SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,555
Huyu tajiri mpya wa chelsea ni moto wa kuotea mbali anamwaga ma 💰 644m$ kwa mkupuo asee ni nomaJamaa hajui thamani ya fedha, 500B hakuna tajiri mwenye hela hizo duniani labda hela za familia..na Wafalme wa Saudia hawatangazwi na Forbes kutokana na kuwa hela zao ni za nchi..source of income na sio zao directly kama Elon Musk
Chelsea msimu huu imenunua wachezaji katika dirisha hili na la june...thamani ni sawa na ya Newcastle