Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #41
Mnasikiliza tu kisha baadae mpate silaha za kutushambulia? Au sio mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnasikiliza tu kisha baadae mpate silaha za kutushambulia? Au sio mkuu?
Kilifanyika wapi kikao hicho mkuu?Hata kikao kilicho pita cha mabaharia tuliazimia kutokutoa siri kwa Ke ikiwemo kipato halisi
Kilifanyika kwa mpalange huko buza mkuuKilifanyika wapi kikao hicho mkuu?
Sawa bossKilifanyika kwa mpalange huko buza mkuu
Cha uchoyo [emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂 Toka hukoBasi mi nikajua nimepata le brand new mubebez![emoji39][emoji30][emoji30]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Toka huko
Mkuu ushaachana na yule mkeo ambaye ni kimeo anaye kutesa Sana??Kilifanyika kwa mpalange huko buza mkuu
Huyo ncha kali hajui kama wewe ni wangu?😂😂😂😂 Toka huko
Huyo ncha kali hajui kama wewe ni wangu?
Yale yale ya Ngwair na Mchizi MoxUnatafuta ugomvi Mzee baba![emoji53]
Huyo ncha kali hajui kama wewe ni wangu?
HeheheheHuyo ncha kali hajui kama wewe ni wangu?
Yupo mkuu nilishamzoea kama kitanda chenye kunguni,kero ikizidi ili nilale naenda napiga Kvant yangu mzinga ,nikilala wananyonya tu Kvant huku mm nimelala na maisha yanaendaMkuu ushaachana na yule mkeo ambaye ni kimeo anaye kutesa Sana??
Daah wanawake wengine ni shidaa Sana
Wapo Kama kunguni
Hongera SanaYupo mkuu nilishamzoea kama kitanda chenye kunguni,kero ikizidi ili nilale naenda napiga Kvant yangu mzinga ,nikilala wananyonya tu Kvant huku mm nimelala na maisha yanaenda
Kila jambo lina msimu, kuja na kuondoka ndio maana ukiwa juu kifuatacho kudondokaKatika haya maisha ukianza kumchukia mtu uliyempenda basi hata vitu ulivyovipenda kwake unaanza kuvikosoa na kujifunza kuvichukia
Mtazamo
Michano ya RADO hii mkuuKila jambo lina msimu, kuja na kuondoka ndio maana ukiwa juu kifuatacho kudondoka