Rose Gabriella
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 603
- 583
Muongo huyo. Siku hizi JF kuna stories nyingi sana za kutunga.Uko sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo huyo. Siku hizi JF kuna stories nyingi sana za kutunga.Uko sawa.
Ingia katika uzi wa kula tunda kimasihara ndio utajua kuwa mule watu ni wazushi hatareeMuongo huyo. Siku hizi JF kuna stories nyingi sana za kutunga.
Nimeusoma sana ule uzi. Kuna jamaa mmoja amesimulia namna alivyomla kimasihara mke wa mtu.Ingia katika uzi wa kula tunda kimasihara ndio utajua kuwa mule watu ni wazushi hataree
Kutongozwa sio mbaya sababu wewe ni mwanamke na yeye ni mwanaume na ana hisia zakeSoja f.a.l.a sana sometimes. Kazi yake kubwa ni kutongoza mademu PM hana jipya
Wambea wa dunia hii wamejaa nchini KenyaBila umbea ni ngumu sana kuishi Tanzania
Wajaluo wana roho za ukarimu sana acha kuwasingizia ubaya.Shemeji zangu Wahaya sio wambea. Tabia hizo wanazo wajaluo
Ila wajaluo ni weusi sana jamani. Kama mkaaWajaluo wana roho za ukarimu sana acha kuwasingizia ubaya.
Wanaweza kukusingizia mambo ya ajabu mpaka ukabaki mdomo waziWambea wa dunia hii wamejaa nchini Kenya
Hiyo inaitwa piga nikupige. Wakikusingizia na wewe unawasingizia tu. Kwani shing ngapi?Wanaweza kukusingizia mambo ya ajabu mpaka ukabaki mdomo wazi
Alafu hayo hayo mambo ambayo dada yako alikuwa anamwambia demu wako (wifi yake) ndio ambayo ungepigwa nayo siku mtakayofarakana naye.Mimi niligombana na Dada yangu kwa ajiri ya kutoa taarifa zangu Binafsi kwa wifi yake.. maswala yangu ya kifamilia yeye anaenda kuongea huko mambo kibao.. nikaona huyu wa kumfungia vioo
Nb sikuwa ktk Ndoa..
Anajua kichwa changu asingejaribu kuongea ujinga.. ila tu kuna ka dharau flani kanajijengaAlafu hayo hayo mambo ambayo dada yako alikuwa anamwambia demu wako (wifi yake) ndio ambayo ungepigwa nayo siku mtakayofarakana naye.
Wanawake wanapenda sana kusimuliana umbea umbeaAlafu hayo hayo mambo ambayo dada yako alikuwa anamwambia demu wako (wifi yake) ndio ambayo ungepigwa nayo siku mtakayofarakana naye.
😂😂😂😂😂😂Mi namwambia vizuri,akijiskia kunitukana atukane tu..Siwezi kunyamaza wala kuficha😂😂 naficha hela tu!! mambo mengine ubatili mtupu.
Daaah wee kiboko teh teh tehMi namwambia vizuri,akijiskia kunitukana atukane tu..Siwezi kunyamaza wala kuficha😂😂 naficha hela tu!! mambo mengine ubatili mtupu.
Siko kwenye position ya kukaa kuskiliza ooh ndo mana ulikua hivi nna mambo mengi mno kwakweli!! mtu akiona nmemkifu achape lapa aongee anayoongea akimaliza akabebe matofali ajenge vyoo vya shule.
Mi nashangaaga sana watu wanaoogopa ogopa 😂 kwenye mapenzi lazima tuelezane ukweli kwa7bu kila mtu ana matatizo yake na tukishindwana basi kila mtu ashike hamsini zake...ni mpumbavu tu ndio anatumiaga udhaifu kama fimbo!Daaah wee kiboko teh teh teh
Mapenzi bila kufunguka mambo yako kwa baby yanakuwa hayana ladha.Mi nashangaaga sana watu wanaoogopa ogopa 😂 kwenye mapenzi lazima tuelezane ukweli kwa7bu kila mtu ana matatizo yake na tukishindwana basi kila mtu ashike hamsini zake...ni mpumbavu tu ndio anatumiaga udhaifu kama fimbo!