makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kauli za watu waliokata tamaa ya maishaHuo utajiri una manufaa gani kwenye nchi iliyo top five ya nchi maskini duniani????
Hahahaha you made my nightTangu wameanza kuongeza sifuri, sitakaa nimuamini msanii yeyote
Tangu wameanza kuongeza sifuri, sitakaa nimuamini msanii yeyote
Ikiwemo weweKauli za watu waliokata tamaa ya maisha
Kwani usipoamini unampunguzia nini kwa mfano ????
Na kutoboa pia mazee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umesahauKwanza ndo wanasababisha vijana wageukie ushoga kwa kupenda kujilamba lamba midomo na kuvaa kata K
Na kutoboa pia mazee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umesahau
3 zote hizo mkuu mbona unaenda mbali sana hata ukiwatia wote kwenye kapu moja hata nusu ya hizo hawafikii