Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
- Thread starter
- #81
Kipara asiliaMwenye kipara kama huyu?View attachment 2513749
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipara asiliaMwenye kipara kama huyu?View attachment 2513749
Unazungumzia kipara 😊😂🤣 Cha maprofesa wa bukoba au??Hapana
Kama una kipara asili basi una sehemu yako peponii
Yaani mtu anazaliwa hana nywele au sijaelewa😀😀Weee sio kipara cha kunyoa
Mbona hujasoma uziii??
Ni kipara cha asili
Wew unapenda watu wenye upara zamani walikua wana uwawa Kwa Imani za kishirikina...Hapana mkuu.
Yaan mtu anazaliwa Hana nywele zozote kichwani...... which is not 🚫🚫🚭🚭 trueYaani mtu anazaliwa hana nywele au sijaelewa😀😀
Kaachwa kwa tabia zake mbovu.WANAWAKE HAWAELEWEKI,
Huyo kipara uliemuweka picha,
Siku 4 zilizopita, Katoka kupigwa kibuti[emoji4]View attachment 2513796View attachment 2513797
We nae hujaelewaa bwana. Soma nlichomjibu hapo chini. Kwan hujaona vijana wenye vipara? Anazaliwa na nywele vizuri tu late 20s unashangaa nyewe mbele zinaanza kunyonyoka zenyeweYaan mtu anazaliwa Hana nywele zozote kichwani...... which is not 🚫🚫🚭🚭 true
[emoji2][emoji2]Binamu yangu kumbe hana kipara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787]Na hiki kichwa changu kama koleo jipya nikaongeza na kipara mbona kamzozo[emoji1]