Utafiti waonyesha wanaume wenye vipara wanawavutia sana wanawake kuliko wenye nywele

Hahah talaka ndo kitu inafata hapo unakosaje upara sasa na wewe
Baby hivi Sasa nyie wanawake mnataka nn?.

Nimefuga ndevu, Nina sixpacks, ni mweusi, mwemba , Nina Ajira Nina vibashara vyangu, , ni mcheshi , na Maneno matamu, shoo ndo usiseme.

Unataka nini Baby?? Mnataka nn nyie wanawake !!
 
HAPO MAMII PIGIA MSTARI WALA HATA USIULIZE NDO UKWELI HUO. KIPARA KINASABABISHWA NA WINGI WA TESTOSTERONE hizi ni HORMONES ZA KIUME ZINAZOLETA HAMU KUTIANA. BASI HAPO SASA UMKUTE MWENYE KIPARA CHAKE.....ANA AFYA NJEMA TU.... UTALIA...ANAWEZA WASHA MOTO HUKO CHINI.
Woyoooooo
 
Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara.

Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda kunyoa vipara japokuwa kuna baadhi ya sifa hapa wanaweza wakawa nazo pia.

Muonekano wa kiume: wanaume wenye vipara wengi huwa na muonekana wa kiume zaidi,muonekano nadhifu sina maana kama wanaume wengine walio na nywele ndefu ama wastani hawana mvuto lah, nauongelea mvuto zaidi ama mvuto wa kipekee.

Ujasiri: wanaume wa aina hii wengi huonekana ni wajasiri kwa muonekano wao tu, hii huwafanya kuwa kivutio kwa wanawake.

Wana hisia kali za kimapenzi: daktari kutoka Chuo cha Yale Marekani , James B. Hamilton alisema katika utafiti wake wanaume wengi walio na vipara miili yao huwa inazalisha mbegu nyingi za kiume kuliko wanaume wenye nywele, japokuwa si kwa asilimia 100 alisema pia uchunguzi zaidi bado unaendelea ili kutetea uchunguzi huo.

Hawana muda na Vioo: mwanaume anaefuga nywele ndefu hutamani aonekane msafi na mtanashati kwahiyo hatokaa mbali na kitana chake wala mbali na kioo chake, labda tu awe ana Rasta. Mwanaume mwenye vipodozi vingi kwaajiri y aywele zake kumshinda msichana

Wastarabu : kuna utofauti wa muonekano kati ya mwanaume mwenye kiduku, na suti na mwenye upara na suti watu hawa wawili wanaweza kuonekana tofauti sababu tu ya nywele zao,muonekano wao unaweza ongelewa tofauti mbele za watu.

Wapo tayari kwa mabadiliko: kama mtu ameweza kukubali kwamba hawezi kuwa na nywele kama watu wengine na akaibubali hali yake, tofauti na wale wanaovaa kofia sana na wengine nchi za nje wanavaa hata mawigi ili wasionekana hawana nywele. Lakini wapo wanao ichukulia kama hali ya kawaida hawa ni zaidi ya wajasiri. Wanaweza kuvumilia

Vin Diesel, L.L. Cool J, Bruce Willis, Michael Jordan and The Rock (Dwayne jonhnson hawa ni Baadhi tu ya mastaa kutoka Marekani Ambao wana vipara

View attachment 2513636

Baby wangu wa jf vp una kipara?? Au tukitengenezee?
Hii tafiti imekua funded na wanaume wenye vipara
 
HAPO MAMII PIGIA MSTARI WALA HATA USIULIZE NDO UKWELI HUO. KIPARA KINASABABISHWA NA WINGI WA TESTOSTERONE hizi ni HORMONES ZA KIUME ZINAZOLETA HAMU KUTIANA. BASI HAPO SASA UMKUTE MWENYE KIPARA CHAKE.....ANA AFYA NJEMA TU.... UTALIA...ANAWEZA WASHA MOTO HUKO CHINI.
Aione kwenye jalada waziri wetu wa nishati🤣
 
HAPO MAMII PIGIA MSTARI WALA HATA USIULIZE NDO UKWELI HUO. KIPARA KINASABABISHWA NA WINGI WA TESTOSTERONE hizi ni HORMONES ZA KIUME ZINAZOLETA HAMU KUTIANA. BASI HAPO SASA UMKUTE MWENYE KIPARA CHAKE.....ANA AFYA NJEMA TU.... UTALIA...ANAWEZA WASHA MOTO HUKO CHINI.
Ukiona huko chini kunawaka Moto,ujuwe unatatizo la upungufu wa utelezi huko chini,jitahidi ule mlenda kwa wingi sana!!
 
73f694e7-4f36-4c40-bb46-a324381ed79e.jpg

Hata mm Nina kipara njooni basi mabebi mama
 
Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara.

Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda kunyoa vipara japokuwa kuna baadhi ya sifa hapa wanaweza wakawa nazo pia.

Muonekano wa kiume: wanaume wenye vipara wengi huwa na muonekana wa kiume zaidi,muonekano nadhifu sina maana kama wanaume wengine walio na nywele ndefu ama wastani hawana mvuto lah, nauongelea mvuto zaidi ama mvuto wa kipekee.

Ujasiri: wanaume wa aina hii wengi huonekana ni wajasiri kwa muonekano wao tu, hii huwafanya kuwa kivutio kwa wanawake.

Wana hisia kali za kimapenzi: daktari kutoka Chuo cha Yale Marekani , James B. Hamilton alisema katika utafiti wake wanaume wengi walio na vipara miili yao huwa inazalisha mbegu nyingi za kiume kuliko wanaume wenye nywele, japokuwa si kwa asilimia 100 alisema pia uchunguzi zaidi bado unaendelea ili kutetea uchunguzi huo.

Hawana muda na Vioo: mwanaume anaefuga nywele ndefu hutamani aonekane msafi na mtanashati kwahiyo hatokaa mbali na kitana chake wala mbali na kioo chake, labda tu awe ana Rasta. Mwanaume mwenye vipodozi vingi kwaajiri y aywele zake kumshinda msichana

Wastarabu : kuna utofauti wa muonekano kati ya mwanaume mwenye kiduku, na suti na mwenye upara na suti watu hawa wawili wanaweza kuonekana tofauti sababu tu ya nywele zao,muonekano wao unaweza ongelewa tofauti mbele za watu.

Wapo tayari kwa mabadiliko: kama mtu ameweza kukubali kwamba hawezi kuwa na nywele kama watu wengine na akaibubali hali yake, tofauti na wale wanaovaa kofia sana na wengine nchi za nje wanavaa hata mawigi ili wasionekana hawana nywele. Lakini wapo wanao ichukulia kama hali ya kawaida hawa ni zaidi ya wajasiri. Wanaweza kuvumilia

Vin Diesel, L.L. Cool J, Bruce Willis, Michael Jordan and The Rock (Dwayne jonhnson hawa ni Baadhi tu ya mastaa kutoka Marekani Ambao wana vipara

View attachment 2513636

Baby wangu wa jf vp una kipara?? Au tukitengenezee?

Huo ni uongo tu. Mii mbona wanazimika kwa ajili ya nywele niliyonayo. Black and curled hair.
 
Really?!
But one of the signs of low testosterone is hair loss as this hormone is responsible for hair production. Given this fact, I don't think someone with high levels of testosterone would experience balding!
She's very right.
Screenshot_20230211_162805_Chrome.jpg
Screenshot_20230211_163336_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom