NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Vilema kwa kujitetea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TUFE.Baby hivi Sasa nyie wanawake mnataka nn?.
Nimefuga ndevu, Nina sixpacks, ni mweusi, mwemba , Nina Ajira Nina vibashara vyangu, , ni mcheshi , na Maneno matamu, shoo ndo usiseme.
Unataka nini Baby?? Mnataka nn nyie wanawake !!
Mmefikiwa mkuu
We usiwasikilize hao. Sisi tunabaki kule kule.Mnatuchanganya elewekeni..Kwahio siku hizi Mnavutiwa na KIPARA Sio HELA Na MAGARI?
Embu ongeza sauti huku nyuma tukusikie vizuri eti Ma MshuzaHAPO MAMII PIGIA MSTARI WALA HATA USIULIZE NDO UKWELI HUO. KIPARA KINASABABISHWA NA WINGI WA TESTOSTERONE hizi ni HORMONES ZA KIUME ZINAZOLETA HAMU KUTIANA. BASI HAPO SASA UMKUTE MWENYE KIPARA CHAKE.....ANA AFYA NJEMA TU.... UTALIA...ANAWEZA WASHA MOTO HUKO CHINI.
Si useme tu Kama Kipara cha January Makamba!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aah sio kipara cha hivo sasa ni kile kipara fulani hivi cha heshima
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umetisha mkuuView attachment 2513731
Hata mm Nina kipara njooni basi mabebi mama
Kipa shati[emoji38]Mwanaume uzuri wake ndevu, yani awe awavyo awe na madevu mengi ila sio yaliyochachamaa
mwanaume NDEVU.
nampendaga lorisView attachment 2513750
Vipaumbele vinazid ongezekaKwahiyo..Ndevu, Vijiti + Six park sio Issue tena.Mbele ya Kipara?[emoji41]
Sio kipara cha kunyoa soma uzi vizuri. Ni kipara cha asiliKunyoa kipara ni uhuni ??....nakumbuka kipindi Fulani wakati January makamba anatangaza nia ya kuwania uraisi wa JMT......walinukuliwa watu wakisema hatuwezi kua na raisi mnyoa vipara.....
Kipindi flani shuleni Secondary rafik yangu alirudishwa nyumbani akalete mzazi kisa alinyoa upara....Eti mwalimu anamwambia uhuni 😊😊akae home mpaka nywele zitakapo ota...
Jamaa aka mleta mlezi wake mzee maarufu tena wa kuheshimika.....mwalimu alipo kua anaelezea kuhusu kosa la kijana la kunyoa upara kua ni uhuni.....mzee akatoa baragashia 😊😊😊😊 aka muuliza mwalimu Ina maana hata mm ni muhuni kisa nimenyoa kipara 😊😊😊😊
Kwa heshima ya yule mzee Mwalimu hakujib chochote....😊😊😊😊
Najua kipara Cha magic wanakwangua nywele zote...mfno mike TysonSio kipara cha kunyoa soma uzi vizuri. Ni kipara cha asili
Angeamia kwenye umodo angefit sanaKipa shati[emoji38]