Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

Hii mindset ya wanawake nayo kwa kiasi kikubwa inachangia tatizo, wengi wao hupigania kuolewa wakiamini kwenda kwa mume ni sawa na kwenda kwa "baba zao wadogo", wanakwenda kutafuta malezi mengine nje ya nyumbani kwao walipozaliwa.

Hapa ndio chanzo cha wale jamaa wa kataa ndoa wanapopata nafasi ya kujidai, wanawake wanakuwa wagumu sana (baadhi) kutoa sehemu ya kipato chao kurekebisha mambo nyumbani pale hali inapoyumba, na hata wakitoa, basi ujue utasemwa mpaka ujute.

Mwanaume akiamua kuishi na mwanamke kwenye hizi ndoa zetu, simply hatakiwi kuwa na kisirani, hatakiwi kujiuliza maswali, akae akijua anatakiwa kutoa pesa non stop kila zitakapohitajika, na kama ikitokea akakosa bahati mbaya, ajiandae kwa lawama, sasa ni wangapi wenye uwezo wa kuvumilia hizo lawama?!
Criteria ya kwanza mke lazma awe caring partner na sio kama mpangaji mwenzio kwenye nyumba. Maana tabia za wapangaji tunazijua wazi.

Kabla ya kuoa lazma uwe umeng'amua hio element kwa mkeo mtarajiwa. Je, ni mtoaji au ndio ana mkono wa birika?

Mwanamke mbinafsi hawez kuwa mke mzuri hata siku moja go east go west na ndoa za vijana wa kileo zitavunjika sana tu kwa sababu hio ya mmoja kumfanya mwenzie kama punda.
 
mtu mzima umekutana naye ukubwani hawezi jali kuhusu wewe, ataonesha upendo long as kibunda kinasoma
ndiyo maana tunasema, Ndoa ni Ajira kwa mwanamke, huna pesa , hutapewa uchi, huna pesa hakuna upendo

achilia mbali ubinafsi walio nao

wajanja wamesanuka, HUO NI UTAPELI
Utapeli haswa, lakini kama ukibana kibunda si utamjua mapema kwamba ni Goldigger?
 
Siyo ndoa za mikataba tu, Bali Kile kiapo kiandikwe upya.

Kiapo cha ndoa kinasema utamvumilia katika shida na Raha na maradhi, lakini jinsia ya Ke wengi wao kiapo hiki wamekariri kipengele cha wakati wa raha tu.

Kuna Jamaa yangu mmoja ilibidi Mimi niingilie Kati nimwambie mke wake ukweli Jamaa Hana pesa, kuna pesa anaidai kwangu ziko kwenye process ya kulipwa.

Imagine kuna mwanamke hataki kusikia lugha ya kumwambia wiki hii mipango yangu kipesa haiko Sawa kama Una akiba okowa jahazi nyumbani, sasa kuna haja gani ya kuwa na ndoa hapo? Ndoa ya upande mmoja?
Huyo sio mke bali ni goldigger aliefanikiwa kuolewa. Haya matatizo wanaume tunajitakiaga tu. Katika early stages lazma umfundishe mwenza wako kuwa kwenye mahusiano lazma awe na mchango anatoa tena wa kifedha sio kimbunye tu. Mpe baadhi ya majukumu sio umzoeshe kwamba wewe ndio mfalme wa matatizo yote duniani.

Siku ukifulia utajuta kuzaliwa. Mwanamke ambaye haelewi ukimwambia sina ana malezi mabovu toka kwao. Usijibebeshe huo mzigo wa misumari.
 
Sasa tatizo liko hapa, dunia imebadirika, gharama za maisha zimepanda na wanawake wanashiriki njia kuu za uchumi.

Sasa hapa tusidanganyane Kwa familia inayotaka kuishi maisha standard basi mambo yote ya familia aachiwe mwanaume siyo kweli.

Binafsi kipindi nasoma tulisoma shule za umma wote mpaka na watoto wa matajili.

Bi mkubwa alikuwa mfanyakazi na mshuwa mfanyakazi lakini Kwa jicho la kawaida Tu niliona commitment za Bi mkubwa financially kwenye malezi yetu.

Kimebadirika nini Kwa kizazi hiki? Ingawa wapo wachache Sana wanaojitambuwa.
Ukiona demu wako hawezi kukupa hata laki bila kukukopesha kaa nae mbali na mipango ya kumuoa kabisa.

