Utajiri hauna faida nyingine zaidi ya sifa

Mkuu au umekata tamaa? Nakufikiria😂😂😂kunq tofauti kati ya kugombania mwendo kasi na kuendeshwa!

Utajiri hauna faida?

Mungu nipe utajiri maana maisha mazuri nayapenda, nibariki nishuhudie ukuu wako kabla sijafa🙏🏿🙏🏿
 
Cha muhmu mkuu nikuupata kwanza huo utajiri alafu hayo uliyoyasema ndio yafatee..

Kuwa na Hela Kuna Raha yake mkuu asikwambie mtu🛀
 
Huyu haja jua furaha ya kumwambia dereva niache hapa, Kisha nita kupigia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…