Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Sawa MadamTalk to me.
Nishakutumia kile kitu kule kwingine.
Kacheki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa MadamTalk to me.
Nishakutumia kile kitu kule kwingine.
Kacheki
Kidogo sana mkuumkuu mvua huko kwenu mvua zinanyesha?
POA MKUUKidogo sana mkuu
Unastres sana we jamaa Fanya umuone psychotherapistModerator endeleeni kumpga ban huyu lofa huwa anapost pumba tu na limiwani lake km fundi mchomelea vyuma
Huku salama sana yaani. Tupo rafiku.Karibu saana
mie mzima mnoo sijui huko utokako
Hahahaaa. Kweli ujue wa nyumbani.Ukorofi huo wanyumbani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanaambiana fulani sio mchoyo mi nishapiga na wewe kapige au?Hili lipo kabisa kabisa.
Usisahau na mitungo ya kupasiana wanapigiana
Mzima mie sijui wewe na shemejiHahahaaa. Kweli ujue wa nyumbani.
Waeza andikiwa mtu yupo Iraq kumbe tunagombea nae daladala kila kukicha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzima lakini weye?
Sisi wote wazima hasaaa.Mzima mie sijui wewe na shemeji
😂😂😂😂😂 itakuwa hivyo rafiki.Nmegundua kuwa kuna wanaume wakiona comment ya mdada hapa jukwaani hawaridhiki wanakimbilia piemu sasa sijui wanataka anzisha nyuzi huko ili wapate comment za pekeao
Ndio.Wanaambiana fulani sio mchoyo mi nishapiga na wewe kapige au?
Wana mbinu nyingi hawa ndugu zetu..Ndio.
Au anaanza na "mie napenda post zako kule, nipe namba tuchat"
Hawa viumbe washenzi sana
Nimegundua bila mfano JF haina rahaPia nimegundua kuna member nawapeenda nikisoma walichoandika huwa nasmile mwenyewe kwa raha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Nimegundua bila mfano JF haina raha
Sanaaa.Wana mbinu nyingi hawa ndugu zetu..
Na kwako pia wanyumbanu. Kazi njemaSisi wote wazima hasaaa.
Uwe na asubuhi njema wa nyumbani.
🙏🙏🙏🙏Na kwako pia wanyumbanu. Kazi njema
Napata picha wanavyohadithiana wakishamtindua demu mmoja. Basi mwenyewe bidada ukija huku unajisifu we mzuri ndo maana unatongozwa sana kumbe watu wamepeana mchongo wakutafune.Sanaaa.
Yaani acha kabisa