Nafikiri huu ndio ujumbe unawafaa vijana wa kileo. Mwanamke akiwa mchungu kutoa hela yake wakati zako unampaga na anafurahia kuzitumia huyo hafai. Ubinafsi umemjaa na choyo huyo hawezi vumilia ukiwa na shida.

Wazazi walifanyaga hayo kwa upendo sana ila mitoto ya kike ya sikuhizi inaona kama kuchangia uchumi wa familia ni kumfanyia hisani mwanaume.
 
Huyo sio mke bali ni goldigger aliefanikiwa kuolewa. Haya matatizo wanaume tunajitakiaga tu. Katika early stages lazma umfundishe mwenza wako kuwa kwenye mahusiano lazma awe na mchango anatoa tena wa kifedha sio kimbunye tu. Mpe baadhi ya majukumu sio umzoeshe kwamba wewe ndio mfalme wa matatizo yote duniani.

Siku ukifulia utajuta kuzaliwa. Mwanamke ambaye haelewi ukimwambia sina ana malezi mabovu toka kwao. Usijibebeshe huo mzigo wa misumari

Ukiona demu wako hawezi kukupa hata laki bila kukukopesha kaa nae mbali na mipango ya kumuoa kabisa.

Nafikiri huu ndio ujumbe unawafaa vijana wa kileo. Mwanamke akiwa mchungu kutoa hela yake wakati zako unampaga na anafurahia kuzitumia huyo hafai. Ubinafsi umemjaa na choyo huyo hawezi vumilia ukiwa na shida.

Wazazi walifanyaga hayo kwa upendo sana ila mitoto ya kike ya sikuhizi inaona kama kuchangia uchumi wa familia ni kumfanyia hisani mwanaume.
Unamsupport mwanaume afu unakuja kugundua ana michepuko anautumiaga na ya kutolea🤣🤣🤣🤣
 
Mwanaume aliyekulisha miaka 10 siku moja ameyumba unachachamaa eti humuelewi kwanini hana hela.
Tatizo za kuhongea mnazo, Ila za matumizi ya nyumbani hamna....ndo maana hatuelewi....
Usione hata hao wanaume wanaokaziwa na wake zao wametulia....wanajua wapi walicheza foul.
 
Tatizo lenu wanaume hizo shida zenu mara nyingi huwa ni za kujitakia, yani mtu umehonga michepuko huko we pesa zimeisha unataka mkeo akuvumilie, au umefanya umalaya huko we umekwaa magonjwa unataka mke akuvumilie hebu acheni ubinafsi vaeni viatu vya wanawake
Huwa mnaonaga umalaya tu kwenye changamoto za kifedha za mwanaume
 
Hapa sasa itakuwa ni kumpa mwanamke mzigo wa majukumu, mwisho wa siku yeye ndio atajikuta anafanya majukumu mengi zaidi kuliko kiongozi ilihali yeye ni msaidizi tu, yani mtu afanye kazi za nyumbani, azae, alee

Na bado akusaidie wewe kuhudumia familia ambalo ndilo jukumu lako pekee na bado aendelee kukutii na kukuheshimu sasa yeye majukumu yake anasaidiwa na nani, hao hao wazungu uliowatolea mfano ukae ukijua hawana tena mfumo dume wala mgawanyo wa majukumu, ukitoa yale majukumu ya kimaumbile ya mwanamke mengine yote wanasaidiana 50 50 tena kila siku

Na hakuna cha mke kumtii mume wala mume kumtawala mke kila mmoja anajitawala mwenyewe, na kila mmoja anatakiwa kumsikiliza na kumheshimu mwenzake ila wanaume wa kiafrika haya huwa hamyaongelei, mnaongelea pesa tu sasa ninyi mnafikiri ni upi msingi wa mwanaume kuhudumia mwanamke
Mtoto wa Mbweni hivyo tushazungumza sana miaka tisa na kenda iliopita.😁

Hivi bado hadi leo hutaki kuelewa kwamba mwanaume wa Kiafrika hawezi kupiga deki na kuosha vyombo akishajipata? Na ndio maana tunaoa ili hizo shughuli mfanye wake zetu.

Huo uzungu uliojaa kichwani peleka Norway au Sweden huko ndio itafaa ila hapa Bongo utaumia sana kichwa.
 
