Utafiti waonyesha wanaume wenye vipara wanawavutia sana wanawake kuliko wenye nywele

Wenye nazo wala hawajisemi mkuu
Ukishamjua ndo unajua kumbe yaliyomo yamoo
tunachangamsha genge tuh bibie sina hata mia mbovu apa mwenyewe huwezi amini gesi imeisha ndio nimetoka kutingisha mtungi
 
Wanawake bana. Atampata mwenye upara ataanza kutaman mwenye dred kama mondi
[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa itakuwaje...hatuli leo?
Uzuri uji ilikua umesha chemka ndio naugida apa ukichagiza na sijui nitee mboga any way ni mboga maziwa mtindi,imebidi niyachanganyie hukohuko
 
Wana hisia kali za kimapenzi: daktari kutoka Chuo cha Yale Marekani , James B. Hamilton alisema katika utafiti wake wanaume wengi walio na vipara miili yao huwa inazalisha mbegu nyingi za kiume kuliko wanaume wenye nywele, japokuwa si kwa asilimia 100 alisema pia uchunguzi zaidi bado unaendelea ili kutetea uchunguzi huo.
....Noma sana
 
Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara.

Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda kunyoa vipara japokuwa kuna baadhi ya sifa hapa wanaweza wakawa nazo pia.

Muonekano wa kiume: wanaume wenye vipara wengi huwa na muonekana wa kiume zaidi,muonekano nadhifu sina maana kama wanaume wengine walio na nywele ndefu ama wastani hawana mvuto lah, nauongelea mvuto zaidi ama mvuto wa kipekee.

Ujasiri: wanaume wa aina hii wengi huonekana ni wajasiri kwa muonekano wao tu, hii huwafanya kuwa kivutio kwa wanawake.

Hawana muda na Vioo: mwanaume anaefuga nywele ndefu hutamani aonekane msafi na mtanashati kwahiyo hatokaa mbali na kitana chake wala mbali na kioo chake, labda tu awe ana Rasta. Mwanaume mwenye vipodozi vingi kwaajiri y aywele zake kumshinda msichana

Wastarabu : kuna utofauti wa muonekano kati ya mwanaume mwenye kiduku, na suti na mwenye upara na suti watu hawa wawili wanaweza kuonekana tofauti sababu tu ya nywele zao,muonekano wao unaweza ongelewa tofauti mbele za watu.

Wapo tayari kwa mabadiliko: kama mtu ameweza kukubali kwamba hawezi kuwa na nywele kama watu wengine na akaibubali hali yake, tofauti na wale wanaovaa kofia sana na wengine nchi za nje wanavaa hata mawigi ili wasionekana hawana nywele. Lakini wapo wanao ichukulia kama hali ya kawaida hawa ni zaidi ya wajasiri. Wanaweza kuvumilia

Vin Diesel, L.L. Cool J, Bruce Willis, Michael Jordan and The Rock (Dwayne jonhnson hawa ni Baadhi tu ya mastaa kutoka Marekani Ambao wana vipara

View attachment 2513636

Baby wangu wa jf vp una kipara?? Au tukitengenezee?
Bila shaka unatinduliwa na lenye para, kisa bwana Ako ana kipara ndo unasifia vipara humu???, Nakupenda wewe na huyo bwana Ako.
 
Kwa hiyo umemzimia huyu mwenye vyuma tag masikioni; ndiyo ukaleta uzi huu?
Nauliza tu kutaka kufahamu.
 
Back
Top Bottom