni mkiristo??
Sio yesu kasema mimi ni kristo!
Kuna tofauti kubwa saana baina ya
Yesu KRISTO na UKRISTO!
au hufahamu tofauti zake nikufundishe??