Hapendi show off lakini akilete Scania au Benz zake mpya anarecord video na kuzirusha mitandaoni na kuwatuma akina Manara wazisambaze huko IGNasikia kwenye hilo jarida ni ruhusa ukubali kuwekwa au ukatae.
Ndiyo maana Bakhresa hayupo.
kwa ufupi hapendi show off
Mara kadhaa nimekuwa nikiona list ya matajiri wa Dunia na Afrika. Huko duniani sina tatizo maana niko mbali nao ila suala la Mo na Bakhresa huwa silielewi.
Kwa kutazama tu kawaida tena sio mimi peke yangu huwa tunaamini Bakhresa ana mali na utajiri mkubwa kuliko Mo. Lakini wenzetu "wataalamu" wa hayo mambo wanamuorodhesha Mo mbele ya Bakhresa.
Sasa nyie wajuvi wa JF naomba mtujuze ni vigezo gani hutumika ambavyo humbeba Mo mbele ya Bakhresa.
Njoo na hoja siyo ushabiki wa mipira
Kuongea point kazi mno mkuu, hivyo kupata jawabu ni ngumu kwa vijana wakileo... Hisia sanaaa yaan basi tena wenye kujenga hoja hawapi😁Mara kadhaa nimekuwa nikiona list ya matajiri wa Dunia na Afrika. Huko duniani sina tatizo maana niko mbali nao ila suala la Mo na Bakhresa huwa silielewi.
Kwa kutazama tu kawaida tena sio mimi peke yangu huwa tunaamini Bakhresa ana mali na utajiri mkubwa kuliko Mo. Lakini wenzetu "wataalamu" wa hayo mambo wanamuorodhesha Mo mbele ya Bakhresa.
Sasa nyie wajuvi wa JF naomba mtujuze ni vigezo gani hutumika ambavyo humbeba Mo mbele ya Bakhresa.
Njoo na hoja siyo ushabiki wa mipira
GSM aliyekwambia ana pesa sana ni nani? GSM hata Manji sidhani kama wanamfikia. GSM wapambanishe na kina Usangu Logistics, Mount Meru akina Hanspope and the likes..GSM?
Hata MO anazo za ukwaju za jerojeroMO Ana products ambazo kununua moja unatakiwa uwe na milion 200,bakharesa product zake ni za Bei za chini sana, mfano MO boxer moja ni Sawa na Azam ukwaju ngapi? Unaweza kuta Bhaharesa anatakiwa kuuza Ice cream laki 2 ili kuifikia faida ya boxer 10 za MO dewji
Chige jaribu kutafuta informer wowote wa Department ya Large Tax pale Samora watakwambia nani kati ya hao wawili wanalipa kodi kubwa..Kwahiyo rekodi za benki na TRA ni za wazi?!
Kuna wakati fulani enzi za JK ilitolewa orodha ya walipa kodi wakubwa Tanzania! Sio Bakhresa wala Mwamedi aliyetokea kwenye orodha ile!!
Mashabiki wa Bakhresa wakatetea Bakhresa ni Group of Companies, kwahiyo kodi zinalipwa na individual groups ndo maana hawachomozi! Hapakuwa na utetezi ulioleta sense kwanini METL nayo haikutokea!!
Ninachotaka kusema ni kwamba, kama kigezo kingekuwa ni tax returns, Mwamedi asingetokea! Vigezo kama hivyo vinatumika kwa nchi za wenzetu ambako hata Forbes inakuwa rahisi kupata hizo returns, ingawaje na kwenyewe, wakati mwingine Forbes huwa wanaingizwa chaka!
Hata kwa kuangalia tu kwa macho...uwekezaj wa bakhresa africa na mo ni tofaut..hebu angalia viwanda vya bakhresa vilivyo east africa..chek project za mahotel..uwekezaj kwenye marine..uwekezaj kwenye media..soka..now anakiwanda cha sukar kikibwa east africa...kampun zake za logistic etc..haya bado products zingne ndogondogo anazo hazihesabik...ni hiv..bakhresa kuna uwezekano ni mtu wa mising flan ya dini snaaa nahis kwake hili jambo la kutangazwa etc halihafik kabisa ndomana hatak hata fanya hayo..maana forbes wanakufata na unawalipa kwa hyo kaz..sio wanakutangaza tu...Jarida la Forbes limetoa orodha ya matajiri barani Afrika ambapo Mohammed Dewji ameendelea kushikilia usukani kutokea Tanzania na kushika nafasi 15 barani Afrika.
