Utajiri wa MO vs BAKHRESA: Vigezo gani hutumika kuwabaini matajiri?

Sunni Vs Shia. Kobaaz wenyewe kwa wenyewe. Sisi wagalatia yetu macho na maskio tu.
 
Makolo wanajifariji kwa utajiri wa Mwamedi [emoji23][emoji23]
 
Who is bakhresa,ile natengenesa ile kitu toto nalambalamba
 
Kwahiyo rekodi za benki na TRA ni za wazi?!

Kuna wakati fulani enzi za JK ilitolewa orodha ya walipa kodi wakubwa Tanzania! Sio Bakhresa wala Mwamedi aliyetokea kwenye orodha ile!!

Mashabiki wa Bakhresa wakatetea Bakhresa ni Group of Companies, kwahiyo kodi zinalipwa na individual groups ndo maana hawachomozi! Hapakuwa na utetezi ulioleta sense kwanini METL nayo haikutokea!!

Ninachotaka kusema ni kwamba, kama kigezo kingekuwa ni tax returns, Mwamedi asingetokea! Vigezo kama hivyo vinatumika kwa nchi za wenzetu ambako hata Forbes inakuwa rahisi kupata hizo returns, ingawaje na kwenyewe, wakati mwingine Forbes huwa wanaingizwa chaka!
 
MO Ana products ambazo kununua moja unatakiwa uwe na milion 200,bakharesa product zake ni za Bei za chini sana, mfano MO boxer moja ni Sawa na Azam ukwaju ngapi? Unaweza kuta Bhaharesa anatakiwa kuuza Ice cream laki 2 ili kuifikia faida ya boxer 10 za MO dewji
 
Simple tu,

Net worth=Asset-Liabilities

Na mwamedi alishasema yeye Ni mmoja ya watu wenye madeni makubwa kabisa hapa Afrika,Sasa sijui anakuaje tajiri kuwazidi wote.https://www.forbes.com/sites/mfonobongnsehe/2014/08/15/tanzanian-tycoon-mohammed-dewji-raises-260-million-for-business-expansion/?sh=288bec757b8f

Ila Ninachojua Mwamedi anapendaga Sana show-off Kule CNBC, Bloomberg etc na kule kote story zake hua Ni kusema anaongoza kwa kutoa ajira nyingi kuliko co. Yoyote Ile Tz,Mara nyuzi za nguo anazozalisha yeye kiwandani kwake kwa urefu zinaweza kuzunguka hii dunia Mara 4.Ndio vitu hivyo hivyo anaongeaga kila siku Kule.
 
Mimi siamini kama Mo anamshinda GSM kwa mtonyo, maana GSM mpaka alithubutu kudhamini Ligi kuu kabla babra hajaleta fitina[emoji28]
 
Nasikia kwenye hilo jarida ni ruhusa ukubali kuwekwa au ukatae.
Ndiyo maana Bakhresa hayupo.
kwa ufupi hapendi show off
Bakhresa pia yupo sema tu utajiri wake haujafika $1B. Last time naangalia ni kama $800m, hivyo pengine soon na yeye Akaingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…