UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Ha ha haa mkuu Ritz umemuona eehhh Yericko habanduki kakaa kimya anamuachia kamanda mwenzake
na mimi najua Yericko kwa haya mambo ni mweupe hawezi tia pua atabaki kuchungulia tuu Rastafari mnafiki.
Hawa jamaa wote ubongo wao unafanana hawa ndiyo walikuwa wafikiri dunia ipo Square wakati siyo kweli.
 
upo tayri kuandika millions wa useless words, kujikuza ,kufanya mizaha, etc...lakini si kujibu swali kwa vile huna jibu wala swali lenye maana.....

"NI MAJINN TUU NDIO WAMEDEMONIZE ISLAM"....HAMJANIJIBU WANAPATA WAPI DAMU....NAJUA MNAJUA MAJINN KW AKUWACHEZEA TRICKS...WENGI HUWA MNAAMINI VITU VISIVYO ILI MRADI TUU MSIWEZE FIGURE OUT TATIZO NI NINI..KILA SEHEMU ISLAM INASEMA KUWA ADUI ANAYEACHUKIWA,ANAYEWANYONYA..CONSIPRACY THEORIES NI BIDHAA ADIMU NA ZENYE THAMANI KTK DUNI AYA KIISLAM....

HADITH NI UMBEA NA NDIZO NGUZO KUU KTK UISLAM.....BIL HADITH KURANI HAISOMEKI .....NA MAJINN NI WAMBEA NUMBER 1.WANAOCHUKUA UMBEA KWA KUSIKILIZA MAZUNGUMZO YA MALAIKA HALAFU WANAKUJA WAPA WAISLAM HABARI..KWANINI MSIWE NA TWISTED STORY ZA KILA KITU..NI QURAN NDIO INASEMA HAYO KUHUSU UMBEA WA MAJINN.

SIKU ZOTE MTAKUWA WATU WA KULISHWA UMBEA NA KUJENGA UMBEA.
after jesus raised lazaro.

''they left the tomb and went to the Young man's house(lazaro house)for he was rich.six days later,jesus gave him instruction of what to do and IN THE EVENING THE YOUTH CAME TO HIM(Jesus).WEARING NOTHING BUT A LINEN CLOTH OVER HIS NAKED BODY.
HE REMAIN WITH JESUS ALL NIGHT,for jesus taught him the mystery of the kingdom of god.
And when jesus wokeup HE RETURN TO THE ORTHER SIDE OF JORDAN.(Mark10:34-35).
Sasa jamani mystery gani ya kufundishana usiku kucha tena kijana kaja amevaa kanga tu ndani yuko uchi?.
Baba mchungaji nicolaus explain this.
 
Hawa jamaa wote ubongo wao unafanana hawa ndiyo walikuwa wafikiri dunia ipo Square wakati siyo kweli.
Nikweli mkuu wakasome Qurani vichwa vyao vikae sawa waache bla blaa hapa
uislamu ni hoja na dalili zenye mashiko sio ujanja ujanja ukihoji kanisani kidogo
unaambiwa kijana unapepo au bwana hayuko moyoni kwako huo si ujinga watu
wanapelekwa kibubusa lakini hawajitambui ondokeni huko mnalishwa matango pori!
 
Just before jesus raised lazaro.
''then jesus rolled away the stone from in front of the tomb.He went in where the youth was and stretchedforth his hand and raised him up.
The youth looking upon him,and HE LOVED HIM AND BEGAN TO BEG HIM TO BE WITH HIM.

Now baba mchungaji can you explain what kind of love did this lazaro boy exprience concern jesus in relation to him going half naked to spent the night with jesus,being taught some mystery,WHAT MYSTERY WHAT?
 
Yericko Nyerere, mkuu endelea na mambo ingine .Otherwise tutangaze kuwa utafiti wako umeondoa myths...myths zipo nyingi sana na watu huamini kirahisi kwa kuchukulia vitu for granted ,kwa kutofanya utafiki(uvivu), au wahusika w akutolea ufafanuzi wana maslahi ndani na hivyo kuacha au kuzidi potosha makusudi.

Mfumo Kristu ni ubunifu wa waislam ku blackmail serikali na wakristu....
Binadamu kikawaida uzito wake wa ubongo ni 1400g.

