Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wao kuna wanao fake. Uliifuatilia saga ya Johnny Depp na Amber Heard?Nilishangaa Sana Bill Gates na Melinda Gates kutengana lakini in deep katika utafiti wangu nimegunduwa wazungu hawako tayari kufake maisha.
Ona hawa nao, kituko kingine hiki.View attachment 2973361
Huyu mtafiti anayo hoja, labda ni figures tu amekosa, ila ukweli ni huo ndoa nyingi ni mfu, mfano mtaani ninapoishi kuna kaya kama 380, kuanzia 2012 hadi sasa kuna ndoa zaidi ya 100 ninazozifahamu zimesambaratika na nyingi ni za viapo vya kifo kitutenganishe
Hapo nina nukuu uzito wa ujumbe ninao kupa WE KILAZA.Nikishaona mtu anaandika Kwa kuchanganya Caps, huwa najuwa ameshachanganyiwa anaelekea kuwa kichaa.
Huna tofauti na hawa.
View attachment 2973407
Kwani bila kutukana ujumbe hauwezi kufika?Hapo nina nukuu uzito wa ujumbe ninao kupa WE KILAZA.
Usiogope ndio maisha.Ndoa ni kitu kigumu sana pale mkiwa mmeokotana kwa zile sifa za nje nje za matamanio na fantasy za ajabu ajabu, Naogopa sana kwa haya nayoyaona. Mungu anisaidie
Ukiwa mwanaume kamili ndoa lazima itakupa shida sana ila naona wew umeamua kupunguza madaraka yako na kumpatia mkeo hapo sawa ndoa itadumu maana ke wengi wanapenda me wasiojua umuhimu wao katika maamuzSema Ndoa yako ndiyo iliyo kushinda, Ndoa nyingi kivipi wewe umefanya tafiti wapi, leta data hapa zinazo onyesha juu ya unacho kisema. Wewe sema ndoa yako imekushinda tujue cha kukusaidia au kukushauri.
Changamoto za hapa na pale hazikosekani shida ni kuendekeza mfumo dume, mwanaume una taka kuwa juu kwa msemo wa Mwanaume akosei na Mwanamke hataki kujishusha kumsikiliza mume nini anasema maana amesha ambiwa Mwanamke bila hata mwanaume anaweza, sasa hapa ndoa itawezekana vipi.
Mzee kama una endekeza mfumo dume kwenye ndoa yako karne hii ya 21 utakula za Uso kwenye kila ndoa unayo ingia we Kilaza.
Na kama utajitetea hupo kwenye ndoa jibu kwanini haupo kwenye ndoa, watu tupo kwenye ndoa na maisha yanaenda japo kabla ya kuingia kwenye ndoa nilisha kutana na watu wengi kama wewe wanaosema ndoa mbaya mara ndoa ndoano.
Watu wapo busy kuogopesha watu kuingia kwenye ndoa ila wao wapo kwenye ndoa na kutoka hawataki.
Kama mliokotana barabarani mkuu pambana sana.
Ndoa ni tamu zaidi ya sanaaa kama hamku okotana.
Hope ume nielewa mzee.
Tatizo lenu wanaume hizo shida zenu mara nyingi huwa ni za kujitakia, yani mtu umehonga michepuko huko we pesa zimeisha unataka mkeo akuvumilie, au umefanya umalaya huko we umekwaa magonjwa unataka mke akuvumilie hebu acheni ubinafsi vaeni viatu vya wanawakeSiyo ndoa za mikataba tu, Bali Kile kiapo kiandikwe upya.
Kiapo cha ndoa kinasema utamvumilia katika shida na Raha na maradhi, lakini jinsia ya Ke wengi wao kiapo hiki wamekariri kipengele cha wakati wa raha tu.
Kuna Jamaa yangu mmoja ilibidi Mimi niingilie Kati nimwambie mke wake ukweli Jamaa Hana pesa, kuna pesa anaidai kwangu ziko kwenye process ya kulipwa.
Imagine kuna mwanamke hataki kusikia lugha ya kumwambia wiki hii mipango yangu kipesa haiko Sawa kama Una akiba okowa jahazi nyumbani, sasa kuna haja gani ya kuwa na ndoa hapo? Ndoa ya upande mmoja?