Sasa kikubwa kwenye ndoa ni kupata mtu unae endana nae angalao kwa asilimia 40% kitabia na pia kila mmoja aweze kuchukua mapungufu ya mwenzake kama yakwake na kuyafanyia kazi na kuyakubali na sio kumbadilisha.Mfano ,mimi nilimkuta mume wangu ni mywaji (sisemi mlevi) ila mimi sinywi so nilichofanya ni kuakikisha nampa muda wake wa kunywa kama ndio kitu kinampa furaha uwezi amini after 15yrs ameacha mwenyewe na hataki hata kusikia kwa kuwa ameona haimpi faida wala kwa umri wake sio kitu kinampa furaha nay more.
Hii ni ngumu sana kwa mwanamke na hasa kama ana kipato na mbaya zaidi awe Mwalimu, Nurse au Polisi, hawa huwa hawakubali kushindwa au kukiri kuwa wana mapungufu ili myaweke sawa, ushahidi ni pale utamkuta ameshindikana kwenye zaidi ya ndoa 3 jiulize wanaume wote hao ni wabaya?
 
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.

Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.

Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka isiyopunguwa 10 nimegunduwa ndoa si kitu muhimu tena Kwa jamii ya Kitanzania, anayebisha hili shauri yake.

Ndoa za Watanzania wengi ni Sawa na Jehenamu kunyimana unyumba na tafrani zote.

Siku nilikuwa mediator ingawa sipendi kabisa kusuruhisha matatizo ya ndoa, findings zangu na ushauri wangu ni huu.

1. Kuoa au kuolewa siyo Jambo la lazima zingatia hili, Mimi nina ndoa lakini sikushauri kuingia kwenye ndoa kama hujui ndoa ni nini.

2. Kuna swala la ulevi Kwa ujumla, hili nimeona linaleta shida Sana kwenye ndoa, wote mmekutana kwenye pombe baadaye unamkataza mwenza wako asinywe pombe, jitafakari Sana hapo.

3. Hili ni tatizo, linawahusu wanawake wote, kumekuwa na tabia ya wanawake kutaka kuwarusha stage za ujuwaji waume zao, kumbe binadamu NI lazima apite hizo stage ili ajuwe mema na mabaya.

Kijana wa miaka 28 mpaka 40 unataka Aishi kama mtu wa miaka 50 kisa amekuwa wewe dada Hilo haiwezekani na likiwezekana elewa umetolewa na zezeta

Solution: Kwenye kupata wenzake , kila mtu ajitahidi kupata choice na quality zake, ukitaka mcha Mungu tegesha makanisani huko nako si kwamba Wana ucha Mungu wowote.

Point hapa vile umemkuta mwenzao wako bila kuangalia tako au uhandsome wake au pesa zake, elewa hivyo ndivyo alivyo usitalajie kwamba wewe utambadirisha, shida kubwa ya ndoa nyingi kuwa ICU ukichunguza Kwa makini utagunduwa tu kuna mwanandia mmoja anaamini yeye ndio mwenye akili mwenzake Hana akili.

Tutaendelea kwenye comment session.View attachment 2973331
ndoa ni kuvumiliana,
 
Hapa sasa itakuwa ni kumpa mwanamke mzigo wa majukumu, mwisho wa siku yeye ndio atajikuta anafanya majukumu mengi zaidi kuliko kiongozi ilihali yeye ni msaidizi tu, yani mtu afanye kazi za nyumbani, azae, alee

Na bado akusaidie wewe kuhudumia familia ambalo ndilo jukumu lako pekee na bado aendelee kukutii na kukuheshimu sasa yeye majukumu yake anasaidiwa na nani, hao hao wazungu uliowatolea mfano ukae ukijua hawana tena mfumo dume wala mgawanyo wa majukumu, ukitoa yale majukumu ya kimaumbile ya mwanamke mengine yote wanasaidiana 50 50 tena kila siku

Na hakuna cha mke kumtii mume wala mume kumtawala mke kila mmoja anajitawala mwenyewe, na kila mmoja anatakiwa kumsikiliza na kumheshimu mwenzake ila wanaume wa kiafrika haya huwa hamyaongelei, mnaongelea pesa tu sasa ninyi mnafikiri ni upi msingi wa mwanaume kuhudumia mwanamke
ndo ujikute umeoa mtu mjinga kama huyu, kesho yake tu unamnyonga au unamuwasha moto kwa gunia mbili za mkaa
 
Back
Top Bottom