Lakini wewe ubongo wako kama wa tembo uzito wake ni 0.15.

Ukichanganya na viroba unadhani kuna nini kichwani mwako
 
Nikweli mkuu wakasome Qurani vichwa vyao vikae sawa waache bla blaa hapa
uislamu ni hoja na dalili zenye mashiko sio ujanja ujanja ukihoji kanisani kidogo
unaambiwa kijana unapepo au bwana hayuko moyoni kwako huo si ujinga watu
wanapelekwa kibubusa lakini hawajitambui ondokeni huko mnalishwa matango pori!
Hawa ndiyo walimua Galileo Galilei alipowambia dunia imekaa kama tufe.
 
Teh teh teh teh! Uzi uanzishe wewe halafu unajijibu mwenyewe, Multiple ID's at work.

Ritz acha uzushi wako huo! Mimi simjui Yeriko na wala sina nasaba naye. Kama ni maoni yangu, hiyo ni kulingana kwa mawazo tu na si vinginevyo! ID hii ni yangu na sina ubia na mtu yeyote.

Asante kwa kunielewa.
 
alipakwa mafuta na mary magdalena,inakuaje tukio liwe dini?

Unaongelewa kupakwa mafuta kabla ama baada ya kifo?

Kama kabla, Yesu Kristo alipakwa mafuta na mwanamke asiye tajwa kwa jina. Soma Marko 14: 2-9. Hapo yule mwanamke alimpaka mafuta Kristo ili kuonyesha ni namna gani anamkubali Yesu kuwa ndiye Masiha Mteseka. Hiyo ilikuwa ni utamaduni kwa wafalme kupakwa mafuta.

Soma vitabu vya kwanza cha Samueli 10: 1 na cha Wafalme 9: 3-6 ujifunze zaidi.

1 Samueli 10: 1 inasema:

"Ndipo Samueli akatwaa kichupa cha mafuta akakimimina kichwani pa Sauli, akambusu, akisema, BWANA anakutia mafuta ili uwe mkuu juu ya watu wa Israeli. Nawe utawatawala watu wa BWANA na kuwaokoa mikononi mwa adui zao wanaowazunguka. Na hii itakuwa ndiyo ishara ya kuwa BWANA amekutia mafuta kuwa mkuu juu ya urithi wake".

2 Wafalme 9: 3 na 6 inasema:

"Kisha uchukue ile chupa ya mafuta, uyamimine juu ya kichwa chake ukisema, 'BWANA anasema hivi: Ninakutia mafuta uwe mfalme juu ya Israeli.' Halafu ufungue mlango, ukimbie bila kukawia."

"Yehu akasimama, akaingia ndani ya nyumba. Basi nabii kijana akammiminia mafuta kichwani akimwambia, BWANA Mungu wa Israeli asema hivi: Ninakutia mafuta uwe mfalme juu ya watu wa BWANA, yaani juu ya Israeli".

Kama unaongelea baada ya kifo, Marko 16: 1-4 inatoa majibu.

"Baada ya Sabato, Maria Magdalena na Maria, mama wa Yakobo, na Salome walinunua manukato ili waende kumpaka. Asubuhi na mapema, jua lilipochomoza, siku ya kwanza ya juma, walifika kaburini. Walikuwa wakisemezana, Nani atatuvingirishia jiwe la kaburi kutoka mlangoni? Lakini walipotazama, waliliona jiwe limekwisha vingirishwa; maana lilikuwa kubwa sana.

Hapo inamaanisha, Maria Magdalena na wenzake hawakufanikiwa kumpaka mafuta kama unavyodai.

Ebu nipe andiko linaloonyesha hayo maneno yao uliyoyasema.

La msingi ni kwamba, Kristo Yesu alikuwa Masiha mpakwa mafuta na Baba, aliyekuja kutuokoa sisi wadhambi na kutufundisha kwamba yeye ndiye NJIA, UKWELI na UZIMA.
 
Hapo ndipo shida....ilipo kitu usichokijua ni bora ungeomba kufundushwa.Kelele zote hizi sasa unauliza ujinga.

