UTAFITI: Wasichana wanaopenda kuvaa nguo ndefu/suruali wana miguu myembamba!

UTAFITI: Wasichana wanaopenda kuvaa nguo ndefu/suruali wana miguu myembamba!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana sababu zao nyingine...

Kwa utafiti wangu nimebaini kuwa zaidi ya asilimia sabini na tano ya wadada wanaovaa nguo ndefu na pia wanaovaa suruali wana usafiri mwembamba...

Orodha hii haijahusisha utafiti wa wale wanaovaa mavazi kulingana na imani zao... Imehushisha tu wale wanaovaa mavazi ya kawaida ambayo hayana muingiliano na imani yeyote...

Utafiti huu pia ukaendelea kubaini kuwa wadada wenye guu za bia hupenda sana kuvaa visketi au magauni mafupi na kuanika miguu yao hadharani...
 
Nakumbuka ile Methali isemayo ''Kizuri cha jiuza bila mbwembwe na kibaya chajitembeza kwa matangazo'' Na kitu chochote chenye dhamani utatoka jasho kukipata ama kukiona tu...Refer madini gani utayakuta hadharani lazima usotee mno...Ila ukiona kitu kirahisi kukupata ama kukiona kitakuwa hakina thamani kabisa ama kama kina thamani ni ndogo mno..
 
Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana sababu zao nyingine...
Kwa utafiti wangu nimebaini kuwa zaidi ya asilimia sabini na tano ya wadada wanaovaa nguo ndefu na pia wanaovaa suruali wana usafiri mwembamba...
Orodha hii haijahusisha utafiti wa wale wanaovaa mavazi kulingana na imani zao... Imehushisha tu wale wanaovaa mavazi ya kawaida ambayo hayana muingiliano na imani yeyote...
Utafiti huu pia ukaendelea kubaini kuwa wadada wenye guu za bia hupenda sana kuvaa visketi au magauni mafupi na kuanika miguu yao hadharani....
Eti utafiti. Unajua maana ya utafiti? Nikikuuliza umetumia njia gani kwenye
> Kukusanya taarifa / data
> Kuchambua taarifa / data

Utaweza zitaja?
 
Eti utafiti. Unajua maana ya utafiti? Nikikuuliza umetumia njia gani kwenye
> Kukusanya taarifa / data
> Kuchambua taarifa / data

Utaweza zitaja?
Tatizo la Kiswahili halina maneno mengi... Hii kwa kiingereza tungeweza kuiita Survey... Njia kubwa niliyotumia ni observation at random sampling...
 
siyo kweli, Kuna mtu me namfahamu ana buti mpaka wenzie wanamwonea wivu, so hebu rudia tena utafiti
 
Huu ni udaku. Mbona Watu na maguu Yao ya bia wanavaa skirt/ Suruali. Ni uamuzi Binafsi wa Mtu
 
Utafiti ????hivi vitabia vya kuchungulia dada zenu vyumban mwao halaf unajikuta na ww n mtafiti hahhhhah ww n mpiga chabo mtu na gaun lake refu hyo miguu umeionea wap.....???nahis umepigwa kibut na manz yako
 
Mwanamke anayevaa sketi fupi na suruali za kubana maana yake anatafuta soko, aliye kwenye mahusiano hawezi vaa hovyo! Kuna wale wanavaa sketi fupi ila inafunika magoti! Hao hupendeza na miguu inaonekana.
 
guuu.jpg
 
wewe ndio unakosa vitu vitamu kwa utafiti usiokamilika ndugu yangu, basi habari ni tofauti. Mabinti wenye miguu mizuri wengi wao hawaionyeshi ,data zako hazijakaa sawa kabisa, karudie kufanya utafiti. Kwani macho yako hayana infrared ukaweza kuona hiyo kitu.
 
Na wanaovaa mahijabu?
Mwanamke mzuri hafichiki hata akijifunika nini. Ni hulka tu. Sasa akiwa na miguu miembamba what next. Tafuta mada za kujenga
 
Back
Top Bottom