Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima japo hailingani na mwenye madaraka.Ndio hivyo kusifiwa tu kwamba fulani ana mkwanja mrefu hakuna jipya mengine yote hata wenye maisha ya wastani wanayo.
Hawafi kizembe,wanakufa Siku ikifika sio wewe lofa unakufa kwa kukosa 5000 ya dawaKwamba matajiri hawafi?
Kuwa ordinary tu
Unadhalilisha sana mkuu, nimeenda ofisi fulani kukopa hela wanasema waje kwangu chumbani waangalie kitanda na godoro, ili nisipolipa wavibebe.Duh!
#Umasikini unadhalilisha sana.
Huyu haja jua furaha ya kumwambia dereva niache hapa, Kisha nita kupigiaMkuu au umekata tamaa? Nakufikiria😂😂😂kunq tofauti kati ya kugombania mwendo kasi na kuendeshwa!
Utaniri hauna faida?
Mungu nipe utajiri maana maisha mazuri nayapenda, nibariki nishuhudie ukuu wako kabla sijafa🙏🏿🙏🏿
Watoto wa 2000 hapa hawawezi kuelewa!