Ikabidi nimuulize umeniota usiku.Hahaha wuuii huyo ametisha wallah picha ya kuamka ya nini?
Nmecheka wallah kwan hajui kuwa unaeza amka ukaji makeup na kumtumia mbona inawezekana tu.
Kuonyeshana sura mbaya za asubuh ya kazi gani na hivi wengine tumefanana na baba zetu basi looh
Hapa ban itakuhusu.Sitaki.
Tutusiane hapahapa
Hahahaha yaani umeneena dear ni wa hivo kweli na unashangaa wanaochat sana wanaweza wasiwe wasumbuf kama hao walio kimya. Wanaume wa humu wana matarajio makuubwa sana na wanawake wa Jf hawajui ndo walewale wa kitaani ukoIkabidi nimuulize umeniota usiku.
Kukaushana uzazi kisa nini....hebuuuu!!!!
Yaani kuna wanaume humu Jf wako kimya na hawaonekani kuchat kabisa.
Ila Pm huko ndo wasumbufu kuliko tarajali yako
Pm ni kama gesti.Hapa ban itakuhusu.
BTW hivi ukitukana huko pm unapigwa ban pia?
Na ww unaomekana unasumbuliwa na njaa kali + utapiamlo fanya hima uje Bunju kwenye hekalu langu upige lunch na dinner kisha nakurudisha kibandani kwako kwa helikoptaUnastres sana we jamaa Fanya umuone psychotherapist
Yaani hapa ndipo ninapochoka mie.Hahahaha yaani umeneena dear ni wa hivo kweli na unashangaa wanaochat sana wanaweza wasiwe wasumbuf kama hao walio kimya. Wanaume wa humu wana matarajio makuubwa sana na wanawake wa Jf hawajui ndo walewale wa kitaani uko
Mkuu una tatizo kubwa sana. Humu kuna mabilionea Na matajili kibao ila huwez kuta wanajishaua kama we.Na ww unaomekana unasumbuliwa na njaa kali fanya hima ije Bunju kwenye hekalu langu upige lunch na dinner kisha nakurudisha kibandani kwako kwa helikopta
[emoji23] [emoji23] [emoji108] leo naona umewaamkia habari wanayo huko waliko.Yaani hapa ndipo ninapochoka mie.
Yaani wanaume wa humu Jf wanataka kutuaminisha kuwa wao si sawa na wale wanaume wa mtaani.
Yaani wao tuwaone classic.
Mtu anaiweka Id yake ki-classic kumbe akiwa mtaano hana tofauti na mvuta bhangi
Siku ukiosha Range Rover yangu kisha nikijitambulisa kwako di utaelewa nina stress auMkuu una tatizo kubwa sana. Humu kuna mabilionea Na matajili kibao ila huwez kuta wanajishaua kama we.
Una stress sana mkuu. Jichanganye Na watu
JF ni kaduniYap, na huu ndio ukweli ambao wanaune wa humu huwa hawataki kuusikia kabisa.
Wanajikuta wao malaika wa kiume muda wote.
Mie nawapa ukweli ambao hawatakaa waujue.[emoji23] [emoji23] [emoji108] leo naona umewaamkia habari wanayo huko waliko.
Lakini hawakomi hawa viumne utashangaa hizi comments zitakuja jibiwa huko pm
Sikiliza bwana mdogo haya ni maisha tu usiwaze sana magu atatoa ajira kama unesoma. Upon umelala SAA iz unachat JfSiku ukiosha Range Rover yangu kisha nikijitambulisa kwako di utaelewa nina stress au
Sawa bwana mdogo shiba kwanza vitumbua
Hahaha si nlikwambia ee haya ndo ushangae sasaMie nawapa ukweli ambao hawatakaa waujue.
Na Pm 3 zimekuja.
Hahahahah
Wanaume jamani...sijui wamerohwa na nani?
MchumbaMie nawapa ukweli ambao hawatakaa waujue.
Na Pm 3 zimekuja.
Hahahahah
Wanaume jamani...sijui wamerohwa na nani?
Bila shakaJF ni kaduni
Umeona eeeHahaha si nlikwambia ee haya ndo ushangae sasa
Bora umeachana na yule mtu aah anaonekana ni mjita au mhaya maana kwa kujisifia hawajambo hao watu. Anatukausha uzazi tuMchumba