sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hata kwa nchi zilizoruhusu bangi hesabu zinaonesha ndoa zenye wavuta bangi ni nadra sana kuwa na matatizo tofauti na ndoa za walevi wa pombe ambazo zimejaa kesi kibao za kuvunjika kwa ndoa, kupigana, kutukanana hadharani, watoto kupigwa hovyo, n.k.
Tukija hata hapa bongo tushazoea kuona pombe ikihusika kwenye matatizo mengi sana, mtu akitoka bar huko anaanza kumpiga mke wake, mtu haachi pesa nyumbani anathamini zaidi pombe, mtu analeta magonjwa ya ajabu kwa kulala na ma baamedi, watoto kutukanwa na kupigwa hovyo, n.k.
Mfano wangu ni mke wa mjomba, huwa anatupigia simu mara kwa mara kwamba ndoa imekuwa ngumu maana mume wake hashindi hata nyumbani, huwa anaunganisha baa akitoka kazini na siku nyingine analala huko huko. Marafiki zake wengi ni watu wa baa huko.
Tofauti na pombe hali ni tofauti kabisa kwa wavuta bangi, ndoa zao huwa hazina malumbano sana, vipigo, kutukanana ovyo mbele ya watoto, n.k.
Onyo: kama huna elimu ya kuijua bangi sahihi kaa mbali kunusuru afya yako.
Kwa hapa bongo nimeshuhudia pusha anauza bangi ina sumu ya panya au kaweka unga wa heroid ili apate wateja wa kudumu na cha ajabu hakuna hata mteja moja anayegundua. Hawa ndio watanzania wengi ambao wakivuta bangi watakusimulia kwamba walikuwa wanaoga kwenye matope wakidhani wapo baharini, na wengine kutongoza mama zao, ni kwasababu hawana elimu, wanatumia bila muongozo.
Ni lazima na sio ombi inabidi uwe unaijua bangi iliyochanganywa na sumu ya panya/unga, imevunwa ikiwa bado mbichi, imeshaharibika, haijafanyiwa flushing, n.k, lasivyo kaa mbali na bangi. Inabidi ujue kwamba kunywa maji mengi ni muhimu, uvijue vyakula vya kujizuia kula ukivuta, jinsi ya kuchambua bangi kwa usahihi kujinusuru kuwa hanithi, n.k.
kama huvijui hivi vitu acha, kaa mbali! Bangi haina tatizo bali ni watumiaji washamba wasio na elimu, watu wenye elimu sahihi wanatumia tangu form 2 na mpaka leo ni mabosi na wala huwezi kuja kujua wanatumia kilevi chochote!