UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

[emoji3][emoji6][emoji2958]
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Mkuu ushaachana na yule mkeo ambaye ni kimeo anaye kutesa Sana??
Daah wanawake wengine ni shidaa Sana
Wapo Kama kunguni
Yupo mkuu nilishamzoea kama kitanda chenye kunguni,kero ikizidi ili nilale naenda napiga Kvant yangu mzinga ,nikilala wananyonya tu Kvant huku mm nimelala na maisha yanaenda
 
Yupo mkuu nilishamzoea kama kitanda chenye kunguni,kero ikizidi ili nilale naenda napiga Kvant yangu mzinga ,nikilala wananyonya tu Kvant huku mm nimelala na maisha yanaenda
Hongera Sana
 
Katika haya maisha ukianza kumchukia mtu uliyempenda basi hata vitu ulivyovipenda kwake unaanza kuvikosoa na kujifunza kuvichukia
Mtazamo
Kila jambo lina msimu, kuja na kuondoka ndio maana ukiwa juu kifuatacho kudondoka
 
Back
Top Bottom