Utajiri hauna faida nyingine zaidi ya sifa

Utajiri hauna faida nyingine zaidi ya sifa

Kuna ukweli mleta meta ila naomba nikusahihishe kidogo;

Kuna kiwango cha utajiri ambacho sio cha lazima, yaani unakuwa na hela nyingi kupita kiasi
Unakuwa bepari, mtumwa wa pesa, unapata uraibu wa pesa

Hela muhimu sana aisee ila usizidishe
 
Faida ya pesa ni kua na options.

Ukitaka kwenda Dodoma unaamua mwenyewe kama utapanda sgr, mwewe, au bus.

Lakini ukiwa Huna wewe ni lazima upande usafiri flani

options zinakua kwa kila kitu katika maisha yako.

Mf chakula, mavazi,mademu, maeneo ya kuishi etc
 
Kuna ukweli mleta meta ila naomba nikusahihishe kidogo;

Kuna kiwango cha utajiri ambacho sio cha lazima, yaani unakuwa na hela nyingi kupita kiasi
Unakuwa bepari yaani mtumwa wa pesa, unapata uraibu wa pesa

Hela muhimu sana aisee ila usizidishe
Umeandika point kubwa mno ambayo ndio kiini cha uzi huu
 
Back
Top Bottom