Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Bora umeachana na yule mtu aah anaonekana ni mjita au mhaya maana kwa kujisifia hawajambo hao watu. Anatukausha uzazi tu
Boys sana ilo jamaa post sake zote ni za kujisifia kua ana pesa. Wakati watu humu wanamikwanja hataree wameuchuna
 
Na usikute hana chochote wenye pesa hawana hizo tabia nakwambia mbona hatumuoni akijinasibu kwenye post za watu wanaoomba msaada. Pesa sio meno kwamba kila mtu anaota kwa rehema za Mungu pesa ni hustling
 
unajua nini bibie watu wenye maisha magumu na stress ndio walivyo. kazi hana ya kufanya mawzo yanamtesa ndo maana anakuja kujitia moyo huku. watu wenye pesa humu wametulia huwez hata kuamini
 
Ndo hawa wakujifanyaga wako majuu kumbe tunagombania nao mwendo kasi na vyuma vinatukaza wote tu.
Daah jf ni hataree
 
Humu kila mtu mzuri...anaishi maisha mazuri...kwanza kakulia maisha ya kishua...anamiliki gari...anaishi maisha ya kuiga.
 
unajua nini bibie watu wenye maisha magumu na stress ndio walivyo. kazi hana ya kufanya mawzo yanamtesa ndo maana anakuja kujitia moyo huku. watu wenye pesa humu wametulia huwez hata kuamini
Ndicho kinachowauma? Punguzeni chuki sijawahi mtukana mtu
ID yangu ipo kimasihara nashangaa mnavyopanic basi kuanzia sasa nitakuwa nakomenti kimaskini tu
Ndo hawa wakujifanyaga wako majuu kumbe tunagombania nao mwendo kasi na vyuma vinatukaza wote tu.
Daah jf ni hataree
 
Nimegindua kuwa mkuu wa wilaya anaweza kumfokea DED kama kamuajiri yeye
 
Back
Top Bottom