Mpakwa mafuta ni Mtu aliyepitishwa......ni kuhani mkuu alitawadhwa.....ndipo tofauti ya kujisalimisha na kupakwa mafutwa....
Kasome vizuri maana ya christ kwa padri au pasta wako
 
after jesus raised lazaro.

''they left the tomb and went to the Young man's house(lazaro house)for he was rich.six days later,jesus gave him instruction of what to do and IN THE EVENING THE YOUTH CAME TO HIM(Jesus).WEARING NOTHING BUT A LINEN CLOTH OVER HIS NAKED BODY.
HE REMAIN WITH JESUS ALL NIGHT,for jesus taught him the mystery of the kingdom of god.
And when jesus wokeup HE RETURN TO THE ORTHER SIDE OF JORDAN.(Mark10:34-35).
Sasa jamani mystery gani ya kufundishana usiku kucha tena kijana kaja amevaa kanga tu ndani yuko uchi?.
Baba mchungaji nicolaus explain this.
Duh,hii dini inavituko,ndio mana wanakubalisha... Kumbe yalianza huko nyuma.
 
Unaongelewa kupakwa mafuta kabla ama baada ya kifo?

Kama kabla, Yesu Kristo alipakwa mafuta na mwanamke asiye tajwa kwa jina. Soma Marko 14: 2-9. Hapo yule mwanamke alimpaka mafuta Kristo ili kuonyesha ni namna gani anamkubali Yesu kuwa ndiye Masiha Mteseka. Hiyo ilikuwa ni utamaduni kwa wafalme kupakwa mafuta.

Soma vitabu vya kwanza cha Samueli 10: 1 na cha Wafalme 9: 3-6 ujifunze zaidi.

1 Samueli 10: 1 inasema:

"Ndipo Samueli akatwaa kichupa cha mafuta akakimimina kichwani pa Sauli, akambusu, akisema, BWANA anakutia mafuta ili uwe mkuu juu ya watu wa Israeli. Nawe utawatawala watu wa BWANA na kuwaokoa mikononi mwa adui zao wanaowazunguka. Na hii itakuwa ndiyo ishara ya kuwa BWANA amekutia mafuta kuwa mkuu juu ya urithi wake".

2 Wafalme 9: 3 na 6 inasema:

"Kisha uchukue ile chupa ya mafuta, uyamimine juu ya kichwa chake ukisema, 'BWANA anasema hivi: Ninakutia mafuta uwe mfalme juu ya Israeli.' Halafu ufungue mlango, ukimbie bila kukawia."

"Yehu akasimama, akaingia ndani ya nyumba. Basi nabii kijana akammiminia mafuta kichwani akimwambia, BWANA Mungu wa Israeli asema hivi: Ninakutia mafuta uwe mfalme juu ya watu wa BWANA, yaani juu ya Israeli".

Kama unaongelea baada ya kifo, Marko 16: 1-4 inatoa majibu.

"Baada ya Sabato, Maria Magdalena na Maria, mama wa Yakobo, na Salome walinunua manukato ili waende kumpaka. Asubuhi na mapema, jua lilipochomoza, siku ya kwanza ya juma, walifika kaburini. Walikuwa wakisemezana, Nani atatuvingirishia jiwe la kaburi kutoka mlangoni? Lakini walipotazama, waliliona jiwe limekwisha vingirishwa; maana lilikuwa kubwa sana.

Hapo inamaanisha, Maria Magdalena na wenzake hawakufanikiwa kumpaka mafuta kama unavyodai.

Ebu nipe andiko linaloonyesha hayo maneno yao uliyoyasema.

La msingi ni kwamba, Kristo Yesu alikuwa Masiha mpakwa mafuta na Baba, aliyekuja kutuokoa sisi wadhambi na kutufundisha kwamba yeye ndiye NJIA, UKWELI na UZIMA.
Tendo la kusulubiwa kw Yesu ndio lililofanya mkasamehewa dhambi zenu.Kwa nini aliyefanya mpango huu wa kusulubiwa Yesu,aitwe msaliti na wakati alifanya tendo zuri?Huyu Yuda ndio amewaokoa wakristo wote na dhambi kwa kufanikisha tendo hili,lakini ndio ameonekana ni msaliti.Mbona mnajichanganya?
 
after jesus raised lazaro.

