Utajiri hauna faida nyingine zaidi ya sifa

Utajiri hauna faida nyingine zaidi ya sifa

Ukitaka ujione mjinga na utengue kauli yako.

Kama uko dar, ukiwa una mishe town, siku za wiki.
Nenda pale kimara asbh, upande gari za mwendokasi.
 
Sijafafanua vizuri tu ila kinyume cha utajiri kwenye context hii ni MIDDLE CLASS
 
Ni kweli kabisa. Utajiri uliopitiliza beyond human need hauna maana yoyote . Mabepari wametengeza taswira isiyo halisi juu ya utajiri.
Kama utajiri ungekuwa na maana Billgate angerithisha utajiri wote kwa wanawe wawili lakini kawapa asilimia 10 kama sijakosea.
Utajiri ni hali ya kumiliki ma vitu mengi usiyoyatumia na mda mwi gine hata huyaoni na hata kuyasahau.
Nikiangalia malori ya Dangote hapa TZ naona kabisa hakuna maana ya utajiri.
 
Tafuta hela Bora umiliki Mali mpaka uzisahau kuliko kumiliki ufukaraa kama wewe
 
Sifa zina raha. Tupende sifa ndugu zangu ila tuwe na kiasi.
 
Wewe hutakaa uje uwe hata Fred vunjabei forget the level of Mengi.
Hujielewi mzee tafuta hela umasikini unakusumbua mwenzio pesa zimejaa bank mpaka nazisahau unanitajia masikini wenzio waliokuzudi wewe kina Fred vunjabei wauza mitumba
 
Back
Top Bottom