mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Acha uongo wewe ulishazidisha hizo pesaKuna ukweli mleta meta ila naomba nikusahihishe kidogo;
Kuna kiwango cha utajiri ambacho sio cha lazima, yaani unakuwa na hela nyingi kupita kiasi
Unakuwa bepari yaani mtumwa wa pesa, unapata uraibu wa pesa
Hela muhimu sana aisee ila usizidishe
Umeandika point kubwa mno ambayo ndio kiini cha uzi huuKuna ukweli mleta meta ila naomba nikusahihishe kidogo;
Kuna kiwango cha utajiri ambacho sio cha lazima, yaani unakuwa na hela nyingi kupita kiasi
Unakuwa bepari yaani mtumwa wa pesa, unapata uraibu wa pesa
Hela muhimu sana aisee ila usizidishe
Kwahiyo wanao uliowazaa hawakuhusu?We vinakuhusu nini hivyo vizazi?