Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Eti utafiti. Unajua maana ya utafiti? Nikikuuliza umetumia njia gani kwenyeKwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana sababu zao nyingine...
Kwa utafiti wangu nimebaini kuwa zaidi ya asilimia sabini na tano ya wadada wanaovaa nguo ndefu na pia wanaovaa suruali wana usafiri mwembamba...
Orodha hii haijahusisha utafiti wa wale wanaovaa mavazi kulingana na imani zao... Imehushisha tu wale wanaovaa mavazi ya kawaida ambayo hayana muingiliano na imani yeyote...
Utafiti huu pia ukaendelea kubaini kuwa wadada wenye guu za bia hupenda sana kuvaa visketi au magauni mafupi na kuanika miguu yao hadharani....
Tatizo la Kiswahili halina maneno mengi... Hii kwa kiingereza tungeweza kuiita Survey... Njia kubwa niliyotumia ni observation at random sampling...Eti utafiti. Unajua maana ya utafiti? Nikikuuliza umetumia njia gani kwenye
> Kukusanya taarifa / data
> Kuchambua taarifa / data
Utaweza zitaja?
At least now it makes senseTatizo la Kiswahili halina maneno mengi... Hii kwa kiingereza tungeweza kuiita Survey... Njia kubwa niliyotumia ni observation at random sampling...
He hee! Nimeshakula ngumi kadhaa mpaka sasa...Haya wanakuja kukupiga za uso