Utafiti: Profesa Janabi yupo sahihi 100%; watu wanajiua wenyewe kwa upumbavu wao

Utafiti: Profesa Janabi yupo sahihi 100%; watu wanajiua wenyewe kwa upumbavu wao

Naamini 95% hawatakuelewa kwa ujinga wao na watajifanya wanaelewa sana na wataleta hoja za kijinga mradi wakupinge na kujifanya wao wanajuwa kumbe hawajuwi.

Niliwahi kuandika hivi kuhusu Watanzania:

Tatizo lako wewe unajikuta Mjuaji sana na kuona kama wengine hawajui chochote,

U have Prejudice & Pride

Ulisema Tanzania tuna Adui mmoja tu yaani Ujinga na hatuna Adui Umasikini wala Maradhi kitu ambacho ni UONGO

Maradhi na Umasikini na Adui wakubwa katika nchi za dunia ya tatu

Halafu ukasema Maradhi na Umasikini ni matokeo ya Ujinga kitu ambacho sio kweli kwa 100%

Umasikini unaweza kuwa ni matokeo ya Ujinga endapo tuna rasilimali na hatuzitumii ipasavyo au tunaendekeza rushwa

Lakini MARADHI sio tokeo la Ujinga, kwasababu hata nchi zilizoendelea zisizo na Wajinga wengi zina Maradhi

Kwa Mfano, unaweza kusema COVID 19 ilisababishwa na UJINGA? haikuathiri zaidi nchi zisizo na Wajinga wengi na zenye werevu?
 
Mpaka sasa nakuuliza margin of error na assumptions hujajibu.

Profesa Janabi yuko sawa 100% kwenye nini?

Sample yako ni ya watu wangapi? Umeiwekea control gani? Umepata sample ya watu obese 100% Tanzania?

Unajua kwamba unaweza kutafuta watu wanne walio obese, ukafanya research, ukasema umefanya research Tanzania ukakuta 100% wako obese?

Ume avoid vipi selection bias katika research yako?
Nimekuelewa vizuri kabisa, kama amefanya research kweli atajibu kwa takwimu na kwa usahihi

Isije kuwa amefanya sampling kwa watu wa Arusha Mjini au Kilimanjaro wanaokula Bia na nyama choma kila jioni huku amewaacha Wagogo wa Dodoma wenye hali ngumu halafu anasema amefanya Reseach Tanzania nzima

Real Research is expensive kwa maana ya Muda na Pesa ila watu huwa wanajisemea tu humu [emoji1787]
 
Exactly.

Na mwenyewe anajua anazugazuga tu ndiyo maana hajibu maswali.
 
Ume
Biblia haiongei uwongo, uzima wa milele ni kuishi milele bila kuonja mauti.

Wapo ambao ahadi yao ni ufufuo, na wapo ambao wataishi milele.
Je unajua Yesu anakuja lini?

Je akija sasa hivi, na matendo yako yakiwa mema, utaishi milele au itabidi ufe kwanza?

Ndio maana alisema kama anavyopaa ndivyo atakavyorudi, na kila jicho litamwona.

Hapo wapo wale wa moto wa milele (bila kuonja mauti) na sisi wa uzima wa milele (bila kuonja mauti)
Umeeleza vizuri sana mkuu, big up
 
Mkuu,

Wengine wanamazingira, wanaona kuishi maisha marefu ni ubinafsi na kuharibu mazingira.

Wanataka waishi maisha mafupi, matamu.

Sasa hao nao utawalazimisha waishi maisha marefu bila wao kutaka?
Aisee kumbe kuna wengine wanaoona kuishi maisha marefu ni ubinafsi na kuharibu mazingira????

Nikiri wazi kuwa sijawahi kuwa experience hao watu, sijui watakuwa wanapatikana wapi ??? 🤔
 
Aisee kumbe kuna wengine wanaoona kuishi maisha marefu ni ubinafsi na kuharibu mazingira????