Mimi nina maswali kuhusu orodha hii, hivi hapa nchini hamna watu wana unreported wealth? Kuna watu wanaonekana kwa macho wana uwekezaji mkubwa Tanzania lakini kwenye hizi list hatujawahi kuwaona!
View attachment 2095043
Duh we jamaa bana utajiri wa GSM haukuti hata share alizo nazo mtt wa miaka 9 wa mo dewjMimi siamini kama Mo anamshinda GSM kwa mtonyo, maana GSM mpaka alithubutu kudhamini Ligi kuu kabla babra hajaleta fitina[emoji28]
Sawa House girl wa moDuh we jamaa bana utajiri wa GSM haukuti hata share alizo nazo mtt wa miaka 9 wa mo dewj
Na Tz nzima pale LTD walipa Kodi wakubwa wako 400's na wanachangia 70% of domestic revenue.Chige jaribu kutafuta informer wowote wa Department ya Large Tax pale Samora watakwambia nani kati ya hao wawili wanalipa kodi kubwa..
Uzuri hawa wote wapo kwenye department moja ya Large Taxpayers..
Na kama unafahamu vizuri, METL wanalipa zaidi ya SSBNa Tz nzima pale LTD walipa Kodi wakubwa wako 400's na wanachangia 70% of domestic revenue.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makolo muli bwanji bhabha![emoji2][emoji2]
Usipokuwa mtafutaji huwezi elewa hata siku moja Utajiri wa Mo.Hata kwa kuangalia tu kwa macho...uwekezaj wa bakhresa africa na mo ni tofaut..hebu angalia viwanda vya bakhresa vilivyo east africa..chek project za mahotel..uwekezaj kwenye marine..uwekezaj kwenye media..soka..now anakiwanda cha sukar kikibwa east africa...kampun zake za logistic etc..haya bado products zingne ndogondogo anazo hazihesabik...ni hiv..bakhresa kuna uwezekano ni mtu wa mising flan ya dini snaaa nahis kwake hili jambo la kutangazwa etc halihafik kabisa ndomana hatak hata fanya hayo..maana forbes wanakufata na unawalipa kwa hyo kaz..sio wanakutangaza tu...
Mo uwekezaj wake hata kwa macho haishindan na bakhresa....
This is according to waarab wenzao wa kisutu ndo huwa wanaongea haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaulize forbes wenyeweJarida la Forbes limetoa orodha ya matajiri barani Afrika ambapo Mohammed Dewji ameendelea kushikilia usukani kutokea Tanzania na kushika nafasi 15 barani Afrika.
Mimi nina maswali kuhusu orodha hii, hivi hapa nchini hamna watu wana unreported wealth? Kuna watu wanaonekana kwa macho wana uwekezaji mkubwa Tanzania lakini kwenye hizi list hatujawahi kuwaona!
View attachment 2095043
Sawa mke wa jirani yanguSawa House girl wa mo
Mkumbuke pia kwamba wana viwanda mpk nchi jirani.Chige jaribu kutafuta informer wowote wa Department ya Large Tax pale Samora watakwambia nani kati ya hao wawili wanalipa kodi kubwa..
Uzuri hawa wote wapo kwenye department moja ya Large Taxpayers..
Wote hao wawili wanavyo..Mkumbuke pia kwamba wana viwanda mpk nchi jirani.
Forbes hawahesabu wanasiasa ndio maana Waarabu wa Middle east hawamo.Ni ukiherere wa mtu tu kupeleka records zake Forbes na hela alizonazo
Ila kuna wengi sana wanazo ila wametulia kimya
Kuna yule tajiri wa UAE hayumo kwenye list ila alipoulizwa una kiasi gani bank akasema muulize mke wangu yeye ndio anafuatilia sana na kuhesabu ila mimi sijui kwa haki tena ninazo ngapi
Hao ndio hawajionyeshi
Hata mimi sitaji n’gooooo [emoji23][emoji23][emoji23]