UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

Mimi niligombana na Dada yangu kwa ajiri ya kutoa taarifa zangu Binafsi kwa wifi yake.. maswala yangu ya kifamilia yeye anaenda kuongea huko mambo kibao.. nikaona huyu wa kumfungia vioo

Nb sikuwa ktk Ndoa..
Alafu hayo hayo mambo ambayo dada yako alikuwa anamwambia demu wako (wifi yake) ndio ambayo ungepigwa nayo siku mtakayofarakana naye.
 
Wife wangu kabla sijamuoa wakati namtongoza sikuwa na mpango nae,nilitaka nimle tu afu nipite hivi,so ili nimpate nilimpiga fix na kamba za kutosha,hataree na Nusu,sa hii ndo maza house wangu.

Tukizenguanaga sometimes ananikumbushia hayo maujinga nilyokuwaga namdanganya.
 
Mi namwambia vizuri,akijiskia kunitukana atukane tu..Siwezi kunyamaza wala kuficha😂😂 naficha hela tu!! mambo mengine ubatili mtupu.
Siko kwenye position ya kukaa kuskiliza ooh ndo mana ulikua hivi nna mambo mengi mno kwakweli!! mtu akiona nmemkifu achape lapa aongee anayoongea akimaliza akabebe matofali ajenge vyoo vya shule.
 
Daaah wee kiboko teh teh teh
 
Daaah wee kiboko teh teh teh
Mi nashangaaga sana watu wanaoogopa ogopa 😂 kwenye mapenzi lazima tuelezane ukweli kwa7bu kila mtu ana matatizo yake na tukishindwana basi kila mtu ashike hamsini zake...ni mpumbavu tu ndio anatumiaga udhaifu kama fimbo!
 
Back
Top Bottom