afadhali umeliweka wazi mkuuAcha kutapeli watu mkuu,labda Kama unazungumzia ngende ya mgodini,Ila Kama unazungumzia ngende ya liwale iliyoko Kijiji Cha mpigamiti Basi jua unataka kutapeli watu hapa.
Kiufupi huwezi nificha kitu kuhusu huyo Bibi njumwite,na vibaraka wake,wale wote ni matapeli,ukienda pale wako radhi wakupukitushe Hadi chupi uliyovaa,
Wakuu nashauri msijaribu hata kumfuata huyo bwana PM,Ila Kama mnataka kuibiwa Basi jaribuni,I speak from my experience,nimewahi kufika huko,nilichoambulia ni kutapeliwa kila kitu na hao jamaa wa ngende,hakuna jipya nililoliona.
tunakusubiriaHii kitu hii mkuu digba sowey anasema alitapeliwa ngoja nikitulia nije kuelezea stori ya rafiki yangu ambaye ni mmakonde na ilibidi arudi kwao kuadjust.
Sio wengi wao, wote matapeli tu.Formular ya pesa ni hardworking, nidhamu ya pesa, kuthamini muda, kutafuta na kubuni fursa mpya kila siku, kuhakikisha unadominate soko ya bidhaa yako, uaminifu, kua mkweli, hakikisha huduma au bidhaa yako inakua bora kwa viwango, hakikisha unakua na customer care nzuri, hapo umemaliza mengine ni mbwembwe kwa wasijiamini kwani mganga kama anaweza kukugawia utajiri kwa nini yeye afe fukara unadhani yeye anakupenda sana kuliko anavojipenda,? Wengi wao matapeli tu
Bado nasaka ajira kwa miaka 5 sasa na GPA yangu yangu ya 4.2, na bado NO JOB hadi sasa. Huko kujiajiri wanakopigapiga kelele nako nimejaribu but wapi!Sasa nimeamua kujiajiri kwenye utapeli,nimeanza na ndugu na baada ya kupata uzoefu wa kutosha sasa natapeli kila mtu,hadi wagonjwa mahututi.Huku si kutafuta laana kweli?
Hatia iliyonijaa moyoni inaniambia niachane na udhulmati na ukanjanja wote.Sasa nifanye kipi kingine kama si kwenda huko Ngende?Hivyo visharti vidooogo wanavyotoa vitanishinda kweli na huu msoto niliokwisha pitia.Sharti pekee ambalo siwezi kulikubali ni la kugeuzwa James Delicious, ila mengine yote (hata kulala makaburini in the midnight naweza).
Nipeni ramani ya kufika huko.
Akiwa tajiri hawezi kuwa mgangaFormular ya pesa ni hardworking, nidhamu ya pesa, kuthamini muda, kutafuta na kubuni fursa mpya kila siku, kuhakikisha unadominate soko ya bidhaa yako, uaminifu, kua mkweli, hakikisha huduma au bidhaa yako inakua bora kwa viwango, hakikisha unakua na customer care nzuri, hapo umemaliza mengine ni mbwembwe kwa wasijiamini kwani mganga kama anaweza kukugawia utajiri kwa nini yeye afe fukara unadhani yeye anakupenda sana kuliko anavojipenda,? Wengi wao matapeli tu
Shetani anatoaje pesa?..kila mtu si angekuwa tajiri asee?..Shetani huwa atoi pesa kirahisi tena bure bure tu.Ni lzm akudhalilishe sana
Sio KILA mtu anaweza masharti,pesa sio ttzo kwake ttzo masharti magumuShetani anatoaje pesa?..kila mtu si angekuwa tajiri asee?..
Babu masharti magumu kama yapi? Kafara au nini?..bado watu wangekuwa wengi sana wanaotajirika kwa hiyo michongo..Sio KILA mtu anaweza masharti,pesa sio ttzo kwake ttzo masharti magumu
Shetani hana zaidi ya kafara ya damu ya ndugu, watoto, wazazi,au Jamii.Babu masharti magumu kama yapi? Kafara au nini?..bado watu wangekuwa wengi sana wanaotajirika kwa hiyo michongo..
Kuna exeggaration sana hapa..huwezi kuacha laki moja kwenye droo,ukaja kukuta millioni kumi..vitu vingine haviingii akilini
Huo utajiri masharti yake yasinizuie kugonga, kunishinikiza kuua mzazi ama kupata watoto, kutembelea gari na kupendeza hapo sawa!
Na hela zinapatikana vipi mkuu kufanya mtu kuwa tajiri sasa?Shetani hana zaidi ya kafara ya damu ya ndugu, watoto, wazazi,au Jamii.
Mfano.
.Mtoe kafara mtoto wako kisha umtwange kwenye kinu Ili wakuu wa giza wanywe damu na nyama yake.
.Toa kafara mama yako mzazi
.Mfanye msukule mama yako mzazi andaa chumba KILA mwisho wa mwezi mlawiti.
.Mtoe kafara mama yako mzazi kisha kata viungo vyake vya Siri vikaange
.Toa lita kadhaa damu za watu kila mwezi
.Sababisha ajali kila mwezi
.Mfanye mtoto wako taahira
Nk zipo nyingi Sana
Wapumbavu ufanya Ili kupata utajiri kufurahisha nafsi zao.
Mr. Siko hapa kutangaza business.Acha kutapeli watu mkuu,labda Kama unazungumzia ngende ya mgodini,Ila Kama unazungumzia ngende ya liwale iliyoko Kijiji Cha mpigamiti Basi jua unataka kutapeli watu hapa.
Kiufupi huwezi nificha kitu kuhusu huyo Bibi njumwite,na vibaraka wake,wale wote ni matapeli,ukienda pale wako radhi wakupukitushe Hadi chupi uliyovaa,
Wakuu nashauri msijaribu hata kumfuata huyo bwana PM,Ila Kama mnataka kuibiwa Basi jaribuni,I speak from my experience,nimewahi kufika huko,nilichoambulia ni kutapeliwa kila kitu na hao jamaa wa ngende,hakuna jipya nililoliona.
Mimi hapana siutaki utajiri wa masharti yoyote, nitapambana na kumtegemea Mungu, asiponisaidia Yeye baasi.Huo utajiri masharti yake yasinizuie kugonga, kunishinikiza kuua mzazi ama kupata watoto, kutembelea gari na kupendeza hapo sawa!
Unapoteaga sana wewe mchugga[emoji16][emoji16][emoji16]yes nipo kabisa Mungu mwema
UfalaaSiku zote masharti ya kishetani ni magumu, just imagine una pesa ya kutosha halafu eti unakula hovyo, sehemu ya kulala hovyo, kuvaa hovyo, hata usafiri TZ 11, sasa hizo pesa za kazi gani?