Utajiri wa MO vs BAKHRESA: Vigezo gani hutumika kuwabaini matajiri?

Huyu tajiri mpya wa chelsea ni moto wa kuotea mbali anamwaga ma 💰 644m$ kwa mkupuo asee ni noma
 
enzi za kikwete tajiri namba 1 tz alikuwa rusitom azz akifatiwa na mgengi kisha bakharesa kipindi icho kapuni ya mo ilikuwa bado iko chini ya baba yao

kwa sasa kinala ni mo kinacho angaliwa ni pesa mtu anayo miliki sio majumba viwanda magali la mfano ukiangalia magali ya mo ya usafirishaji mizigo yake nimikweche

tofaoti na bakharesa yeye magali yake ni mpiya bakharesa ni jeshi la mtu 1 mo nimali ya familia mo kama mo peke yake afui dafu kwa azamu
 
Umejibu ki ccm zaidi.
Nenda zaidi ya hapo
 
Wana biashara ndani na nje ya nchi. Na pengine nje ya nchi ndo kwenye uwekezaji mkubwa
 
Ili hizi kampuni zilipe kodi kwa usahihi zatakiwa ziwe listed, tofauti na hapo tusahau
 
Unaijua 500b USD au unatania mkuu??? Manchester united tu Haina thamani ya zaidi ya 20b USD. Acha unazi kwenye issue serious! 500b USD ni pesa nyingi sana jamaa
Fund iliotumika kununua Newcastle inaitwa PIF hii hapa


Na sasa hivi ni 620B sio 500B tena.


Toka 2015 MBS ndio anarun hizo funds, ime invest kila kona ya Dunia kuanzia Jio ya India, Nintendo Japan, Disney Marekani, Arm Uingereza etc.
 
Hio ndio sababu ndio, sababu hela ni za Nchi, lakini katiba ya Nchi inasema hela za Nchi ni zao.

Na wewe unaongelea individual kuna Familia nyingi tu sio hata za Saudia na wala hazihusiani na Siasa zina mpunga mrefu kushinda hao matajiri wa dunia, sababu ni Familia basi haziwekwi kwenye list.

Mfano ni Familia ya Walton,
 
Hata Investment Fund ya Norway ina zaidi ya 1 tril usd
 
Soma ulichokiandika nikakukosoa, sijazungumzia kipato Cha huyo mwanamfalme, nimezungumzia bei uliyoitaja kuwa ameinunulia Newcastle united, 500b USD. Stick to my point plz. Usilete unazi uliopitiliza, 500b USD unanunua Real Madrid, Barca, PSG, Man City, man u, Liverpool, Bayern, Arsenal na change inabaki nyingi tu
 
Wewe ndo umeshindwa kuelewa Comment yangu ukaweka imagination zako.

Newcastle haijanunuliwa na mtu ama kampuni bali Funds inayoitwa PIF, ni Hela ambazo zimetengwa mahsusi kwa ajili ya uwekezaji, hizo Hela zimetoka Saudi kwenye mafuta kwa ajili ya Diversification ya uchumi wao, jumla ya hizo hela ni £500B ila haimaanishi zote zimenunulia Newcastle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…