Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba

Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba

Hata mzee baba amebase sana kwa mama yake (bibi)

Hii imepelekea hata kujua ndugu upande wa baba(babu) kuwatafuta ni kwa tochi

Hii pia vilevile hata upande mama ni ivoivo tu

Hili swala laniwazisha sana
Nna asili ya Tanga moja
Lakini sasa niulize ndugu zangu upande babu kama nawafaham.
Chenga tupu.

Kilugha chenyewe cjui yaaan dah
 
Kweli kabisa.
Mimi pia iko hivyo.ma aunt wanaringa mno asee
 
Back
Top Bottom