Comment imeshiba ina platinum 5 tena kutoka Kwa mwanamke.Ndoa ni muhimu lakini sio lazima.Mimi kwa uzoefu wangu wa miaka 20plus nimejifunza mengi sana.Mojawapo ni kuwa furaha yako hupati kwa mwenzako kama nilivyokuwa nafikiria ,pia tunaingia kwenye ndoa na matarajio makubwa kutoka kwa kila mmoja wetu.Sasa kikubwa kwenye ndoa ni kupata mtu unae endana nae angalao kwa asilimia 40% kitabia na pia kila mmoja aweze kuchukua mapungufu ya mwenzake kama yakwake na kuyafanyia kazi na kuyakubali na sio kumbadilisha.Mfano ,mimi nilimkuta mume wangu ni mywaji (sisemi mlevi) ila mimi sinywi so nilichofanya ni kuakikisha nampa muda wake wa kunywa kama ndio kitu kinampa furaha uwezi amini after 15yrs ameacha mwenyewe na hataki hata kusikia kwa kuwa ameona haimpi faida wala kwa umri wake sio kitu kinampa furaha nay more.Shida ni pale sasa unataka kumbadilisha fika uliolewa unajua kabisa ulimkuta anakunywa ,unafoka,unanuna why !unless aanze mkiwa ndani ya ndoa that is something else huu ni mfano mmoja tu.Kikingine lazima muweke issue za finances /kifedha wazi ,haijalishi nani anapata zaidi au hapati,try to communicate kwa habari ya budget,spending nk including investment au namna ya kuongeza kipato.Ukiona mwenzako anatumia kipato let say anamchepuko huwa nawaambia ladies be calm ,deal na furaha yako my dear you can not compete with man chini ya jua.Jipende,jidhamini ,glow my dear ,kama ulikuwa unaenda maili moja kutafuta fedha move to next miles jifanye hata ujui kinachoendelea (yaani ignore).Kingine ile mwanzo tu hamjaoana ,muwe na moment together tafuta karatasi kila mtu aandike anachokipenda kwa mwenzake ,anachokichukia na nini anataka afanyie,review after one year and hii iwe sehemu ya maisha yenu kila mwaka mshirikishe Mungu (sio mchungaji ,shehe.mashoga au nabii) wewe na Mungu wako.Trust me ,ndoa ni PARADISO nina enjoy
Na wanawake je ama ninyi hamna shidaTatizo lenu wanaume hizo shida zenu mara nyingi huwa ni za kujitakia, yani mtu umehonga michepuko huko we pesa zimeisha unataka mkeo akuvumilie, au umefanya umalaya huko we umekwaa magonjwa unataka mke akuvumilie hebu acheni ubinafsi vaeni viatu vya wanawake
Mimi naamini ni kutoelewa uhalisia tu, wanaume wanapata stroke wanapambana na Mengi.Tatizo lenu wanaume hizo shida zenu mara nyingi huwa ni za kujitakia, yani mtu umehonga michepuko huko we pesa zimeisha unataka mkeo akuvumilie, au umefanya umalaya huko we umekwaa magonjwa unataka mke akuvumilie hebu acheni ubinafsi vaeni viatu vya wanawake
Una ndoa mkuu?Usiogope ndio maisha.
Praise the Lord.Sie tunapendana always.
Vipi mbona povu Sana? hii ni mijadala ya kila siku hapa JF.Mtoa mada acha ndoto za mchana..... unajua ni wazungu wangapi wanauana kisa mambo ya ndoa kuepeuka outcomes za talaka?
Hebu kapitie pitie forensic files uone namna ambavyo wanandoa wanauana huko, no research no right to speak, siku hizi mambo yote yapo online hakuna kudanganyana
Halafu kama ndoa ngumu ungeacha yako na sio kuleta blah blah, umeoa mke sawa sawa na upeo wa akili yako.
Hapa sasa itakuwa ni kumpa mwanamke mzigo wa majukumu, mwisho wa siku yeye ndio atajikuta anafanya majukumu mengi zaidi kuliko kiongozi ilihali yeye ni msaidizi tu, yani mtu afanye kazi za nyumbani, azae, aleeSasa tatizo liko hapa, dunia imebadirika, gharama za maisha zimepanda na wanawake wanashiriki njia kuu za uchumi.
Sasa hapa tusidanganyane Kwa familia inayotaka kuishi maisha standard basi mambo yote ya familia aachiwe mwanaume siyo kweli.
Binafsi kipindi nasoma tulisoma shule za umma wote mpaka na watoto wa matajili.
Bi mkubwa alikuwa mfanyakazi na mshuwa mfanyakazi lakini Kwa jicho la kawaida Tu niliona commitment za Bi mkubwa financially kwenye malezi yetu.
Kimebadirika nini Kwa kizazi hiki? Ingawa wapo wachache Sana wanaojitambuwa.