Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Binadamu kusaidiana ni jambo la muhimu sana katika maisha kwa maana shida hazina mwenyewe.Ila point yako inabakia kuwa validi tusaidieane tuu hata kama siyo ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu kusaidiana ni jambo la muhimu sana katika maisha kwa maana shida hazina mwenyewe.Ila point yako inabakia kuwa validi tusaidieane tuu hata kama siyo ndugu
Sawa mkuu...Watoto watakuwa karibu na ndugu aliye karibu na familia (hasa mama)...inatokea wengi wanakuwa karibu na ndugu wa mama kwa sababu ndio hao wanawekwa karibu na mama.
Kwa kaka unakosa comfortability kwa sababu ya wifi? Sio ndio mkuu?Nikiri tu wazi kwamba hata mimi nakuwa comfortable zaidi nikienda kwa dada kuliko nikienda kwa kaka
Jindanganye mkuu hujajua uhuni wa wanawake,siku mnazinguana anakutamkia live kuw watoto sio wako ,ndipo utalia na kusaga menoBaba yao ni yule aliyefunga ndoa na mama yao. Mkuu, ubaba sio suala la DNA. Ngoja umri wako uongezeke ndio utaelewa unaonekana bado mtoto mdogo sana.
Lazima niwang'ang'anie watoto wangu kwa maana mimi ndio nimelipa mahari na sio huo mchepuko wake. Huo mchepuko ulikuwa unaniibia tu mkuu.Jindanganye mkuu hujajua uhuni wa wanawake,siku mnazinguana anakutamkia live kuw watoto sio wako ,ndipo utalia na kusaga meno
Safi kabisaLazima niwang'ang'anie watoto wangu kwa maana mimi ndio nimelipa mahari na sio huo mchepuko wake. Huo mchepuko ulikuwa unaniibia tu mkuu.
Utakuwa baba mlezi tu ila biological father ndio dili.damu nzitoLazima niwang'ang'anie watoto wangu kwa maana mimi ndio nimelipa mahari na sio huo mchepuko wake. Huo mchepuko ulikuwa unaniibia tu mkuu.
Mkuu mwanamke wa ndoa ni sawa na shamba ulilonunua na unalimiliki, kila zao linaloota humo ni mali yako haijalishi alipanda nani au alitupa mbegu nani. Kuhusu mwanamke kukwambia kuwa watoto siyo wako huwa inatokana na hasira tena kwa wanawake wapumbavu.Jindanganye mkuu hujajua uhuni wa wanawake,siku mnazinguana anakutamkia live kuw watoto sio wako ,ndipo utalia na kusaga meno
Not really, sijui hata niiwekeje hii...mimi ni mwanamke, ninapoenda kwenye nyumbani yoyote inategemewa nitakuwa na connection zaidi na mwanamke, likifanikiwa hili ndio nitakuwa na uhuru kwenye hiyo nyumba maana lazima tukubali kuwa mwenye nyumba ni mwanamke. Sasa nikienda kwa sister nakuwa tayari tuna connection na tumezoeana ila nikienda kwa bro mtu ambaye nimemzoea ni bro kuliko mkewe ambaye ndio mwenye nyumba hapo kwa hivyo siwezi kuwa comfortable maana mtu niliyemzoea na yeye ni 'mgeni'katika hiyo nyumba. Sijui kama nimeelewekaKwa kaka unakosa comfortability kwa sababu ya wifi? Sio ndio mkuu?
Hata mtoto wa mjomba unaweza kumsaidia kumbe sio mtoto wake, au pengine huyo unayemuita ma mdogo si mtoto wa babu yako bibi alichakachua. Hivi ni visingizio vya watu wachoyo tuUnaeza kumsaidia kumbe si mkojo wa bamdogo/bamkubwa wako[emoji23][emoji23][emoji23]kapigwaaaaaaa,ila kwa upande wa mama ni biyeeeeeeee[emoji4]
Mtoto akizaliwa katika ndoa huyo ni mtoto wako. Wewe una uhakika gani kama huyo unayemuita baba ni baba yako kweli? Mbona unamsaidia?Unaeza kumsaidia kumbe si mkojo wa bamdogo/bamkubwa wako😂😂😂kapigwaaaaaaa,ila kwa upande wa mama ni biyeeeeeeee😊
Inawezekana hata wewe huyo unayemuita baba yako sio biological father kwako. Watoto wooote wa ndani ya ndoa ni watoto wangu.Utakuwa baba mlezi tu ila biological father ndio dili.damu nzito