Utajiri wa Magofu ya Rapta

Fatuma ndala ndefu aka fatemeh , mhuni toka chuga ukapagawa na fatuma au sio ? 😃😃😃😃
 
hv mleta mada haujishtukii?au ndo umeshafanya kuwa chanzo cha mapato?
 
Msimuliaji kapotelea kwenye magofu ya Rapta hakufanikiwa kurudi alivooenda kuusaka utajiri.
 
Nilienda huko karibuni. Ule msikiti wa awali umeshaanguka baadhi ya kuta zake...
 
Mkuu acha kuumiza kichwa
Soma story kisha mengine fanya reasonings kichwani kwako.

Hii story ina ukweli mwingi kuliko fictions.

Hapa miezi ya karibuni, serikali ilichukua hatua fulani dhidi ya bidhaa zinazohusisha bangi kwenye utengenezaji wake ambapo unaona kabisaa akina Kingai wanapitiamo hapa kusoma story pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…