Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Tatizo Leo upo huku na kuleUnique Flower nina upara mkubwa sana.Nipende please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo Leo upo huku na kuleUnique Flower nina upara mkubwa sana.Nipende please
Haki wakati huu nakupenda tu wewe hapo na JF nzima lazima ilijue hilo.Kule ni wazinguaje wala sitaenda tena huko Babe.Kule hata tako hawana.Tatizo Leo upo huku na kule
Kha!,kha!,Wanaume wenye nywele ndefu utawajua tu.Utafiti unaonyesha wanawake wanao vutiwa na wanaume wenye vipara hawana shape
ni mtizamo tu. Siwezi kukupopoa miss NakaDuhh mnanipopoa
Nimewaonea huruma, ila itabidi mnyoe nywele sasa hamna jinsi😂Bora hata umetutetea[emoji4]
Mie nakutaka wewe bwanaHalaf black and tall
Mtu mzima hivii....
🤣🤣🤣🤣
We tafuta wa kukukuna tu mbona madem kitaa kibao mzabzab
Wenye vipara tunasemwa huku ila mademu wenyewe hatupati[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara.
Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda kunyoa vipara japokuwa kuna baadhi ya sifa hapa wanaweza wakawa nazo pia.
Muonekano wa kiume: wanaume wenye vipara wengi huwa na muonekana wa kiume zaidi,muonekano nadhifu sina maana kama wanaume wengine walio na nywele ndefu ama wastani hawana mvuto lah, nauongelea mvuto zaidi ama mvuto wa kipekee.
Ujasiri: wanaume wa aina hii wengi huonekana ni wajasiri kwa muonekano wao tu, hii huwafanya kuwa kivutio kwa wanawake.
Wana hisia kali za kimapenzi: daktari kutoka Chuo cha Yale Marekani , James B. Hamilton alisema katika utafiti wake wanaume wengi walio na vipara miili yao huwa inazalisha mbegu nyingi za kiume kuliko wanaume wenye nywele, japokuwa si kwa asilimia 100 alisema pia uchunguzi zaidi bado unaendelea ili kutetea uchunguzi huo.
Hawana muda na Vioo: mwanaume anaefuga nywele ndefu hutamani aonekane msafi na mtanashati kwahiyo hatokaa mbali na kitana chake wala mbali na kioo chake, labda tu awe ana Rasta. Mwanaume mwenye vipodozi vingi kwaajiri y aywele zake kumshinda msichana
Wastarabu : kuna utofauti wa muonekano kati ya mwanaume mwenye kiduku, na suti na mwenye upara na suti watu hawa wawili wanaweza kuonekana tofauti sababu tu ya nywele zao,muonekano wao unaweza ongelewa tofauti mbele za watu.
Wapo tayari kwa mabadiliko: kama mtu ameweza kukubali kwamba hawezi kuwa na nywele kama watu wengine na akaibubali hali yake, tofauti na wale wanaovaa kofia sana na wengine nchi za nje wanavaa hata mawigi ili wasionekana hawana nywele. Lakini wapo wanao ichukulia kama hali ya kawaida hawa ni zaidi ya wajasiri. Wanaweza kuvumilia
Vin Diesel, L.L. Cool J, Bruce Willis, Michael Jordan and The Rock (Dwayne jonhnson hawa ni Baadhi tu ya mastaa kutoka Marekani Ambao wana vipara
View attachment 2513636
Baby wangu wa jf vp una kipara?? Au tukitengenezee?
Kwani kuna mtu anazaliwaga na kipara tayari..Hiko sio cha asili basii ni cha uzee
Mie kutomgoza siwezi nachojua ni kuhudumia mwanamke naye anihudumie🤣🤣🤣🤣🤣
Basi ntongozeeeee