''they left the tomb and went to the Young man's house(lazaro house)for he was rich.six days later,jesus gave him instruction of what to do and IN THE EVENING THE YOUTH CAME TO HIM(Jesus).WEARING NOTHING BUT A LINEN CLOTH OVER HIS NAKED BODY.
HE REMAIN WITH JESUS ALL NIGHT,for jesus taught him the mystery of the kingdom of god.
And when jesus wokeup HE RETURN TO THE ORTHER SIDE OF JORDAN.(Mark10:34-35).
Sasa jamani mystery gani ya kufundishana usiku kucha tena kijana kaja amevaa kanga tu ndani yuko uchi?.
Baba mchungaji nicolaus explain this.

Chifu, tujadili katika hali ya uwazi na ukweli. Hiyo Marko 10: 34-35 haisemi hivyo ulivyoandika.

Inasema:

"Nao watamdhihaki, watamtemea mate, watampiga mijeledi na kumwua, na baada ya siku tatu atafufuka". Hapo Yakobo na Yohane, wana wawili wa Zebedayo, walimwendea wakamwambia, Mwalimu, twataka utufanyie tutakachokuomba".

Jaribu tena.
 
Unaongelewa kupakwa mafuta kabla ama baada ya kifo?

Kama kabla, Yesu Kristo alipakwa mafuta na mwanamke asiye tajwa kwa jina. Soma Marko 14: 2-9. Hapo yule mwanamke alimpaka mafuta Kristo ili kuonyesha ni namna gani anamkubali Yesu kuwa ndiye Masiha Mteseka. Hiyo ilikuwa ni utamaduni kwa wafalme kupakwa mafuta.

Soma vitabu vya kwanza cha Samueli 10: 1 na cha Wafalme 9: 3-6 ujifunze zaidi.

1 Samueli 10: 1 inasema:

"Ndipo Samueli akatwaa kichupa cha mafuta akakimimina kichwani pa Sauli, akambusu, akisema, BWANA anakutia mafuta ili uwe mkuu juu ya watu wa Israeli. Nawe utawatawala watu wa BWANA na kuwaokoa mikononi mwa adui zao wanaowazunguka. Na hii itakuwa ndiyo ishara ya kuwa BWANA amekutia mafuta kuwa mkuu juu ya urithi wake".

2 Wafalme 9: 3 na 6 inasema:

"Kisha uchukue ile chupa ya mafuta, uyamimine juu ya kichwa chake ukisema, 'BWANA anasema hivi: Ninakutia mafuta uwe mfalme juu ya Israeli.' Halafu ufungue mlango, ukimbie bila kukawia."

"Yehu akasimama, akaingia ndani ya nyumba. Basi nabii kijana akammiminia mafuta kichwani akimwambia, BWANA Mungu wa Israeli asema hivi: Ninakutia mafuta uwe mfalme juu ya watu wa BWANA, yaani juu ya Israeli".

Kama unaongelea baada ya kifo, Marko 16: 1-4 inatoa majibu.

"Baada ya Sabato, Maria Magdalena na Maria, mama wa Yakobo, na Salome walinunua manukato ili waende kumpaka. Asubuhi na mapema, jua lilipochomoza, siku ya kwanza ya juma, walifika kaburini. Walikuwa wakisemezana, Nani atatuvingirishia jiwe la kaburi kutoka mlangoni? Lakini walipotazama, waliliona jiwe limekwisha vingirishwa; maana lilikuwa kubwa sana.

Hapo inamaanisha, Maria Magdalena na wenzake hawakufanikiwa kumpaka mafuta kama unavyodai.

Ebu nipe andiko linaloonyesha hayo maneno yao uliyoyasema.

La msingi ni kwamba, Kristo Yesu alikuwa Masiha mpakwa mafuta na Baba, aliyekuja kutuokoa sisi wadhambi na kutufundisha kwamba yeye ndiye NJIA, UKWELI na UZIMA.
nilikua naongelea kabla hajafa ,kuna mahali nilisoma mary magdalena ndie aliempaka mafuta,ntaitafuta ili kuona kama niko sawa.

