Ukishatoa kafara,pesa inapatikana..how on earth utoke kuwa na mia tatu hadi billions of shillings benki kwa muda mfupi?Usione mtu katajirka ghafla ghafla tu ukajua rahisi Aiseeee Kuna meng nyuma ya pazia
You are such an idiot and you simply don't know what you want. Arguing with you is a waste of time.Haha fools! Mimi na pesa zangu unanipangia pa kula, gari la kununua, hivi una akili kweli wewe? Hata tukiondoa ishu ya masharti hapa, kweli unampangia matumizi ya pesa zake, una question kama nani, hua mnahangaika nini kutaka kujua kwanini flan anakula kwa mama ntilie na pesa zake nyingi, kwanin anatumia ust badala ya harrier, you must be a fool kwakweli.
Mlango wa kuzimu unafananaje mkuu?Mkuu hz mambo Ni za kweli nilianza harakat za waganga tangu Niko primary school nilichoka na maisha ya geti nilitamani maisha yangu binafsi ya kiuchumi na kila nilipoenda kwa mtaalamu umri ulikuwa mdogo na walishangaa saana
Shule sikuipa nafas na nilisoma sababu TU ya mazingira ya home na nikapata vyet vizuri na taaluma Zaid ya moja lakini si pesa nayopata ndio ninayo hitaji
Nishazunguka kwa waganga Hadi Malawi changamoto kubwa nijitoe kafara au nitoe mtu hapo ndio naposhindwa nimeshafika mpaka mlango wa kuzimu yote Ni sababu ya pesa kwa umri nilio kuwa nao nishazunguka saana katika vilinge vya uganga
Kuna vitu ving Sana nyuma ya pazia Ni Kama ukiwa na nyoka wa chuma ulete wew usio na macho utaiyona Kama kamba ya katan ila inazunguka katika maduka inaleta faida nyumbani jionUkishatoa kafara,pesa inapatikana..how on earth utoke kuwa na mia tatu hadi billions of shillings benki kwa muda mfupi?
Kuna taratibu zinafanyika ndio uweze kufika huko mkiwa eneo la tukio hapo hapoMlango wa kuzimu unafananaje mkuu?
Ni kitu physical kinachoonekana kwa macho au?
Kwa hii baridi iliyoshuka tiripu hii lazima tujifiche ndani chalii angu.Unapoteaga sana wewe mchugga[emoji16][emoji16][emoji16]
Poleni sana, ni muda wa ndoa kuimarika na uzao kuongezekaa[emoji28]Kwa hii baridi iliyoshuka tiripu hii lazima tujifiche ndani chalii angu.
hope uko poa lkn maana mzee wa zamu tiripuu hii ameamua kabisa kutukomesha huku chuga land.
Ooohhh.....Kuna taratibu zinafanyika ndio uweze kufika huko mkiwa eneo la tukio hapo hapo
𝑴𝒌𝒖𝒖 𝒔𝒊𝒐 𝒖𝒕𝒂𝒑𝒆𝒓𝒊 𝒏𝒊 𝒖𝒌𝒘𝒆𝒍𝒊Utapeli upatiwe mamilioni kwa kupeleka sindano nadhani tz tungekuwa na mabilionea wengi kuliko nchii yoyote hapa duniani. Jamaa utakuwa na degree ya marketing
Leta connection mkuuKuna vitu ving Sana nyuma ya pazia Ni Kama ukiwa na nyoka wa chuma ulete wew usio na macho utaiyona Kama kamba ya katan ila inazunguka katika maduka inaleta faida nyumbani jion
Wewe ndio great thinker?tapeli
Wewe ndio great thinker?
Sijawahi omba msaada wa kifdha jf na sihitaji fedha ya mwana jf kwa njia yoyote ile.
Sijaweka namba ya simu, sijasema mtu aje pm sasa kilichokupelekea kuniita tapeli ni nini?.
Jf nilianzisha issue fulani kila mwezi nilitoa 150k yangu . Nilifanya kwa miezi miwili na nilipanga kuwasaidia wengi ila wapumbavu kama ww ndio walinirudisha nyuma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]usione mjini mtu kapendeza anakula Bata batani Hana Kaz haeleweki ukajua mtaasis au muuza madawa ya kulevya watu Wana kamba zao akitoka TU mlango anaiyangusha inaanza kusakanya mitaani huko mpaka jion inarudisha return [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leta connection mkuu
Idiot ana akili kidogo, a fool hana akili kabisa ni zezeta...mmekaa mnataka kuwapangia watu namna ya kutumia pesa zao, huo ni upumbavu..mmekaa kabisa vijiweni mnaanza kujiuliza flan ni tajiri lakin anakula kwa mama ntilie kwanini, fools x 100 !!
Connection atapewa tuMpe connection kasema
umeonaaaeeee, maana kwa kweli ni mambo ya zero distance no matter mna misunderstanding,,naona misunderstanding hazi work tiripu hii.Poleni sana, ni muda wa ndoa kuimarika na uzao kuongezekaa[emoji28]
Pasha pasha pwaaaa[emoji38]umeonaaaeeee, maana kwa kweli ni mambo ya zero distance no matter mna misunderstanding,,naona misunderstanding hazi work tiripu hii.
ni mwendo tu wa zero distance hakika
pwaaaaaPasha pasha pwaaaa[emoji38]