Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Na le mutuzWanamsahau bilionea Diamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na le mutuzWanamsahau bilionea Diamond
Itakuwa anataka kumtaja GSM 😂😂😂Kama?
Mnataka muone na kusikia nini kwa mfano?Sunni Vs Shia. Kobaaz wenyewe kwa wenyewe. Sisi wagalatia yetu macho na maskio tu.
Ila wewe JAMAA huwa unachekesha sana! Naona umeamua kujipa PROMO mwenyewe 😁😁My Take
We endelea kumuita Mwamedi labda itasaidia kumshusha
Yaani Makolo na Utopolo ni vita isiyoisha[emoji23][emoji23][emoji23]Makolo wanajifariji kwa utajiri wa Mwamedi [emoji23][emoji23]
Kama vile Ali KibaNasikia kwenye hilo jarida ni ruhusa ukubali kuwekwa au ukatae.
Ndiyo maana Bakhresa hayupo.
kwa ufupi hapendi show off
Makolo muli bwanji bhabha![emoji2][emoji2]Yaani Makolo na Utopolo ni vita isiyoisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaendelea kuchinjana wenyewe kwa wenyeweMnataka muone na kusikia nini kwa mfano?
Who is bakhresa,ile natengenesa ile kitu toto nalambalambaMara kadhaa nimekuwa nikiona list ya matajiri wa Dunia na Afrika. Huko duniani sina tatizo maana niko mbali nao ila suala la Mo na Bakhresa huwa silielewi.
Kwa kutazama tu kawaida tena sio mimi peke yangu huwa tunaamini Bakhresa ana mali na utajiri mkubwa kuliko Mo. Lakini wenzetu "wataalamu" wa hayo mambo wanamuorodhesha Mo mbele ya Bakhresa.
Sasa nyie wajuvi wa JF naomba mtujuze ni vigezo gani hutumika ambavyo humbeba Mo mbele ya Bakhresa.
Njoo na hoja siyo ushabiki wa mipira
Kwahiyo rekodi za benki na TRA ni za wazi?!Matajiri wanajulikana hasa kupitia Benki na TRA sasa wewe una biashara inaonekana kwa macho kubwa ya mabilioni Benki akaunti INA laki mbili TRA kodi uliyolipa mwaka mzima laki moja utamwambiaje Forbes kuwa wewe tajiri ?
Wanaangalia rekodi za wazi sio za kichawi unalalia pesa ndani kwenye mto
Kuchinjana tena mkuu, duuh hatari.Mnaendelea kuchinjana wenyewe kwa wenyewe
Simple tu,Kwahiyo rekodi za benki na TRA ni za wazi?!
Kuna wakati fulani enzi za JK ilitolewa orodha ya walipa kodi wakubwa Tanzania! Sio Bakhresa wala Mwamedi aliyetokea kwenye orodha ile!!
Mashabiki wa Bakhresa wakatetea Bakhresa ni Group of Companies, kwahiyo kodi zinalipwa na individual groups ndo maana hawachomozi! Hapakuwa na utetezi ulioleta sense kwanini METL nayo haikutokea!!
Ninachotaka kusema ni kwamba, kama kigezo kingekuwa ni tax returns, Mwamedi asingetokea! Vigezo kama hivyo vinatumika kwa nchi za wenzetu ambako hata Forbes inakuwa rahisi kupata hizo returns, ingawaje na kwenyewe, wakati mwingine Forbes huwa wanaingizwa chaka!
Bakhresa pia yupo sema tu utajiri wake haujafika $1B. Last time naangalia ni kama $800m, hivyo pengine soon na yeye Akaingia.Nasikia kwenye hilo jarida ni ruhusa ukubali kuwekwa au ukatae.
Ndiyo maana Bakhresa hayupo.
kwa ufupi hapendi show off