Lakini kumbe kupakwa mafuta haikua bigdeal kihivyo,ni kama vile ilikua ni desturi yao kuwapaka mafuta watu wenye mamlaka.
Mfano king david alikua na hadhi kweli ya kupakwa mafuta na bwana.
King david alikua mzinzi,alimua ur ili aweze kujitwalia mke wake.
 
Tendo la kusulubiwa kw Yesu ndio lililofanya mkasamehewa dhambi zenu.Kwa nini aliyefanya mpango huu wa kusulubiwa Yesu,aitwe msaliti na wakati alifanya tendo zuri?Huyu Yuda ndio amewaokoa wakristo wote na dhambi kwa kufanikisha tendo hili,lakini ndio ameonekana ni msaliti.Mbona mnajichanganya?

Yote hayo yalipaswa kufanyika ili kutimiza maneno ya manabii na Zaburi.
 
Chifu, tujadili katika hali ya uwazi na ukweli. Hiyo Marko 10: 34-35 haisemi hivyo ulivyoandika.

Inasema:

"Nao watamdhihaki, watamtemea mate, watampiga mijeledi na kumwua, na baada ya siku tatu atafufuka". Hapo Yakobo na Yohane, wana wawili wa Zebedayo, walimwendea wakamwambia, Mwalimu, twataka utufanyie tutakachokuomba".

Jaribu tena.
am checking it out.
 
Umeamua kurudi kwenye mada eeehhh kule maji marefu baba askofu huyawezi sana sana
mwambie Yericko akimbilie kwa mods mnakasha ufungwe huna lazaidi kakojoe ukalale usingizi unakusumbua!
au kama umekasirika fanyahivi :smash:
Utafiti hauwezi kufungwa, utabaki wazi kwa kila mtu kusema akijuacho!

Huu ni utafiti sio vinginevyo!

Kwa miaka 50 sasa mmekuwa mkipiga kelele kuwa Tz ni yamfumo kristu, lakini hamsemi upo wapi na unafanyaje kazi,

Leteni utafiti unaoshihirisha madai yenu!
 
cha kushangaza hakuna hata mmoja wao anayekuja hapa kuchangia wanabaki wakielezana ujinga tu huko kwenye mikutano yao!!!
 
Hawa ndiyo walimua Galileo Galilei alipowambia dunia imekaa kama tufe.

Ndugu yangu Ritz hebu twende hatua kwa hatua,
Tanzania haiwezi kuwa ya kidini kwa madai yasiyo na msingi kama eti ijiunge na OIC kwakuwa ina mashirikiano na Vatican,

Kuna mambo yamsingi lazima tuyajue kama Watanzania,

(1)Taarifa za kuaminika nikuwa M.o.U kati ya Serikali na kanisa iliandaliwa/ilitayarishwa na aliyekuwa Balozi wa Tanzania
nchini Italy,Prof.Mahalu.

(2)Serikali ya Ujerumani inayoongozwa na Christian Democratic Union ndiyo inayotoa HELA na ndio iliyosaidia makanisa kuingia
makubaliano na serikali ya Tanzania isiyochanganya dini na siasa, Serikali ilisaini MoU kama SHAHIDI tu.

(3)Serikali yetu ina Ofisi ya Ubalozi -Roma -Mtaa wa Viale Cortina d'Ampezzo,18

Ina ubalozi mdogo mjini hapo hapo Roma-Mtaa wa Via Cesare,Beccaria 88
na ina ubalozi mdogo mjini Milan-mtaa wa Via Santa Sofia 12.

(4)Uwepo wa Balozi hizi unakidhi uwepo wa Serikali ya Italy,Holy See na Vatican City State

(5)Nchini tuna Ubalozi wa Holy See na Italy.Huyu balozi wa Holy See ndiye mratibu wa shughuli zote za
kanisa katoliki nchini na ndiye mwakilishi wa Papa.

Ritz na wenzio kunachochote hamjakielewa?

Niulizeni chochote!
 
cha kushangaza hakuna hata mmoja wao anayekuja hapa kuchangia wanabaki wakielezana ujinga tu huko kwenye mikutano yao!!!
Kwakweli wameniangusha sana hawa ndugu, nilitegemea kupata chalenji sana kufutia utafiti huu,

Badala yake wamebaki kulia lia tu nakuniacha mie nimetulia tu nawacheka tu wakipandisha mashetani yao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom