Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

Criteria ya kwanza mke lazma awe caring partner na sio kama mpangaji mwenzio kwenye nyumba. Maana tabia za wapangaji tunazijua wazi.

Kabla ya kuoa lazma uwe umeng'amua hio element kwa mkeo mtarajiwa. Je, ni mtoaji au ndio ana mkono wa birika?

Mwanamke mbinafsi hawez kuwa mke mzuri hata siku moja go east go west na ndoa za vijana wa kileo zitavunjika sana tu kwa sababu hio ya mmoja kumfanya mwenzie kama punda.
 
Utapeli haswa, lakini kama ukibana kibunda si utamjua mapema kwamba ni Goldigger?
 
Huyo sio mke bali ni goldigger aliefanikiwa kuolewa. Haya matatizo wanaume tunajitakiaga tu. Katika early stages lazma umfundishe mwenza wako kuwa kwenye mahusiano lazma awe na mchango anatoa tena wa kifedha sio kimbunye tu. Mpe baadhi ya majukumu sio umzoeshe kwamba wewe ndio mfalme wa matatizo yote duniani.

Siku ukifulia utajuta kuzaliwa. Mwanamke ambaye haelewi ukimwambia sina ana malezi mabovu toka kwao. Usijibebeshe huo mzigo wa misumari.
 
Ukiona demu wako hawezi kukupa hata laki bila kukukopesha kaa nae mbali na mipango ya kumuoa kabisa.

Nafikiri huu ndio ujumbe unawafaa vijana wa kileo. Mwanamke akiwa mchungu kutoa hela yake wakati zako unampaga na anafurahia kuzitumia huyo hafai. Ubinafsi umemjaa na choyo huyo hawezi vumilia ukiwa na shida.

Wazazi walifanyaga hayo kwa upendo sana ila mitoto ya kike ya sikuhizi inaona kama kuchangia uchumi wa familia ni kumfanyia hisani mwanaume.
 

Unamsupport mwanaume afu unakuja kugundua ana michepuko anautumiaga na ya kutolea🤣🤣🤣🤣
 
Mwanaume aliyekulisha miaka 10 siku moja ameyumba unachachamaa eti humuelewi kwanini hana hela.
Tatizo za kuhongea mnazo, Ila za matumizi ya nyumbani hamna....ndo maana hatuelewi....
Usione hata hao wanaume wanaokaziwa na wake zao wametulia....wanajua wapi walicheza foul.
 
Huwa mnaonaga umalaya tu kwenye changamoto za kifedha za mwanaume
 
Mtoto wa Mbweni hivyo tushazungumza sana miaka tisa na kenda iliopita.😁

Hivi bado hadi leo hutaki kuelewa kwamba mwanaume wa Kiafrika hawezi kupiga deki na kuosha vyombo akishajipata? Na ndio maana tunaoa ili hizo shughuli mfanye wake zetu.

Huo uzungu uliojaa kichwani peleka Norway au Sweden huko ndio itafaa ila hapa Bongo utaumia sana kichwa.
 
Hii ni ngumu sana kwa mwanamke na hasa kama ana kipato na mbaya zaidi awe Mwalimu, Nurse au Polisi, hawa huwa hawakubali kushindwa au kukiri kuwa wana mapungufu ili myaweke sawa, ushahidi ni pale utamkuta ameshindikana kwenye zaidi ya ndoa 3 jiulize wanaume wote hao ni wabaya?
 
ndoa ni kuvumiliana,
 
ndo ujikute umeoa mtu mjinga kama huyu, kesho yake tu unamnyonga au unamuwasha moto kwa gunia mbili za mkaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…