Hata kwa kuangalia tu kwa macho...uwekezaj wa bakhresa africa na mo ni tofaut..hebu angalia viwanda vya bakhresa vilivyo east africa..chek project za mahotel..uwekezaj kwenye marine..uwekezaj kwenye media..soka..now anakiwanda cha sukar kikibwa east africa...kampun zake za logistic etc..haya bado products zingne ndogondogo anazo hazihesabik...ni hiv..bakhresa kuna uwezekano ni mtu wa mising flan ya dini snaaa nahis kwake hili jambo la kutangazwa etc halihafik kabisa ndomana hatak hata fanya hayo..maana forbes wanakufata na unawalipa kwa hyo kaz..sio wanakutangaza tu...
Mo uwekezaj wake hata kwa macho haishindan na bakhresa....
This is according to waarab wenzao wa kisutu ndo huwa wanaongea haya.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Usipokuwa mtafutaji huwezi elewa hata siku moja Utajiri wa Mo.
Utajiri wa Bakhresa unaonekana kwa binadamu wa kawaida, Gari, Boti, Hoteli, Ice cream etc.
Mo yeye anacheza na soko la Dunia anachange kutokana na Demand na supply. Unahitaji uelewa kidogo kumuelewa.
Nitakupa fact moja, Mo ana Export Tani 500,000 za Nafaka na mazao mengine, mazao yetu mengi kilo ni 1000 kupanda kama Pamba, Korosho, Dengu etc. Assume ni hio tsh 1000 average.
Tani laki 5 ni sawa na kilo milioni 500, zidisha kwa 1000 hapo unaongelea around Bilioni 500 revenue.
Bado viwanda Vyake ambavyo ni versatile sana kuanzia Mafuta ya petroli, Mafuta ya Kula, Vinywaji, Kanga, sabuni, Siagi, battery, biskuti, Tambi etc.
Jamaa ni Agent wa LG, TCL, Boxer, etc
Kontena Lina Tani 20 mpaka 30 akileta tu mzigo mmoja wa Sukari analeta mamia ya kontena, unakuta tani 60,000 zinaingia kwa Mkupuo. For comparison Kiwanda cha Bakhresa kitakuwa kinazalisha Tani 30,000.