Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

Haha fools! Mimi na pesa zangu unanipangia pa kula, gari la kununua, hivi una akili kweli wewe? Hata tukiondoa ishu ya masharti hapa, kweli unampangia matumizi ya pesa zake, una question kama nani, hua mnahangaika nini kutaka kujua kwanini flan anakula kwa mama ntilie na pesa zake nyingi, kwanin anatumia ust badala ya harrier, you must be a fool kwakweli.
You are such an idiot and you simply don't know what you want. Arguing with you is a waste of time.
 
Mkuu hz mambo Ni za kweli nilianza harakat za waganga tangu Niko primary school nilichoka na maisha ya geti nilitamani maisha yangu binafsi ya kiuchumi na kila nilipoenda kwa mtaalamu umri ulikuwa mdogo na walishangaa saana

Shule sikuipa nafas na nilisoma sababu TU ya mazingira ya home na nikapata vyet vizuri na taaluma Zaid ya moja lakini si pesa nayopata ndio ninayo hitaji

Nishazunguka kwa waganga Hadi Malawi changamoto kubwa nijitoe kafara au nitoe mtu hapo ndio naposhindwa nimeshafika mpaka mlango wa kuzimu yote Ni sababu ya pesa kwa umri nilio kuwa nao nishazunguka saana katika vilinge vya uganga
Mlango wa kuzimu unafananaje mkuu?

Ni kitu physical kinachoonekana kwa macho au?
 
Ukishatoa kafara,pesa inapatikana..how on earth utoke kuwa na mia tatu hadi billions of shillings benki kwa muda mfupi?
Kuna vitu ving Sana nyuma ya pazia Ni Kama ukiwa na nyoka wa chuma ulete wew usio na macho utaiyona Kama kamba ya katan ila inazunguka katika maduka inaleta faida nyumbani jion
 
Unapoteaga sana wewe mchugga[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa hii baridi iliyoshuka tiripu hii lazima tujifiche ndani chalii angu.

hope uko poa lkn maana mzee wa zamu tiripuu hii ameamua kabisa kutukomesha huku chuga land.
 
Kwa hii baridi iliyoshuka tiripu hii lazima tujifiche ndani chalii angu.

hope uko poa lkn maana mzee wa zamu tiripuu hii ameamua kabisa kutukomesha huku chuga land.
Poleni sana, ni muda wa ndoa kuimarika na uzao kuongezekaa[emoji28]
 
Kuna taratibu zinafanyika ndio uweze kufika huko mkiwa eneo la tukio hapo hapo
Ooohhh.....

Kwahiyo huo mlango wa kuzimu unaonekana kwa macho kabisa?

Na kuzimu huko kuna nini na wanaishi wakina nani?

Samahani kwa maswali. Umenisisimua kujua.
 
Utapeli upatiwe mamilioni kwa kupeleka sindano nadhani tz tungekuwa na mabilionea wengi kuliko nchii yoyote hapa duniani. Jamaa utakuwa na degree ya marketing
𝑴𝒌𝒖𝒖 𝒔𝒊𝒐 𝒖𝒕𝒂𝒑𝒆𝒓𝒊 𝒏𝒊 𝒖𝒌𝒘𝒆𝒍𝒊

𝑨𝒏𝒂𝒄𝒉𝒐 𝒑𝒆𝒍𝒆𝒌𝒂 𝒔𝒊𝒐 𝒔𝒊𝒏𝒅𝒂𝒏𝒅𝒐 𝒉𝒂𝒍𝒊𝒔𝒊 𝒌𝒘𝒂 𝒖𝒍𝒊𝒎𝒘𝒆𝒏𝒈𝒖 𝒘𝒂 𝒌𝒊𝒓𝒐𝒉𝒐 𝒏𝒊 𝒖𝒉𝒂𝒊 𝒘𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒏𝒂𝒆𝒏𝒅𝒂 𝒌𝒖𝒖𝒛𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒖𝒕𝒂𝒋𝒊𝒓𝒊.
 
Wewe ndio great thinker?
Sijawahi omba msaada wa kifdha jf na sihitaji fedha ya mwana jf kwa njia yoyote ile.
Sijaweka namba ya simu, sijasema mtu aje pm sasa kilichokupelekea kuniita tapeli ni nini?.
Jf nilianzisha issue fulani kila mwezi nilitoa 150k yangu . Nilifanya kwa miezi miwili na nilipanga kuwasaidia wengi ila wapumbavu kama ww ndio walinirudisha nyuma.
 
Sasa umejifunua rasmi...

Wewe ni whyme
 
Leta connection mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]usione mjini mtu kapendeza anakula Bata batani Hana Kaz haeleweki ukajua mtaasis au muuza madawa ya kulevya watu Wana kamba zao akitoka TU mlango anaiyangusha inaanza kusakanya mitaani huko mpaka jion inarudisha return [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Idiot ana akili kidogo, a fool hana akili kabisa ni zezeta...mmekaa mnataka kuwapangia watu namna ya kutumia pesa zao, huo ni upumbavu..mmekaa kabisa vijiweni mnaanza kujiuliza flan ni tajiri lakin anakula kwa mama ntilie kwanini, fools x 100 !!

Tumegundua wewe ni kanjanja unatumia ID mbili tofauti kufanya utapeli humu.

Mwanzoni ulikuja na uzi wa kuabudu mashetani na majeneza ili upate utajiri.

Leo umekuja na ID nyingine ya Sandali Ali unataka kuwapumbaza watu ili wakufuate ukawatapeli.

Mchawi mjinga sana wewe!

Moderator unganisha ID za huyu mchawi kanjanja.

Maxence Melo

This female witch is playing a very dangerous game of luring people. He is a fraud and a thief.
 
Poleni sana, ni muda wa ndoa kuimarika na uzao kuongezekaa[emoji28]
umeonaaaeeee, maana kwa kweli ni mambo ya zero distance no matter mna misunderstanding,,naona misunderstanding hazi work tiripu hii.

ni mwendo tu wa zero distance hakika
 
umeonaaaeeee, maana kwa kweli ni mambo ya zero distance no matter mna misunderstanding,,naona misunderstanding hazi work tiripu hii.

ni mwendo tu wa zero distance hakika
Pasha pasha pwaaaa[emoji38]
 
Back
Top Bottom