Nikiri wazi kuwa sijawahi kuwa experience hao watu, sijui watakuwa wanapatikana wapi ??? 🤔

Mkuu unataka kujiunga nao nini?

Ushawahi kuwasikia anti-natalist?

Ushawahi kuwasikia hedonists?

Wao wanaona hata kuzaa watoto ni kitu kibaya, kwa sababu ni kuwaleta katika dunia yenye matatizo bila hata kupata idhini yao.

Kuna huyu muhindi aliwashitaki wazazi wake kwa kumzaa na kumleta duniani bila ruhusa yake.

Kuna jamaa mmoja Mzanzibari, alikuwa anasema yeye hataki kuzalisja mtoto, ila yuko radhi kuoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto.

Usifikiri kwamba unavyofikiri wewe kila mtu anafikiri hivyo.

Sawa mkuu, ngoja nifanye kuwasoma.
 
But sizani kwa Tanzania kama kutakuwa na hao watu aisee.
 
But sizani kwa Tanzania kama kutakuwa na hao watu aisee.
Wapo, si wengi, ila haya mawazo yako so unpopular ni vigumu kujua.

Kuna jamaa mmoja Mzanzibari. Kijana tu, wa miaka ya kuoa. Alikuwa anasema yeye hataki mtoto, hata akioa, ikiwa ataoa mwanamke mwenye mtoto tayari, sawa, lakini kama mwanamke hana mtoto, hataki mtoto.

Na kiuchumi alikuwa poa tu, alikataa kuzalisha kwa sababu za kifalsafa.

Yeye ni anti-natalist.
 
Lete aya, achana na misemo ya kafiri wa magharibi.
Upo coco beach unauliza baharini wapi? Faidika na darsa:

104_1.gif

Qur'an 104:1. Ole wake kila safihi, msengenyaji! 1
 
JANABI NI ATTENTION SEEKER HANA JIPYA. NA ANAYOONGEA UKISEMA UFUATILIE NI UPUMBAVU, UBATILI MTUPU. WATU WAMEISHI MIAKA NA MIAKA KWA KUL AKINACHOPATIKANA NA HAWANA SHIDA. JAMAA YANGU AMEKUFA MWAKA JANA KWA KANSA YA DAMU NA NI MIAKA MINGI ALIKUWA VEGETARIAN. HALI NYAMA ,HANYWI SODA, HANYWI POMBE, HATUMII VYAKULA AMBAVYO WANASEMA NI SUMU. KAFA KWA KANSA YA DAMU. AMEMWACHA MKE WAKE ANAKULA KILA KITU DUNIANI HADI NYOKA YULE MWANAMKE.... NA ANADUNDA TU NA MAHIPS NA MAKALIO YAKE.
 
Mwanamke mwenye kitambi hawezi nidindisha hata awe mzuri kiasi gani. Utakuta msichana wa umri wa kati (miaka 25 mpaka 30) hajazaa bado ila ana kitambi kama mwanamke aliyezaa watoto 7.
Mkuu hii falsafa yako inaniletea changamoto kubwa kwenye ndoa yangu. Kiuhalisia nipo kama wewe mwanamke mwenye minyama jumlisha kitambi juu huwa sina hisia kabisa.

Sasa shemeji yako kaangukia huko, yaan siku nikijaribu kutumbukiza napata mgandamizo yaan nahisi maumivu makali ya tumbo, kwani haaa watu hawafai kwa style yoyote zaid ya kifo cha mende.

Nimezaa nae watoto watatu ila nimetokea kushindwa kihisia kutokan mophology yake. Imebidi tu nitafute masuria ya kumaliza shida zangu huyu nimewaachia wanatakao muweza.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kodi ya unene na kitambi ingeanzishwa ili kusaidia serikali kununua madawa na vifaa tiba kuwatibu vibonge pindi huo unene na kitambi utakapo anza kuwasumbua.
 
Back
Top Bottom