Profesa janabi ni msomi makini na asiyekuwa na makuu. Anawapenda watanzania ndio maana anawausia jinsi ya kula vizuri kuepuka maradhi. Wewe kinachokuuma nini?JANABI MUONGO MUONGO HAMNA MAISHA YA NAMNA HII. MUONGO NA ANATAFUTA ATTENTION
Hata kama ni Janabi unapaswa kumsikiliza kwa manufaa ya afya yako. Kwanini hutaki kusikiliza ushauri wa wataalamu?Huyu ni janabi mwenyewe kaja kuchamba JF kwani serikali pesa ya matibabu ya wananchi inatoa mfukoni si kodi za wananchi wenyewe...kinakuuma nini?
Maisha ni kupanga na kuchagua.Huwezi mlazimisha tembo afanane na Swala.Kinachotakiwa sio kuacha kula bali ni kula kistaarabu. Kama unashindwa kula kistaarabu, unachokitafuta utakipata. Subiri serikali ianzishe tozo kwa wanene, huo uzito uliopindukia utaupunguza mwenyewe bila shuruti.
Wewe unayemsikiliza ndo una shida kubwa.Mimi nakula tu,kumbuka hata Tembo akishinda njaa hawezi fanana na Swala.Ziba masikio na usimsome.
Kama umeelewa kasema nini basi umemsikiliza, kwa hiyo na wewe umekiri upo kundi la wajinga. Simpo.
Tozo zipelekwe kwenye nyumba za ibada.Tuachwe tuyaishi tuliyoyachagua.Wewe endelea kupuuza. Unachokitafuta utakipata. Na tozo kwa wanene inakuja. Mtapigwa tozo hadi akili ziwakae sawa.
Tatizo ni kununua maradhi kwa pesa zako mwenyewe !!Ujinga ni kumsikiliza huyo Janabi.Kila mtu aishi maisha yake,siku ikifika utaondoka hakuna namna.Kinachopatikana katika mazingira Yako na unakimudu kuleni tu.Mambo mengine ni ya kupuuza.
Mkuu nireply namna ulivyowapiga Mabonge nyundo.Mkuu mfano wako hausadifu mada husika. Hapa tunaongelea species moja tu ya binadamu. Mfano wako ungefaa kama ungehusisha tembo kwa tembo au swala kwa swala.
Nakushukuru kwa kuweka hizi inputs mkuu. Walafi watakusikia na kufuata ushauri wako.watu wapeni alternative Mimi napenda kula ,ndio maana napiga mazoezi ; baada ya kutoka gym kutoka saa 11-1 Asb masaa mawili ya CARDIO, nimepiga supu kuku chapati 2,juic ya Beatrude &Apple ,Na maji Lita Moja na nusu. Nikitoka kazini napitiliza gym ,nikitoka tu napiga kapilau mbuzi na yorghat strawberry flavour na maji lita Moja,niliweka oda mchana , maana mchana nakula matunda tu. Wale tunaopenda kula tufanye mazoezi .
Kila mtu anapenda kula ila tatizo sio kula bali KULA Sana mtu ambaye hafanyi kazi ngumu !watu wapeni alternative Mimi napenda kula ,ndio maana napiga mazoezi ; baada ya kutoka gym kutoka saa 11-1 Asb masaa mawili ya CARDIO, nimepiga supu kuku chapati 2,juic ya Beatrude &Apple ,Na maji Lita Moja na nusu. Nikitoka kazini napitiliza gym ,nikitoka tu napiga kapilau mbuzi na yorghat strawberry flavour na maji lita Moja,niliweka oda mchana , maana mchana nakula matunda tu. Wale tunaopenda kula tufanye mazoezi .
Faiza wewe uko na flat tummy??Naamini 95% hawatakuelewa kwa ujinga wao na watajifanya wanaelewa sana na wataleta hoja za kijinga mradi wakupinge na kujifanya wao wanajuwa kumbe hawajuwi.
Niliwahi kuandika hivi kuhusu Watanzania:
Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti. Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kebehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa. Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huku mitaani mtu akinenepa anasifiwa kwamba Amependeza !
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bibi mbona kwenye imagination zangu wewe ni kibonge unamashavu dodo mguu wa bia imekuaje Tena???[emoji848]
Usinambie na wewe ni modo kimbaumbau [emoji23]
Obviously ndio maana anaiunga mkono hii thread !Faiza wewe uko na flat tummy??
Akili kubwa zinaongelea maendeleo.Faiza wewe uko na flat tummy??