Boys sana ilo jamaa post sake zote ni za kujisifia kua ana pesa. Wakati watu humu wanamikwanja hataree wameuchunaBora umeachana na yule mtu aah anaonekana ni mjita au mhaya maana kwa kujisifia hawajambo hao watu. Anatukausha uzazi tu
Duuh mbona huyo sina hara mazoea nae humu?
Na usikute hana chochote wenye pesa hawana hizo tabia nakwambia mbona hatumuoni akijinasibu kwenye post za watu wanaoomba msaada. Pesa sio meno kwamba kila mtu anaota kwa rehema za Mungu pesa ni hustlingBoys sana ilo jamaa post sake zote ni za kujisifia kua ana pesa. Wakati watu humu wanamikwanja hataree wameuchuna
unajua nini bibie watu wenye maisha magumu na stress ndio walivyo. kazi hana ya kufanya mawzo yanamtesa ndo maana anakuja kujitia moyo huku. watu wenye pesa humu wametulia huwez hata kuaminiNa usikute hana chochote wenye pesa hawana hizo tabia nakwambia mbona hatumuoni akijinasibu kwenye post za watu wanaoomba msaada. Pesa sio meno kwamba kila mtu anaota kwa rehema za Mungu pesa ni hustling
Ndo hawa wakujifanyaga wako majuu kumbe tunagombania nao mwendo kasi na vyuma vinatukaza wote tu.unajua nini bibie watu wenye maisha magumu na stress ndio walivyo. kazi hana ya kufanya mawzo yanamtesa ndo maana anakuja kujitia moyo huku. watu wenye pesa humu wametulia huwez hata kuamini
ukiwazowea hawakupi shida kabisaNdo hawa wakujifanyaga wako majuu kumbe tunagombania nao mwendo kasi na vyuma vinatukaza wote tu.
Daah jf ni hataree
Sisi tuko mapacha.Duuh mbona huyo sina hara mazoea nae humu?
kwanini ulinidanganya siku ileSisi tuko mapacha.
Pacha wangu ndio huyo.
Siwezi muacha popote.
Ningekueleza ukweli usingeaminikwanini ulinidanganya siku ile
Bora niambie ukweli niwe najua.Ningekueleza ukweli usingeamini
Ok nakuja baeBora niambie ukweli niwe najua.
Nitext basiii
Hii haitanoga kama hujaweka picha ili tuamini utafiti wakoMimi nimegundua sisi wakiumeni tunaongoza kwa kuomba kuwekewa picha kuliko wale wenzetu wa upande wa pili,wewe Je?
Ndicho kinachowauma? Punguzeni chuki sijawahi mtukana mtuunajua nini bibie watu wenye maisha magumu na stress ndio walivyo. kazi hana ya kufanya mawzo yanamtesa ndo maana anakuja kujitia moyo huku. watu wenye pesa humu wametulia huwez hata kuamini
Ndo hawa wakujifanyaga wako majuu kumbe tunagombania nao mwendo kasi na vyuma vinatukaza wote tu.
Daah jf ni hataree
Hahaaaaa Hanna bwana siwez panic vitu vidogo hivi. Sikupangii cha kupost Fanya kile unachopenda tuwe tunacheka tuNdicho kinachowauma? Punguzeni chuki sijawahi mtukana mtu
ID yangu ipo kimasihara nashangaa mnavyopanic basi kuanzia sasa nitakuwa nakomenti kimaskini tu
Mhh asubuh yote hii upanic kisa mtu ambae yuko nyuma ya keyboard khaa huwezi kuwa sawasawaNdicho kinachowauma? Punguzeni chuki sijawahi mtukana mtu
ID yangu ipo kimasihara nashangaa mnavyopanic basi kuanzia sasa nitakuwa nakomenti kimaskini tu
Basi mnizoee hata yule Karim ni mtani wanguHahaaaaa Hanna bwana siwez panic vitu vidogo hivi. Sikupangii cha kupost Fanya kile unachopenda tuwe tunacheka tu
Mhh asubuh yote hii upanic kisa mtu ambae yuko nyuma ya keyboard khaa huwezi kuwa sawasawa