Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
Mwanangu tafta helaa tafta helaa aisee kipara sio inshu ww, Wanawake wanataka pesa pesa achana na uboya wa kipara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hiki kichwa changu kama koleo jipya nikaongeza na kipara mbona kamzozo😄
Hahahahahahaha umenifurahisha sana mkuu
hehehehehee kwahiyo hoja ya Miss Naka haukubaliani nayo? Basi nakusikiliza wewe wa ubani.Ngoja tununue nywele za bandia Kwa kweli
Ndo hadi uite watu kenge... acha matusi ndugu. Maisha ni simple tu. Yupo mwanamke mahali ambaye hapendi kipara yeye anapenda hela tuu utampataNyie kenge msituchoshe mnataka tuwe watu wa aina gani six pack mara kipara mara bhange mara mwenye gari mara mweye hela mara mwenye misuli yaani mnatuviruga ilimradi mtuue nyoko zenu
Ndo hadi ureply post yangu yupo asietukana sehemu unaweza reply post zake maisha ni simple tuNdo hadi uite watu kenge... acha matusi ndugu. Maisha ni simple tu. Yupo mwanamke mahali ambaye hapendi kipara yeye anapenda hela tuu utampata
😂😂Achaneni na hayo sahiz ni muwe vipara tuMnatuchanganya elewekeni..Kwahio siku hizi Mnavutiwa na KIPARA Sio HELA Na MAGARI?
At least Kuna binadamu mmoja Ali wai kuangaika na Mimi.... what's love iz 💕 tutasimuliaga huko....Wala sio hivyo kama nawapendaa
Me napenda toyote atakayeweza kunipenda kwa dhati. Akizingua tupa kuleeeeeeee
Kelsea umekuja kutoa TAGS
Wanawake hamuelewekagi mnataka nini.....Kuna ex-girl wangu kanifanya niwaze sana Good moment & Bad moments.....Am 4 Real ni chuma Kingine hakikajawai kupenda tena..... ROBOCOPMe akili ngumu hebu elezea nielewe
Chanzo nani tumjueNa ww why ureply uzi wangu? Zipo nyuzi zingine ambazo haziongelei hili linalokukwaza...
Bye
Huo ni utafiti mkuuWanawake hamuelewekagi mnataka nini.....Kuna ex-girl wangu kanifanya niwaze sana Good moment & Bad moments.....Am 4 Real ni chuma Kingine hakikajawai kupenda tena..... ROBOCOPS
Unapenda ligi.....ligi. Inayo endelea ni Simba vs horoya🦁🦁😂🤣🤣🤣😂Huo ni utafiti mkuu
Unaweza ukaupinga tu kwa hoja.
Huyo xgirl wako alikuwa na yakee
🤣🤣🤣🥰🥰🥰 Sawa babahehehehehee kwahiyo hoja ya Miss Naka haukubaliani nayo? Basi nakusikiliza wewe wa ubani.