Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Naomba mshikane mkono mshindane😄Sawa mke wa jirani yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba mshikane mkono mshindane😄Sawa mke wa jirani yangu
Binafsi sijawahi kuwa na hiyo interest lakini ninachosema, wakati inatolewa orodha ya walipa kodi wakubwa, none of them alitokea! Nakumbuka ile orodha ilitaja Top 3 walikuwa TBL, TCC na NMB, na hapo ndipo ilizaliwa ile dhana kwamba "Walevi wa nchi inabidi waheshimiwe"Chige jaribu kutafuta informer wowote wa Department ya Large Tax pale Samora watakwambia nani kati ya hao wawili wanalipa kodi kubwa..
Uzuri hawa wote wapo kwenye department moja ya Large Taxpayers..
Una hoja dhaifu sana....MO Ana products ambazo kununua moja unatakiwa uwe na milion 200,bakharesa product zake ni za Bei za chini sana, mfano MO boxer moja ni Sawa na Azam ukwaju ngapi? Unaweza kuta Bhaharesa anatakiwa kuuza Ice cream laki 2 ili kuifikia faida ya boxer 10 za MO dewji
HahahahahahahahMatajiri wanajulikana hasa kupitia Benki na TRA sasa wewe una biashara inaonekana kwa macho kubwa ya mabilioni Benki akaunti INA laki mbili TRA kodi uliyolipa mwaka mzima laki moja utamwambiaje Forbes kuwa wewe tajiri ?
Wanaangalia rekodi za wazi sio za kichawi unalalia pesa ndani kwenye mto
Uyo No.9 ndo Rais wa CAF tena ndo mmiliki wa Mamelodi Sundowns
Unaonesha una ubongo dhaifu wa kuelewa mambo, tulia take breath utaelewa nn namanisha, na kama hujawahi fanya biashara ndo huwezi kunielewa kamweUna hoja dhaifu sana....
Forbes hawahesabu wanasiasa ndio maana Waarabu wa Middle east hawamo.
Kwa Africa Raisi wa Angola wa zamani inakadiriwa utajiri wake ni $20B ama zaidi, kama Dangote wawili ama watatu
Hio list ya ForbesSaudia tu Ina ma Prince zaidi ya 10 kwenye Forbes
Nani alikuambia hawahesabiwi?
Je ni vigezo gani unafikiri wamevuka hao?
Hivi Hassan Bolkiah Sultan wa Brunei hayumo nae
Vipi kuhusu King Salman wa Saudia
Nisaidie hapo
Kaka usiamini sana haya mambo kuna watu wengi tu sisi tunawaona matajiri kumbe wana biashara za watu.Bakhresa ni Group of Companies....
Zile Hela za Azam Media hazihesabiwi pamoja na Hela za unga wa ngano....
Lakini pia pure richest men always live behind the curtain...
Shida ni sisi wenye visenti....
Huyo salman akisikiaga et elon ndo tajir huwa anacheka kwa dharau..wanasema huyo mse.nge wa saudia ana ukwasi unaokaribia dola bilion 900 sema ndo hvyo ...aliponunua newcastle fc wakasema utajir wa tajir wa newcastle. Ni mara 100 ta utajir wa matajir wote wa eplSaudia tu Ina ma Prince zaidi ya 10 kwenye Forbes
Nani alikuambia hawahesabiwi?
Je ni vigezo gani unafikiri wamevuka hao?
Hivi Hassan Bolkiah Sultan wa Brunei hayumo nae
Vipi kuhusu King Salman wa Saudia
Nisaidie hapo
Huyo salman akisikiaga et elon ndo tajir huwa anacheka kwa dharau..wanasema huyo mse.nge wa saudia ana ukwasi unaokaribia dola bilion 900 sema ndo hvyo ...aliponunua newcastle fc wakasema utajir wa tajir wa newcastle. Ni mara 100 ta utajir wa matajir wote wa epl
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeskia hzo mo boxer yy ndo anzalisha? Zile amelangua na you kutiachapa yake na kuuzaMO Ana products ambazo kununua moja unatakiwa uwe na milion 200,bakharesa product zake ni za Bei za chini sana, mfano MO boxer moja ni Sawa na Azam ukwaju ngapi? Unaweza kuta Bhaharesa anatakiwa kuuza Ice cream laki 2 ili kuifikia faida ya boxer 10 za MO dewji
Ungemtaja walau hata Mtanzania mmoja aliyekataa show off ya ForbesHilo ni jarida la show off. Kuna watu wanapesa na awataki show off.
Hilo jarida wewe ndiwe unawapa taarifa
Ndio faida yenyewe, kama ambavyo Bakhresa halimi ukwaju, ila analangua kwa wakulima na kuutengeneza juisiUmeskia hzo mo boxer yy ndo anzalisha? Zile amelangua na you kutiachapa yake na kuuza
FactNasikia kwenye hilo jarida ni ruhusa ukubali kuwekwa au ukatae.
Ndiyo maana Bakhresa hayupo.
kwa ufupi hapendi show off
Mtu wa pumbu lemutuzNa le mutuz
Kanunue soda kwaa mangiBakhresa ni Group of Companies....
Zile Hela za Azam Media hazihesabiwi pamoja na Hela za unga wa ngano....
Lakini pia pure richest men always live behind the curtain...
Shida ni sisi wenye visenti....
Unaijua 500b USD au unatania mkuu??? Manchester united tu Haina thamani ya zaidi ya 20b USD. Acha unazi kwenye issue serious! 500b USD ni pesa nyingi sana jamaaHio list ya Forbes
![]()
Meet 2021’s Arab Billionaires
Forbes has released its World’s Billionaires 2021 ranking, and despite 2020 being one of the most difficult and unexpected in recent history it was clearly not a problem for the world’s richest people. In fact, rather than seeing the billionaire population fall, last year witnessed a boom.www.forbesmiddleeast.com
Hakuna prince hata mmoja.
King salman wangemuhesabu angempita hadi Musk, zile hela tu zilizonunua Newcastle tu ni zaidi ya 500B usd, Aramco ni zaidi ya 2 Trillion bado kuna makampuni kibao.
Jamaa hajui thamani ya fedha, 500B hakuna tajiri mwenye hela hizo duniani labda hela za familia..na Wafalme wa Saudia hawatangazwi na Forbes kutokana na kuwa hela zao ni za nchi..source of income na sio zao directly kama Elon MuskUnaijua 500b USD au unatania mkuu??? Manchester united tu Haina thamani ya zaidi ya 20b USD. Acha unazi kwenye issue serious! 500b USD ni pesa nyingi sana jamaa